Wanaojifanya kumjua sana mwanamke, wanajidanganya


Ishi kwa akili sana na mwanamke,kuna watu wanawaamini wake zao kwa 100%. Sasa ukipigwa tukio usitusumbue oooh bora nife-kufaaaaaa 😅😅😅😅
 
Wanawake na wanaume wote ni wa ovyo na hakuna uharibifu bila uwepo wa wanaume

Unatongoza mke wa mtu hadi unampa mimba nani ni muharibifu? Na mwanamke unakubali kutoka nje ya ndoa nae ni mwehu Kwa kifupi wote hatuna akili.
kuna kitu ambacho mwenye akili anaweza gundua dunia imebadilika c wajibu wa mwanamke tu kuwa muaminifu bali sote malalamiko mengi ya sisi wanaume yanakuwa ni hadithi za upande mmoja
Ila wazee Mimi mwenyewe huwa nadatishwa na tabia za wanawake so nimekaa kama mtazamaji kozi hii in vita ya watu wanaopelekwa kwa akili zao dhid ya wale wenye hisia za mioyo sasa hawa watu wanatakiwa waishi pamoja utasema nn pale mwenye akili anapoamini mawazo ya akili yake ni sahihi wakati huo huo yule mwenye hisia anatumia hisia zake hapa
 
Sawa no problem.
 
😂😂😂😂Unajua Kuna malipo ajiulize yeye hajawahi kula mke wa mtu kweli 😀sema huenda kazidiwa mkew kapewa na mimba 😂😂
Lakini hawa watu ni walalamishi sana jamani tatizo anaecheka si tatizo ila namalizia kicheko ndio anaonekana nacheka sana, nasema mwanamke bila kuvurugwa si rahisi kuvuruga japo si wote lakini wengi wao anachokozwa baadae naona aah kama mbwai mbwai tu... qanaume pia wajitafakari.
 
Hata hapo kwenye kukuzalia watoto bado unaweza kupigwa kanyaboya......kwa hiyo ni majaliwa ya Mola tu.
 
Hao wote waliowataja ni wanaume tofauti na yumkini hata yeye kwa upande wa sifa zote za mke hana ila tu kama binadamu tunapaswa kuvumiliana na kubebeana mizigo. Akimpata mchannga Mungu atasema si fundi kitandani, akimpata fundi kitandani atakuwa hana hela, akiwa na hela atakuwa si romantic. Hiyo ndo hulka ya mwanadamu Hawa alikosa nini bustanini ili hali alimilikishwa kila kitu ispokuwa tu mti wa kujua mema na mabaya??/
 
Asilimia tisini wanawake sisi ndio tunawafanya wasieleweke kwa sababu wao wanatufuata sisi ,mara Leo tunapenda wenye tako na wao wanaishi humohumo ,mara Leo weupe na wao humo humo, ukiona mwanamke anachepuka tambua amesababisha mwanaume either mchepuko wake au mume wake , sio kwamba wanawake hawaeleweki ni sisi wanaume ndio hatuelewek ndio maana tunawayumbisha na wao , na mbaya zaadi wale tusioweza kuwayumbisha tunawaita feminist [emoji1787]
 
Mwanaume kuchepuka au kuwa na wake zaidi ya mmoja ni asili yake, ndo maana kuchepuka linakuwa tukio kubwa na la kushangaza kwa mwanamke kuliko mwanaume na hata madhara yatakayotokea endapo mwanamke atabainika kuchepuka ni makubwa zaidi kuliko akichepuka mwanaume.
 
Kiweke mkuu tujifunze

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Kama ni mimi atakuta talaka na mabegi yake mlangoni siwezi kuishi na mwanamke msaloti mimi huyo hana haki hata ya kutembelewa huko hospital inabidi utuambie kitakachoendelea
 
Mwambie huyo jamaa
 
Mwanaume kuchepuka ni nature, umewahi kujiuliza kwa nini mwanamke anatoa yai moja kwa mwezi ili hali mwanaume bao moja lina mbegu si chini ya milion 15 mpaka milion 200kutegemeana na afya ya mhusika. Mwanaume kwa maisha yake yote huweza kutoa mbegu 525 billion ili hali mwanamke hutoa mayai milion mbili tu. Unafikiri ni kwa nini iwe hivyo? nature inatutaka wanaume kumiliki jike zaidi ya mmoja. Mpaka sasa dunia inakadiliwa kuwa na watu bilion 8. Hivyo game ya siku moja ikiwa atapiga vitatu tayari amemaliza wanawake wa dunia nzima. Hahhahaaaaa ndo maana waislam wakaweka angalau wanne ili tuwapunguze. Na mkisema hii mambo ibaki kwa wenye ndoa kuna wanawake watakufa bila kuonja dushe.
 
Mbegu million 15 ni kwa dhumuni la kuzaliana mkuu , hyo nature unayosema ndio imebalance sasa hakuna mtu wenye watoto 500 ili kuendana na mahitaji.
 
Hahahaaa!
Ndo maana sitaki na wala sijawahi kamwe kuumiza mbongo yangu juu ya mwanamke...!

Nikiwa kama kidume niliyekamilika na namudu kumuhudumia mwanamke, ilinilazimu kuoa na kuishi na hawa viumbe kwa maana ya kujenga familia na kubalance mahusiano...!

Tuishi nao tu watulelee wanetu make nasi tulizaliwa tukalelewa na wazazizi wote ila ukitaka amani itamalaki kwenye mji wako, always don't take it personal. Mlikutana ukubwani tu, usijifanye kama umemfinyanga wewe yule ni kiumbe mwenye akili na utashi wake. Ana uwezo wa kuenenda na njia impasayo mwenyewe.
 
Unajua sio tu mwanmke haieleweki.. Wanadamu wote hawaeleweki.. Yaani mme au ke... Hata mwanmke asijidai mume wangu mwaminifu... Yaani kama sifa jipe mwenyewe maana unajijua... Tukumbuke hatufanani ndio maana hata finger print inaonyesha wazi kwamba kila mtu ni tofauti... Hata mkiwa pacha... Kwa hiyo tusiwalaumu tu wanawake... Maana unaweza jiuliza hilo dume Lililompa mimba mke wa mtu Hana mke kweli? Ha kuogopa kufanya jambo hilo kwa mke wa mwenzie? Binadamu wote ni complex being... Tusiaminiane tu😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…