min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Mimi hata nyama situmii kabisa bro😁Acha kula kisusio bro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi hata nyama situmii kabisa bro😁Acha kula kisusio bro
Kumbe Adam alikuwa mlokole ☑️🤣Walokole mfuge kuku zenu msichanganye na damu , ni nyie mmekatazwa sio kila mtu.
Absolutely 💯 %Kisusio ni dhambi?
Kuku akila mavi ukija kumla huyo kuku kwani unakuwa umekula mavi?Salaam, shalom!
Baada ya Mungu kuruhusu mtu kula nyama, alimkataza Kula Damu ya mnyama. Yaani ukichinja myama au ndege, Damu yake hupasi kuitumia Kwa matumizi ya chakula, ni machukizo maana ndani ya Damu ya m yama, mna uhai. ( Mwanzo 9:4).
Sasa Kwa kuwa shetani ni baba wa Hila, baada ya kuona wengi wameacha kula Damu ya mnyama, amegeuza Mpango, hivi sasa vyakula vya kuku vinachanganywa na damu wakileta sababu uchwara za kuwa Damu inaongeza Kasi ya ukuaji nk nk kumbe lao Moja, ni kutulisha Damu indirect, tukila kuku aliyekula Damu nasi tupatwe na adhabu ya Mungu Kwa kutotii.
Ushauri: Wafugaji tengenezeni vyakula vya kuku ninyi wenyewe mkiepuka kuweka au kuchanganya Damu kwenye vyakula vitumikavyo Kwa kuwapa mifugo kama kuku nk nk.
Karibuni 🙏
Wana wa Mungu tumekatazwa kula Damu ya mnyama Kwa kuwa ndani ya Damu ndipo penye uhai wa mnyama.
Ukoo wangu wote hauendi mbinguniAbsolutely 💯 %
Ndio maana kila siku nakuambia hata hiyo ya adamu ni hadithi wala haina uthibitisho wowote , tena imekopiwa kwenye hadithi za kale zaidi za wasumerian , ndio maana wewe unaeeza kuamini vyovyote utakavyo wala sio tatizoKumbe Adam alikuwa mlokole ☑️🤣
Sasa wewe kumbe ulitokea wapi ikiwa Adam Si Babu Yako?
HOJA hapo ni ,hakuna faida yoyote apatayo kuku Kwa kulishwa Damu ya n'gombe mbichi zaidi ya kutaka kutufarakanisha na Mungu wetu sie walaji.Kwa hiyo ukila kuku wa kupikwa huwa wala damu yake?
HOJA hapo ni ,hakuna faida yoyote apatayo kuku Kwa kulishwa Damu ya n'gombe mbichi zaidi ya kutaka kutufarakanisha na Mungu wetu sie walaji.