TATACHACHA
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 793
- 1,671
Back in 2013 namkumbuka sana huyu dogo cheche zake kuanzia Dear Gamble, Mrs Superstar n.k, nilikuwa fan wake mkubwa, ukichanganya kule kuchana kwake kuchanganya swaggs kama young daddy.
Nimemiss zile flavour real kutoka kwa huyu dogo, nashindwa kuelewa tatizo liko wapi? Ameshindwa kabisa kuendana gemu inavyonyumbulika, anyumbulike nayo kama wengine wakina Lunya aisee.
Siku hizi Young Killer hachani tena kwa swags zenye punchlines kama wenzake wakina lunya n.k, ninachokiona anapayuka tu na muziki wake umekosa ile test (ladha) kabisa.
Kama uko humu habari unazo, not too late to rectify, power to you.