Wanaojifanya kumjua sana mwanamke, wanajidanganya

Umeng'aka

Mahusiano ni fumbo full stop
 
Foolish, hujaelewa vizuri
 
Nakukumbusha pia kuwa Ke ni kambavu kamoja tu tokana na Me.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Angalia hapa:
Adamu aliponzwa na mwanamke
Samson aliponzwa na mwanamke
Rutu aliponzwa na mwanamke
Mfalme suleiman aliponzwa na mwanamke
Dola ya rumi chanzo cha kuanguka ni mwanamke

Ndio maana vitabu vitakatifu vikawaasa wanaume muishi nao kwa akili sana maana anaweza kua analia usoni kumbe moyoni anacheka tu na anaweza kua anacheka kumbe usoni analia ni vyema kua makini sana .mwanamke sio kiumbe dhaifu kama wengi mnavodhani, kama aliweza kupanga mipango na nyoka unadhani atashindwa kupanga nini huyu kiumbe
 
Wanawake na wanaume wote ni WA ovyo na hakuna uharibifu bila uwepo wa wanaume

Unatongoza mke wa mtu had unampa mimba nani ni muharibifu?
Na mwanamke unakubali kutoka nje ya ndoa nae ni mwehu Kwa kifupi wote hatuna akili
Hii umeandika tu hujakutana na wazee hizo mambo mwenyewe utarudisha mpira kwa kipa. Kuna mabaharia wakiamua hata mwaka wanautenga ili wakupige mambo. Nataka nikwambie jambo moja mtu yeyote akishaingia kwenye ndoa concentration ya mambo ya mapenzi inapungua, iwe mwanamke au mwanaume na wengi tunajikita kwenye issue ya maisha, kama kutafuta hela, kujenga na kusomesha watoto.
Hapa ndo mabaharia huingia na niwaombe samahani kwa kutoa siri za kambi. Hapa baharia atatenga muda ili tu akuvue nguo atahakikisha kwa siku anakujulia hali hata mara nne, yaani asubuhi, mchana, alasiri na jioni.
Huambatana na vijizawadi vidogo vidogo tu ambavyo havilingani thamani na vile alivokupatia mmeo. ( Wanawake wa kileo mtaanza kumwita baharia ROMANTIC) hahaha yaani ngoja nicheke. Ghafla utajikuta mwenyewe unampangia ratiba ya muda gani mzuri wa kuwasiliana na wewe.

Mzee baba akirudi nyumbani ana stress, watoto wanataka ada, chuo boom halijatoka, mara mzigo umekwama bandarini, gari imegonga nk. Akijitahidi anagonga kimoja na hana story analala usingizi. Baharia akija kwa sababu akili yake ameiandaa kwa ajili ya hayo mambo nawe umejiandaa kwa ajili hizo mambo, mechi inakuwa finali kila mmoja anaonyesha uwezo wa kumili dimba.
 
Na Huyo mwanamke Alikuwa na Mwanaume. Yaani hakuna Mwanamke bila mwanaume, yaani hakuna Kosa la Mwanamke Mwanaume Hajahusika!

Hila nitatizo la wote sio kutwa mwanamke mwanamke
Mwanaume yeye Ruksa.
Shida hujui mwanamke ni kwa ajili ya mume na mume si kwa ajili ya mke
 
WAnawake yafaa wadhibitiwe
 
Je Yusufu na Ayubu nao waliponzwa na nani?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Nimecheka sana.
Ndio maana siku ambayo unaona mpenzi wako ana vibe sana ndio siku ya kuitilia shaka.
 
Nimecheka sana.
Ndio maana siku ambayo unaona mpenzi wako ana vibe sana ndio siku ya kuitilia shaka.
Ogopa sana, hats siku ukiletewa zawadi uipendayo kupitiliza[emoji23]
 
Ugonjwa ni siri ya Daktari na Mgonjwa labda mgonjwa aamue yeye mwenyewe kusema hasa akiwa na fahamu zake anajitambua. Ni kosa kama Daktari alimsema, kumzodoa , au kumshutumu ameitoa makusudi hata kama amegundua ni hivyo. Labda yeye mwenyewe mgonjwa aseme wazi kuwa ameitoa na awaambie ndugu na jamaa na marafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…