That means for 100w output we need 0.2mV as input signalNaweza kuku chambulia hiyo amplifier yako na kukupa elimu zaidi mfano hapo kwenye resistor ya 22k inayo ungana na resistor ya 220 ohms unajua nini maana yake ? Hiyo 22k ni FEEDBACK RESISTOR...hapo ukitaka kujua gain ya amplifier yako unatakiwa kugawanya hiyo 22k ÷kwa 220= 100 gain hivyo hiyo amplifier yako ina gain ya 100
What is the frequency response of this circuit
Ile ya kwanza yenye gain 100 na hii yenye gain 212Wewe ujui ila unadhani una jua ...kuna mahesabu tunafanya na kuna logic tunatumia kujua nini ni nini kama hiyo resistor ni 470ohms basi hiyo resistor ndiyo imeungana na hiyo ya 100k kwa chini hapo sasa nitakutajia GAIN YA HIYO AMPLIFIER YAKO AMBAYO ITAKUWA NI 100K ÷ 470ohms = na GAIN YA 212 hivyo hii amplifier ina nguvu zaidi ya ile ya kwanza .....tatizo lako ujui kwanini nataja sana neno GAIN badala ya kujifunza unaleta ubishi ....mafundi wengi mnasumbuliwa na mechanics ya tepu ya redio za sony ila mimi niwewaelekeza mafundi baadhi jinsi ya ku bypass ile mechanics hivyo unakuta redio ya sony inafanya kazi bila ya raba zake za ndani au kutegemea chochote kwenye mechanics....sasa ikitokea imekufa amplifier watu kama wewe hua mnasukia kama hizo kitu cha kushangaza macho kutana nacho ni hiyo redio kuanza ghafla kutaka mechanics ya tepu mnabaki kushangaa imekuwaje ilikuwa inafanya kazi bila ya raba yoyote ila ghafla inaanza kusumbua tena kudai tape 😁😁😁
22k gawa 470ohmsNdiyo maana kuna mahesabu ...mimi sijaongea unacho ongea hapo sikusema gain yoyote ni sahihi ...ndiyo maana wakati mwingine ni bora kupunguza gain hili amplifier isidrive current nyingi na kuifanya idumu hata kwenye tda 2050 zikiwa zinalipuka na kupata joto t7nacheza na hiyo feedback resistor na hiyo divider resistor yake ....unaongeza ohms kama hapa pichani 22k gawanya kwa 470ohm sasa hapo kwenye 470 ohm unaongeza ohms na hata 1k au 2k joto na kuungua kwa tda kunakwisha mazima ...pichani nimeonyesha tda 2050 na feedback resistor yake ni 22k na devider resistor yake ni 470ohm
Naona tumeanza kuongea lugha moja Sasa Kama ulikuwa unajua hivyo kwa Nini ulinitoa akili kwamba nimeweka resistor kubwa wakati kilakitu kinaeleweka nimeisha fanya project nyingi Sana mpaka nikafahamu ukitoa hiki ukaweka hiki inakuwa hivi ssa ngoja nikwambie hiyo 22k feedback resistor uki iparallel na 560ohms unaondoa high frequency na amplifier yako itakuwa inapiga low peke yake yani bass only
Ku parallel means umeunga 22k na 560o
UliThat means for 100w output we need 0.2mV as input signal
Yako umejifunza wapiAgera 1 naona unashusha elimu uliyojifunza class big up bwana electronics master
Uli
Umekosea hizo ni current to current amplifier siyo volt to volt amplifier..kuna aina 4 za amplifierThat means for 100w output we need 0.2mV as input signal
Kwenye amp tunaingiza current ama ac voltageUmekosea hizo ni current to current amplifier siyo volt to volt amplifier..kuna aina 4 za amplifier
1)volt to volt amplifier
2)current to current amplifier
3)volt to current amplifier
4)current to volt amplifier.
Kwenye mambo ya sauti hapo ni current to current amplifier...yaani in put current × gain=out put power
Hapa kwenya amplifier hatuangalii main supply volt...kwenye amplifier ya sauti ni current to current amplifierKwenye amp tunaingiza current ama ac voltage
Unachanganya ma fileUmekosea hizo ni current to current amplifier siyo volt to volt amplifier..kuna aina 4 za amplifier
1)volt to volt amplifier
2)current to current amplifier
3)volt to current amplifier
4)current to volt amplifier.
Kwenye mambo ya sauti hapo ni current to current amplifier...yaani in put current × gain=out put power
Sauti ni current siyo volt ...hivyo gain ya 100 maana yake ni (input current ×100 gain=power of amplifierUnachanganya ma file
Yangu nimejifunza online plus practical za kutoshaYako umejifunza wapi
Haya mambo unafikiri watu wanafundishwa udsm na vyuo vyenu vingine 😄Yako umejifunza wapi
Acha kujitoa kwenye ushirika sema vyuo vyetu sio vyuo vyenuHaya mambo unafikiri watu wanafundishwa udsm na vyuo vyenu vingine 😄
Ova
😄 vyuo vyetuuu ofkoz 😄Acha kujitoa kwenye ushirika sema vyuo vyetu sio vyuo vyenu