TATACHACHA
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 793
- 1,671
Ngoma anazotoa saizi youngkiller assume ndo zingekuwa ndo ngoma zake za kutokea unafikir angetoka ? Kilichobaki apo ni jina tu ila ubora hana tena na ht kibiashara lazima anawakati mgumuMuziki ni biashara, yaani ajira ambayo imebadilisha maisha ya vijana wengi Duniani.
Kwahiyo hawezi kuimba muziki usiomlipa, Wala kumnufaisha eti kisa mashabiki tunaupenda.
Hata wewe huwezi fanya biashara ambayo wateja wengi wanakuzunguka lakini haina faida kwako
Muziki ni biashara, yaani ajira ambayo imebadilisha maisha ya vijana wengi Duniani.
Kwahiyo hawezi kuimba muziki usiomlipa, Wala kumnufaisha eti kisa mashabiki tunaupenda.
Hata wewe huwezi fanya biashara ambayo wateja wengi wanakuzunguka lakini haina faida
Kweli kabisa, anabebebwa na ukubwa wa jina tu, sawa na muuza k, uchi/ kibwenyee! kubebwa na ukubwa wa kalioo lake tu! Hakuna utofautiNgoma anazotoa saizi youngkiller assume ndo zingekuwa ndo ngoma zake za kutokea unafikir angetoka ? Kilichobaki apo ni jina tu ila ubora hana tena na ht kibiashara lazima anawakati mgumu
Kweli kbs kilichobaki ni jina tuu linampitisha.....Ngoma anazotoa saizi youngkiller assume ndo zingekuwa ndo ngoma zake za kutokea unafikir angetoka ? Kilichobaki apo ni jina tu ila ubora hana tena na ht kibiashara lazima anawakati mgumu
Back in 2013 namkumbuka sana huyu dogo cheche zake kuanzia Dear Gamble, Mrs Superstar n.k, nilikuwa fan wake mkubwa, ukichanganya kule kuchana kwake kuchanganya swaggs kama young daddy.
Nimemiss zile flavour real kutoka kwa huyu dogo, nashindwa kuelewa tatizo liko wapi? Ameshindwa kabisa kuendana gemu inavyonyumbulika, anyumbulike nayo kama wengine wakina Lunya aisee.
Siku hizi Young Killer hachani tena kwa swags zenye punchlines kama wenzake wakina lunya n.k, ninachokiona anapayuka tu na muziki wake umekosa ile test (ladha) kabisa.
Kama uko humu habari unazo, not too late to rectify, power to you.
View attachment 2432521
Wewe mzeeya unaujua muziki nimekupa nyota zote,young killer wa sasa ni bora kuliko wa mwanzo kuanzia uandishi hadi flow,ana maneno fulani yenye kufikirisha na kuuona utamu wa muziki.mtoa mada ndio type ya wale watu wanaoshabikia muziki kwa kufuata mkumbo yaani wimbo mzuri ni ule unaopigwa redioni mara kwa mara.Hiyo dear gambe hata kwenye playlist ya nyimbo zangu kali za young killer haimo lakini mtoa post yeye ndio anazikumbuka hizo kwa kuwa zilipigwa sana redioni na kwenye tv wakati young killer ana madude makali wala hayana airtime kubwa kwenye main stream.WABONGO TUMEKALILISHWA SANA KWAMBA WIMBO UKIWA OUT OF MAIN STREAM SIO MZURI hadi tuusikie redioni ukipigwa kila mara!!!!Mkuu mziki ubadirika lakini pia umri unasogea sio kila siku mtu utabaki na Radha ile ile, kuchange Kwa maisha ndio kunachange life style na kila kitu
Ukiongelea mabadiriko basi hutoishia kuyaona Kwa young killer tu Peke yake, bali utajiuliza Yule Nikki mbishi wa zamani Yuko wapi,Yule One wa zamani alienda wapi, Diamond wa Kamwambie alienda wapi, je Fid Q naye mbona amekuwa hivi
Young killer leo hii sio young tena bali ni Bro ila amebakia na Jina lake la kazi tu ila ni mtu mzima kwahiyo ata utunzi wake umekuwa wa kikubwa sio kama yule killer wa dear Mrs superstar
Lunya unaemtaja leo kawa inspired na huyo killer unaemponda, style ya uandishi ya Lunya ameutoa Kwa killer, maana ata kilichompa umaarufu lunya ni zile Ngoma zake ambazo anazoita freestyle ambazo amezipa session
Anachokifanya leo Lunya alianza kufanya Young killer tangu mwaka 2016 alipoanza kutoa single ambazo hazina chorus kama alichokuwa anafanya leo hii Lunya, killer yeye alikuwa anaziita sinaga swagger na zikawa na parts
Kwahiyo kwa wale ambao ni mashabiki wa killer tangu enzi za Dear Gambe ni wazi kuwa nawao pia wamekuwa kiumri pia kifikra, kwahiyo hawawezi kumuelewa killer endapo ataendelea kubaki yule yule wa miaka 5 nyuma
Kaskilize Album ya Super Nyota yote ndio utajua kuwa killer unaemtaka wewe sio yule wa miaka ile tena, saizi ni Matured enough kuweza kukupa chakula ya ubongo lakini pia kukuburudishaa
Mpe mauwa yake Lunya ila bila kudharau uwezo wa sasa wa Young killer, huyu ni level ya juu sana kumlinganisha na Lunya
Dogo mziki anaupa radha ya kufikiriasijawahi kumuelewa na mistari yake kama "malaya kawa bikra" sasa unajiuliza kapataje