Wanaomchukia Tundu Lissu wanaumiza nafsi zao bure

Wanaomchukia Tundu Lissu wanaumiza nafsi zao bure

Mamluki aliyeonana na rais mstaafu mwinyi na màmluki huyo akaja kuonana rais akiwa deputy na Bado màmluki huyo akaonana na rais akiwa amiri jeshi kama haitoshi màmluki huyo kalipwa stahiki zake zote na serikali (Bado bunge)tafsiri ya màmluki itakuwa ni Kwa mujibu ya dik she nali ya chato.
Kazi kweli kweli
 
Pole sana, ungeyajua yaliyofanywa na yanayofanywa na huyo unayemuona wa maana sana yenye usaliti kwa watanzania wenzake basi labda usingemuona wa maana sana.
TL alisaliti mafisadi ila Watanzania wema wanampenda sana
 
Uzi wenye ukweli mkubwa sana
Kiukweli hili jambo linashangaza sana.

Linashangaza kwa sababu watu hawataki kujifunza. Bado kuna watu bila sababu yoyote ya msingi wanahendekeza chuki zao dhidi ya Lissu.

Lissu hana kosa lolote. Lissu hajawahi kushika madaraka makubwa ya nchi. Kwa hiyo kama kuna watu wana umaskini, njaa, maradhi, huduma duni za kijamii basi wajue sababu sio Lissu.

Wajifunze kuwa kuweka chuki moyoni dhidi ya Lissu ni kujiumiza nafsi bure tu.

Hata waliomchukia kwa chuki za wazi wazi hawapo tena madarakani.
Msalimieni Mh Job.

Jioni njema Kazi iendelee.

Maridhiano daima mbele.
 
Pole sana, ungeyajua yaliyofanywa na yanayofanywa na huyo unayemuona wa maana sana yenye usaliti kwa watanzania wenzake basi labda usingemuona wa maana sana.
Huo usaliti unaujua wewe tu?
 
Back
Top Bottom