Wanaomchukia Tundu Lissu wanaumiza nafsi zao bure

He is a dead horse, do not go about beating a dead horse. He likes his own voice, to be sure, bur that's insuffient to justify your treasonous roll.
Sisi wa Dumila hapa tutakuelewa kweli?
 
Unaangalia hayo tu? Hilo deni aliotuachia unafikili tutamaliza kulilipa mwaka gani? Huoni kuwa inawezekana vizazi vyako vitaku vitakosa ajira kwa sababu ya uharibifu alioufanya Magufuli kwenye uchumi wetu
 
Umeongea point.... ni UPUMBAVU ulikidhiri kumchukia mtu asiye na maamuzi wa hatma ya matatizo ya jamii yako
 
Sasa unamchukiaje MTU aliyenusurika kufa,mi nadhani ni jambo la kumshukuru Mungu na kumpa ushindi kwa kumpa uhai mpaka Leo.
 
Unaangalia hayo tu? Hilo deni aliotuachia unafikili tutamaliza kuliapa mwaka gani? Huoni kuwa inawezekana vizazi vyako vitaku vitakosa ajira kwa sababu ya uharibifu alioufanya Magufuli kwenye uchumi wetu
Kweli kabisa. Deni na matokeo ni vitu viwilo tofauti
 
Wanaomchukia Lissu watapotea kiaina kama yule mkuu wao alivyopotea.
 
Upuuzi mtupu.
 
Kumchukia kilema wa maisha anaemuwaza magufuli muda wote ni ujinga. Mwacheni aendelee kupayuka kwa amani jamani, akimaliza atarudi kwao ubelgiji
Hii comment imenikitisha sana. Ndugu uwe na utu na ubinadamu. Rudia kusoma ulivjoandika. Umeshafikiria aliyoyapitia ndugu Lissu?. Sisi ni Binafamu sio manyani..
Unaweza pata ukemavu anytime hata wewe huijui kesho yako.

Tubu tu hata kimoyomoyo!
 
Hizi ndio siasa zao ndugu wala usiwashangae
 
Wenye hatia wanapelekwa mahakamani lofa wewe hawashambuliwi na risasi majumbani huo ni uhalifu. State terrorism from a terrorist magufuli.
Aliyekudanganya hivyo ninani?? Kila nchi unayoijua duniani inamifumo nje ya mahakama ya kudeal na mamluki.
 
Aliyekudanganya hivyo ninani?? Kila nchi unayoijua duniani inamifumo nje ya mahakama ya kudeal na mamluki.
Mamluki aliyeonana na rais mstaafu mwinyi na màmluki huyo akaja kuonana rais akiwa deputy na Bado màmluki huyo akaonana na rais akiwa amiri jeshi kama haitoshi màmluki huyo kalipwa stahiki zake zote na serikali (Bado bunge)tafsiri ya màmluki itakuwa ni Kwa mujibu ya dik she nali ya chato.
 
Mamluki aliyeonana na rais akiwa deputy na Bado màmluki huyo akaonana na rais akiwa amiri jeshi kama haitoshi màmluki huyo kalipwa stahiki zake zote na serikali (Bado bunge)tafsiri ya màmluki itakuwa ni Kwa mujibu ya dik she nali ya chato.
Pesa sabuni ya roho, hayo malipo ni plan nyingine mzee hayajatolewa bahati mbaya, mamluki anavutwa Karibu.
 
Hii comment imenikitisha sana. Ndugu uwe na utu na ubinadamu. Rudia kusoma ulivjoandika. Umeshafikiria aliyoyapitia ndugu Lissu?. Sisi ni Binafamu sio manyani..
Unaweza pata ukemavu anytime hata wewe huijui kesho yako.

Tubu tu hata kimoyomoyo!
Pole sana, ungeyajua yaliyofanywa na yanayofanywa na huyo unayemuona wa maana sana yenye usaliti kwa watanzania wenzake basi labda usingemuona wa maana sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…