Wanaojiita “Samia Queens” ni akina nani na wanatafuta nini?

Demokrasia tu hiyo.

Wameamua kumsupport mwanachama mwenzao na mwenyekiti wa chama chao kama wengine tu walioamua kuandamana.

Shida ya nchi hii wote hatuziwezi siasa na wala hatujui maana ya demokrasia basi ni vuruguvurugu tu.
 
Demokrasia wazee, hawana dhambi yeyote wao wameamua kumuunga mkono wampendaye hatuna mamlaka yakuwalazimisha wapende tukipendacho.
 
Njaa mbaya sana😏
 
Zindua na wewe Mukya Queen au Mbowe Queen kwani umekatazwa?
 
Si umewaona wako wazi Mkuu, bongo movies na some bongo fleva.

Ni wale wale tulio wazoea miaka yote ikikatiria chaguzi na fursa mbalimbali.

Acha watekeleze jukumu lao la "usanii".

🤣🤣🤣
 
Mbona sijaon mahal mbowe katajwakwa huu Uzi 🧐
 
Zilipendwa wanatafuta pa kutokea.
Mwasiti na genge lake umri na mistari kwisney
 
Nchi ngum sana hii, tutaona majina mpaka ya pangoni kipindi ichi,mpaka aibu yani, mara chawa, mara friend of Samia sasa Queens, shida tupu
 
Hawa watakuwa wanafanya ile kazi ya Lucas mwashambwa bila shaka
 
Kwa sasa sie wapenda nchi kwa vizazi vijavyo tunaendelea kujipanga vizuri , uchaguzi ukifanyika ccm itaondoka madarakani mapema sana , acha waendelee na maigizo yao ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…