Wanaoishambulia ACT-Wazalendo kujiunga SUK wajiulize kama CHADEMA hawajapokea ruzuku ya Novemba 2020

Mzee tofautisha kuwekewa kwenye akaunti na kuitumia, serikali ina akaunt ya cdm kwahiyo wanaweza weka saa yoyote wakitaka hapa la kujiuliza cdm wameitumia hiyo pesa kama wameitumia tupe ushahidi kuwa imetumika
 
Na hii thread imeanzishwa na kamanda kuhoji mambo ya chama chao? Mbona humlaumu kada mwenzako kwa kushupalia Mambo ya CDM?
Hivi wewe ungeambiwa chama chako ni cha wavuta bangi ungeacha kutoa povu? Usiendekeze tabia ya kinafik.

Amandla...
 
Na hii thread imeanzishwa na kamanda kuhoji mambo ya chama chao? Mbona humlaumu kada mwenzako kwa kushupalia Mambo ya CDM?
Hivi wewe ungeambiwa chama chako ni cha wavuta bangi ungeacha kutoa povu? Usiendekeze tabia ya kinafik.

Amandla...
Kama kweli ni cha wavuta bangi na mtu anaushahidi,kwanini nipinge au kukataa??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Du, wameanza matusi. Hawawezekani hawaaa. Ndio watawakabili chama cha majambazi hawa. Maana wewe unatukana wao wanafanya kweli.
 
Halalisha haramu kuwa halali. Nimependa koment zako. Mkiendelea kukoment namna hii itachukua miaka mingi sana kuitoa CCM madarakani.

Hapa ndio Zitto anazoa point tu. Anawasubiri mwezi mzima mteme cheche akiibuka wanachama wote wenye akili wa CHADEMA wanahamia ACT. CHADEMA watabaki wanamatusi tu, yaani walioshindwa kutumia akili zao.
 
Ina maana sisi wananchi ni Walevi?
Ndio SISI WANANCHI NI WAJINGA SANA TU. WATU WAANZE CHAMA WAKILETE KTK SIASA BAADHI YETU MILIONI 14 WASHBIKIE VYAMA HIVYO HALAFU TUWE TUNAVILIPA RUZUKU. Balaa gani wametuletea wabunge. Licha ya mishahara ya karibia miilioni 12 kwa mwezi acha miposho SHUKRANI YAO WAMETUBEBESHA TENA MZIGO WA KULIPIA RUZUKU VYAMA VYAO. MIMI SIPIGI TENA KURA WALA KUWA NA CHAMA. Sishiriki ktk dhuluma. KWANI NI LAZIMA WAB6NGE WAWE NA VYAMA? SI MTU YOYOTE AJIELEZE NA SERA ZAKE TUTAMCHAGUA? HIVI WALE WANAOPOTEZA KTK UCHAGUXI WANAFIDIWA NINI? SASA SABABU ZIPI VYAMA VIPEWE RUZUKU? VILIANZA NA RUZUKU? MBONA TANU ILIKUWA INAENDESHWA BILA RUZUKU AU CCM YA MWANZO? SI WANACHAMA NDIO WALIHUSIKA TU NA MIRADI YAO WALIYOANZISHA?
 
Wafia chama wata Dislike huu uziπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama kweli ni cha wavuta bangi na mtu anaushahidi,kwanini nipinge au kukataa??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ungekuwa na ushahidi ungeweka. Lakini ujue kuwa kuna tofauti kati ya chama CHA wavuta bangi na chama CHENYE wavuta bangi. Ili uthibitishe kuwa Chadema ni chama CHA wavuta bangi itabidi uthibitishe kuwa sharti la kuwa mwanachama wa Chadema ni uwe mvuta bangi. Kwa maneno mengine wanachama WOTE wa Chadema wanavuta bangi. Hii ni pamoja na wale ambao sasa hivi sio wanachama wa CHADEMA.

Usipofanya hivyo itaonyesha kuwa wewe ni mmoja wa wale ambao uzushi na matusi ndio msingi wa maisha yako.

Amandla....
 
Mkuu inaoneokana kwenu hakuna wakubwa.
NB;sio kila kitu utakipata jf au Google..tafadhali keti chini na mzee wako akupe msingi wa maisha ,kulikoni kujibu jibu tu hoja ilimradi uonekane umechangia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…