Wanaojiita “Samia Queens” ni akina nani na wanatafuta nini?

Tumepata agenda mpya kwenye maandamano yetu ya amani.
 
Hii mishangazi ndiyo ma Queen?
 
Ukiacha Israel ,Ugerumani inafuata kwa watu wenye akili,Sasa tuseme kwakuwa Miekael alitawala Ugerumani kwa. miaka zaidi ya 20 basi Wagerumani walikosa akili.Watu wanataka"deliverrance na uumini wa kiongozi" na si show za ah, nimeng'atuka nimeng'atuka,mara talanta gaaa..
 
Mleta mada asikilizwe ana point. Jee kama kikundi cha malaya kikiamua kujiita Samia queens inakubalika tuu? Au pale Tandale kundi la panya road wakijiita "Samia strong boys" nayo inakubalika tuu kwa vile jina linapata milage?
 
Njaaa mbaya Sana
 
Huo ni fitina wanatengeneza makundi ya kichawa ya kujikomba na kusababisha migawanyiko. Kuna wajinga wengine waliaanzisha walichoita eti Jukwaa ;a Walimu wazalendo Bashiru wakati huo akawapiga marufuku. Hawa nao wanaangalia udhaifu wa uongozi uliopo kuwa unataka sifa sana
 
Kwani nyie machadema mnateseka na vikundi vinavyomuunga mkono Samia Kwa nini? Mbona mnalalama kama Watoto wadogo?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…