Wanaofanya mazoezi ya mbio (jogging) hayana faida kiafya, ni matokeo ya matangazo ya biashara ya Nike

Wanaofanya mazoezi ya mbio (jogging) hayana faida kiafya, ni matokeo ya matangazo ya biashara ya Nike

Kazi na shughuli za kila siku ni mazoezi ndio ,ila yale mazoezi ya kutenga mda yana umuhimu sana.

Kwa sababu yanaandaa mpaka saikolojia yako ki mazoezi .

Ipo tofauti kubwa sana kati ya mazoezi ya kutenga mda , na shughuli za kazi za kila siku.

Kama ni kazi kila mtu anafanya, na kutembea, ila upo umuhimu wa kutenga mda wa zoezi hata kama ni dakika 15 tu kila siku .
 
I mostly do push ups na nilianza tangu nikiwa o- level na hii ni baada ya siku moja kupewa adhabu ya push ups niliamka na maumivu since that day nikaamua kuendelea na matokeo nimeyaona nina zaidi ya miaka kumi nilipoacha nilikuwa dhaifu sana sana, sasa hivi nipo fit zaid ya fit nayaona matokeo kabisa kabisa pia uwa napenda kutembea kwa miguu mara moja moja jogging inahusika. Yani huwezi nambia nikakuelewa wakati nayaishi unachokipinga nakushauri anza hata wewe mazoezi madogo madogo.
 
Nike ndio walianzisha hii mambo ya kutangaza biashara zao kupitia Joggin ni muda mrefu watu wa Adidas walikua wanapinga hizo mambo kwa kwa kuwa zimeanzishwa na wahasimu wao kwenye biashara mazoezi haya madhara kwa binadamu ni vile jamii ya sasa hivi wamekua wavivu kufanya mazoezi ndio maana unaona wanakuja na hoja zao ili mradi kuwapumbaza na wanajua wapo watakaokubaliana nao...toka lini mazoezi yakawa na madhara kwa binadamu sisi wengine toka tunakua mpaka leo hii ni mwendo wa Mazoezi tu leo hii nije nimsikilize mtu aseme mazoezi sio Afya daah sio kila kitu unachokiona unatakiwa kukiokota...
Mkuu uyo haelewi anachojaribu kukifikisha yani mimi kwanza nikiacha napata shida sana na matokeo ya mazoezi nayaona nina miaka zaida ya kumi naa nayaishi.
 
Mkuu uyo haelewi anachojaribu kukifikisha yani mimi kwanza nikiacha napata shida sana na matokeo ya mazoezi nayaona nina miaka zaida ya kumi naa nayaishi.
Mimi nipo na Maveterani muda kipindi hiki mara nyingine nachezea Timu ya vijana kuruka koni huko na kucheza sana mpira nina mwezi wa pili nyama za paja zinauma sana nimeamua kupumzika kidogo madhara yake nayaona kabisa harafu pana mtu anakuja kusema tusifanye mazoezi daah...
 
Mimi nipo na Maveterani muda kipindi hiki mara nyingine nachezea Timu ya vijana kuruka koni huko na kucheza sana mpira nina mwezi wa pili nyama za paja zinauma sana nimeamua kupumzika kidogo madhara yake nayaona kabisa harafu pana mtu anakuja kusema tusifanye mazoezi daah...
Kazoea kuuweka mwili bila kufanya mazoezi kama mtu umezoea ni mateso angejua hata hasingeongea anacho ongea nimemshangaa sana.
 
Mie msukumo wa damu ulikuwa 140/90, daktari akanihoji je nina stress, nkasema hapana.. Nkaendelea fwatilia kwa wiki mbili bado ikawa inacheza 135/136/137/141 kwa 86/88/90

Meanza mazoezi ya kutembea km 3 hadi 5 kwa siku
now msukumo wa damu unasoma 125/127/130 kwa 78/80/83

Mazoezi inategemea unafanya ya namna gani na kwa malengo gani (sio wamaliza mazoez unaenda piga nyama choma na ....
Kutembea ni bonge la zoezi

Ova
 
Kuna mwanangu yuko BOA ameanza huo mchezo sasa ana mwaka wa 3 ila sura yake ukiifananisha na umri wake kimsingi mwana hana tofauti na mstaafu. Kipindi tunamaliza chuo alikuwa kijana mtanashati sana na kitambi cha kufutia simu kilikuwepo.

I do think he is overdoing it, maana unakimbia kilometre 15 kwa siku thats too much. Mi nafanya lifting kwa kiasi chake na kutembea tembea ndio sana. Thats enough for me as long as natoka jasho.
Kukimbia kwa wiki labda mara 2
Unaweza kujikuta unakimbia sana
Mpaka ukajikuta unaunguza carolies zako ,kwenye kukimbia inataka kiasi
Usikumbie kupitiliza

Ova
 
Huyo mzungu ni wa kupuuzwa. Ila ni kweli mazoezi ukizidisha lazima uzeeke. Sura inajikunja. Kukimbia kilometa zisizozidi 3 ni sahihi kiafya. Mazoezi makali ya kukimbia lazima yakuletee shida kwenye magoti. Wanariadha wengi wakifika uzeeni hupambana sana na goti. Na kama unapenda kukimbia jitahidi kula vitu vinavyosaidia kuongeza lubricants kwenye magoti na sehemu zingine mifupa inapoungana. Mtu kama dronedrake hapaswi kufanya jogging maana kila siku anapoteza lubricants nyingi kupitia nyeto.
 
Wazungu wanafanya mazuzu Sana, Goal ya kwanza ya binadamu kula chakula ni kukabilina na njaa na si kwaajiri ya afya, goal ya afya inajileta yenyewe automatically kwasababu umekula chakula.

Sisi hula chakula Kama Breakfast kwasababu ya njaa ukiacha mpaka mchana njaa itakuuma na hakuna anayeamua kula Breakfast fast kwasababu ya afya
Mkuu unafuatilia maelezo ya professor janabi kuhusu kula na unamuona yeye muonekano wake alivyo watanzania tunapenda kula ndio tatizo.
 
Hiyo ni kweli mkuu. Hata uki- skip lunch, dinner moja kwa siku si vibaya na ni nzuri kiafya.
Hata professor janabi alishawahi kuelezea siku moja kuhusu kula hovyo na kufanya mazoezi bila kupima heart beat kwasababu kuna uwezekano wa kupata heart attack au cardiac arrest watu wanakimbia kimbia tu ndio maana wachezaji licha ya kufanya mazoezi ila wana dondoka na kufariki wakati mwingine.
 
Huyo mzungu ni wa kupuuzwa. Ila ni kweli mazoezi ukizidisha lazima uzeeke. Sura inajikunja. Kukimbia kilometa zisizozidi 3 ni sahihi kiafya. Mazoezi makali ya kukimbia lazima yakuletee shida kwenye magoti. Wanariadha wengi wakifika uzeeni hupambana sana na goti. Na kama unapenda kukimbia jitahidi kula vitu vinavyosaidia kuongeza lubricants kwenye magoti na sehemu zingine mifupa inapoungana. Mtu kama dronedrake hapaswi kufanya jogging maana kila siku anapoteza lubricants nyingi kupitia nyeto.
Hahahahahah anapoteza uloto tu dronedrake
 
Kitu kama hicho hata mimi namuunga mkono ila sio kwenye swala la mazoezi. Chai hata mimi mara nyingi sinywi ila mazoezi nikifanya naona faida zake kwangu na sio kwa kuambiwa.
Kabla haujaanza kufanya jogging lazima kwanza ufanye vipimo vya kucheck moyo kama upo sawa sasa watu wanakimbia kimbia tu it's very dangerous for their health.
 

Attachments

  • ff.jpg
    ff.jpg
    431.3 KB · Views: 2
Una akili za hovyo Sana za kushikiwa kwahio mzungu kusema NIKE ndio walianza kampeni ya Jogging ili wauze viatu kwahio Jogging inakuwa sio mazoezi tena na hayana faida kwenye mwili just because yalikuwa influenced na NIKE Hilo wauze viatu what kind of thinking is this??

Hii inamaana ikitokea mfano Bank Kama NMB ikaanzosha kampeni ya kuweka akiba ya kukufaa uzeeeni au baadae na kampeni ikashika moto watu wakawa wanaweka akiba So kwako hio akiba inakua haina faida Just because NMB walianzisha kampeni tu wapate faida kibaishara

Kuna mitano zaidi ya 100 naweza kuweka hapa Cha muhimu chakata ubongo wako kabla ya kuuitimisha jambo pia Mzungu anakufanya zwazwa Kama hivyo na wewe unakubali

JOGGING
Ni aina ya mazoezi yaliyo na faida kibao
1/Kuchoma mafuta
2/Kuimarisha misuri
3/Kuimarisha mfumo wa hewa
4/Kuimarisha mzunguuko wa damu
5/Body Speed and flexibility
6/Muscles Endurance
7/NK (I can list to 100 here)
Hivi mwili hauwezi kuchoma mafuta wenyewe tu kwa hali ya kawaida ?
 
Back
Top Bottom