Wanaoondoka CHADEMA ni waliokuwa Viongozi peke yao, Vipi Wanachama?

Umesikia kale kamwimbo kule Mwanza, Musoma na kwingineko wanachoimba wanachadema?
Natamani ukasikie ila kwa maneno "ya iya iya CHADEMA" nenda kawalipe pale hata mia moja, ukawalipie press conference kuwa wnajitoa CHADEMA. Halafu mpeleke Heche na timu yake pale wawashe moto utakasikia tena kale kamwimbo kanaimbwa kwa Furaha. Ya iya iya CHADEMA!!!

Bado hamjasema.
 
Wengi wa viongozi wanaohama ukiwachunguza kwa makini ni wabaguzi na wakabila! Dhana iliyokuwepo kuwa Chadema ni Chama cha wachaga ilijengwa na hawa wanaohama na sasa imejidhihirisha kuwa baada ya Mbowe kushindwa uchaguzi wamekosa ushawishi!
 
Fundi...
Ushahidi kama wa mahakamani sina kuwa nikupe majina na no za kadi zao.

Lakini tufanye "deduction" tuchukue kwa mfano hao wote si wanachama wa CHADEMA ni wananchi.

Unaonaje?
Naungana na aliyesema Mohamed Said ni hazina, maana taifa inabidi tupate amani kuwa Kuna wazee wenye hekima siyo akina Wassira, Makamba na Kikwete.

Wewe na Warioba walau mnatupa matumaini, hili jibu maridhawa kwa CHAWA
 
Huwezi nunua Itikadi..amini kwamba hata wanaohama CHADEMA..lazima wamnyooshe CCM kwenye sanduku la kura.
 
Chama chochote cha siasa kinategemea wanachama, wakeleketwa, na mashabiki wake!!. Viongozi wa vyama hawazidi hata 200!!. Ndio maana hata kwenye uchaguzi wa chadema kilichoamua ni wakeleketwa,wanachama na wapenzi wa chadema....
 
Viongozi walioshindwa wa kambi ya Mbowe wanadhani kwakuwa maalim Seif alihama na wafuasi wake na kumuachia Lipumba majengo, wanadhani nao watakuwa na ushawishi aliokuwa nao maalim Seif. Wasiochofahamu hili kundi la Mbowe ni kuwa maalim Seif alijipambanua kwa wafuasi kuwa hana uhusiano wowote na ccm. Sasa hili kundi la Mbowe, linataka kwenda kufanya siasa zinazoratibiwa na ccm, wakati wafuasi wengi wa cdm ni paka na panya na miongozo ya ccm.
 
Fundi...
Ushahidi kama wa mahakamani sina kuwa nikupe majina na no za kadi zao.

Lakini tufanye "deduction" tuchukue kwa mfano hao wote si wanachama wa CHADEMA ni wananchi.

Unaonaje?
Tukifanya hivyo swali lako linakuwa moot maana uli uliza itakuwaje wanachama wa CDM wanajazana kwenye mikutano ya hadhara ya NRNE lakini hawawasindikizi G-55 kwenye presa zao! Sasa kama hata kwenye mikutano ya hadhara hawaendi utashangaaje kutokuwepo kwao kwenye Presa za G-55?
Mimi naamini wanachama wanahudhuria mikutano ya hadhara na wapo wanaoungq mkono msimamo wa G-55. Lakini unachofanya ni deflection kutufanya tusizungumzie ukweli kuwa kuna viongozi na wanachama wa CDM wanatoka kwenye chama hicho.

Amandla...
 
Naungana na aliyesema Mohamed Said ni hazina, maana taifa inabidi tupate amani kuwa Kuna wazee wenye hekima siyo akina Wassira, Makamba na Kikwete.

Wewe na Warioba walau mnatupa matumaini, hili jibu maridhawa kwa CHAWA
Hivi huyu mzee warioba yuko wapi?
 
Mwenye ( Saco)...ni msemo wa Kenya...ameamua kuondoka na uongozi wake.
Mbowe amefunua rangi zake.
Watu wameshtuka hawana habari naye
 
Fundi...
Hakuna mtikisiko wowote mitaani.

Hawa wananchi walioko katika viwanja vya mikutano ya CHADEMA wako mbali sana na wahamaji chama.

Hili mosi.

Pili hawa wameshatoka CHADEMA.

Wanapo pengine pa kuwasiliana na wananchi?

Sijui kama wanatambua wanakuwa News kwa kutangaza kutoka CHADEMA.

Baada ya kutoka CHADEMA...
Wanapotea hakuna anaewakumbuka.
 
Hao wabaki huko huko
 
Hayo Majinga hata yasiingie cdm,yatavuruga mambo kwa kuleta uchawa
 
Shida tulionya kuwa akishindwa Mbowe lazima wachaga wahame tulioita Chagadema tulimaanisha. Ulikuwa mradi wao hawa siyo wakuwapa nchi safari hii wamejichoresha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…