Wanaopenda kujifunza kusuka amplifier na pre AMP zake nitafute

haya kaweke DC
 
haya wewe unayejua amplifier ukitaka kupunguza crossover distortion unafanyaje
 
haya kaweke DC
Kama unabisha basi wewe ndiyo wale wasomi feki nakushauri kafanye majaribio ya vitendo tumia analog voltmeter yaani ile ya mshale kisha tafuta Betri na transformer ...sibishanagi na watu wajinga wabishi nenda kafanye jaribio uone kama out put ya transformer haija soma volt na kurudi zero volt
 
taja alafu niambi current mirror ni nini na ina kazi gani
Kwanza unatakiwa ujue distortion inasababishwa na nini ...ni pale wave zinapo toka +v kuelekea 0 volt au kucross 0 volt kuelekea -v hapo kwenye zero volt ndiyo kunasababisha distortion.
 
Kwanza unatakiwa ujue distortion inasababishwa na nini ...ni pale wave zinapo toka +v kuelekea 0 volt au kucross 0 volt kuelekea -v hapo kwenye zero volt ndiyo kunasababisha distortion.
unaulizwa vingine unajibu vingine mie hayo nayajua.taja vitu vinavyosababisha na najinsi ya kurekebisha
 
unaulizwa vingine unajibu vingine mie hayo nayajua.taja vitu vinavyosababisha na najinsi ya kurekebisha
Tatizo ni elimu pana kidogo mfano ukitumia transform yenye centre tap ina ondoa hiyo crossover distortion...kwa,sasa muda wa kuelezea na kufafanua sina nipo kazini hadi usiku labda saa 5 usiku
 
Mimi ni the great genius of all the time ....sikumaliza hata o level niliishia form 3 sababu kuu ni mfumo wetu wa elimu unachosha na autufai magenius hata chembe ...mimi sipendi kuandika ..mfumo wetu wa elimu ni wakuandika kwa kucopy kilekile kilicho andikwa kwenye vitabu... asilimia 90 ya muda wa shule kwa mwanafunzi wa Tanzania na mfumo wetu wa elimu unatumika kucopy vitabu kwa kuviandika kwenye daftari....
 
we download michoro kopi na maelezo lakini uwafundishe lakini calculation za amplifier hujui 🤣 🤣
 
we download michoro kopi na maelezo lakini uwafundishe lakini calculation za amplifier hujui 🤣 🤣
El marabiosh jitahidi kula karrot na kunywa maji kwa wingi make naona unamatatizo ya macho na rudia kusema tena kwamba mimi ni mefanya project nyingi sana na nimepata hasara nyingi sana mpaka kupata solution ya majibu yangu na hili imeisaidia sana iko hivi wakati wewe na lwiva mnapiga mahesabu mimi nilisha jua hicho unachotaka kuweka hapo hakifai simaanishi kwamba huwa sipingi hesabu hapa na ila kuna vipengele huwa sipingi kabisa kwa sababu nilipita navyo kwenye project
 
Pia tatizo lako wewe ni lilelile la wasomi uchwara wa udsm wao wanadhani AKILI ndiyo ELIMU tofauti yangu na hao wasomi ni hapo kwenye AKILI wao wanategemea zaidi ELIMU mimi ninategemea zaidi AKILI (KUBWA)

KUNA KANUNI NILIFUNDISHA HAPA JF INASEMA ..
💥kati ya fedha na elimu chagua fedha ...tena chagua fedha bila ya kupepesa macho.
💥Ila kati ya fedha na akili chagua akili ....
 
sasa wewe ukiambiwa utengeneze amplifier ya watts 2000rms bila kukopi mchoro kwenye net utaweza bila calculations
 
Huo umeme wa DC utafanyaje kazi kwenye transformer wewe mhuni ? ,Hivi unajua hata mechanism ya electromagnetic induction inavyofanya kazi kwenye transformer ili kupata voltage kwenye zile winding za upande wa pili ?
Yaani DC ifanye induction kwenye winding au coil za transformer ,Acha usanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…