Kiukweli hili jambo linashangaza sana.
Linashangaza kwa sababu watu hawataki kujifunza. Bado kuna watu bila sababu yoyote ya msingi wanahendekeza chuki zao dhidi ya Lissu.
Lissu hana kosa lolote. Lissu hajawahi kushika madaraka makubwa ya nchi. Kwa hiyo kama kuna watu wana umaskini, njaa, maradhi, huduma duni za kijamii basi wajue sababu sio Lissu.
Wajifunze kuwa kuweka chuki moyoni dhidi ya Lissu ni kujiumiza nafsi bure tu.
Hata waliomchukia kwa chuki za wazi wazi hawapo tena madarakani.
Msalimieni Mh Job.
Jioni njema Kazi iendelee.
Maridhiano daima mbele.