FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Eti wao wanatoa fomu moja, kwa katiba ipi uchaguzi wa mgombea fomu iwe moja, na anapewa tu mmoj?WATATAJWA KWENYE FOMU
HAWATAJWI MITANDAONI
WACHAPISHIENI FOMU
2030 Fomu zitatolewa nyingi sana kwa mujibu wa desturi ya CCM, kila mtu atapata yake, sio sasa. Andaa wagombea wako waanze kupiga jaramba kama wanao ubavu.Eti wao wanatoa fomu moja, kwa katiba ipi uchaguzi wa mgombea fomu iwe moja, na anapewa tu mmoj?
Unajua maana ya kukataliwa na watanzania ni nini ? Ingekuwa ajakataliwa siyo na watanzania tu asingw ogopa hata uchaguzi ndani ya chama chake mwenyewe samia akubaliki hata na ccm yenyeweSamia hajakataliwa na wapiga kura wa Tanzania, alikuwa mgombea mwenza wa JPM kwa miaka mitano pia ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM kabla hajawa Rais.
Mnasumbuliwa na dhambi ya ubaguzi kwa maana ya ule ukristo uliojificha ndani ya mioyo yenu na nyuma ya ID Fake za hapa JF.
Hata mimi nataka kugombeaIwe mchakato umewahi au umechekewa tunachojua sisi waliopitishwa na Mkutano Mkuu wanafahamu kuwa Rais na Makamu wanafaa kwa takwimu zao hizí tunazozifahamu.
Kila zama na Kitabu chake. Wakati wa Nyerere tulikuwa tunapiga kura za ndio au hapana, na hakuna aliyehoji ukosekanani wa wagombea wengine.
Wakati wa Mzee Mwinyi, Mwl Nyerere aliteua tu mgombea na zikapogwa kura za Ndivyo au Hapana na Mwinyi akawa Rais, Mzee malisa alikuwepo lakini hakuhoji.
Wakati wa Mkapa, Nyerere pia alikuwa na kura ya turufu kwenye uteuzi wa mgombea na kwenye uchaguzi uliofuata Mkapa hakuwa na mpinzani kutoka CCM.
Wakati wa Magufuli, akina membe walikatazwa kuchukua fomu ya kuwania ili kwendana na desturi ya CCM.
Hata Samia inafahamika kuwa CCM Ina utamaduni wa kuachiana ili Rais atimize miaka 10 yake bila bughuza.
Hawa akina Malisa na wenzake waliojificha (ghosts) wamtaje mgombea wao tumfahamu ili wote tuseme kweli huyu anazo sifa nyingi bora kuliko Samia na Nchimbi.
View: https://youtu.be/qkFhiIcXePw?si=5gSDThTeJqAfNsAg
Wana CCM wenye akili hawataki kurudia kosa kama walifanya makosa siku za nyuma wameamua kujisahihisha nao wanataka reforms. Na wao wameamua kwenda na no reforms no election.Kwashima tu kama unadhani Samia anaogopa upinzani ndani ya CCM !!
embu tutajue mpinzani wandani ya CCM 2020 wakati wa RIP JPM tuanzie apo. ???
CCM inatamaduni yake!
Nyinyi bakin na Chadema yenu Mtafika tu Ikulu ya Ubelgiji!!!!
Kavulata acha kurukaruka na tuu tetezi twako ,wewe ni mmoja wao na bado unatetea kutofuatWoga wenu ndio uliowaponza hadi mkapigwa vichwani na kitu kizito, kama mlikuwemo ndani ya Mkutano Mkuu wakati wagombea wanapitishwa lakini mlikaa kimya mnaonyesha namna msivyofaa (cowards). It is too late to catch the rat. Ningekuwa mm nina hoja za msingi ningeisema hata ikibidi kufia humo ndani ya ukumbi. ningeisema tu hata kama wengi wangenipinga na kushinda mm ningekuwa nimeonyesha demokrasia yangu ndani ya Mkutano na ndani ya chama. Kulalamika nje ya mkutano after the fact is a sign of coward, laziness and insanity.
Muda utatuambia na siii Ntuuu!it is too late bro
Msikilize Dr. Malisa kasema CCM imevunja hata katiba ya nchi kwa kuanza nominations za uchaguzi kabla Bunge halijavunjwa. Hili si jambo la katiba ya CCM, hili ni jambo la katiba ya nchi.Mahakama ya rufaa ya vyama vya siasa ni Mkutano wao Mkuu. Mkutano Mkuu uko juu ya kanuni, tamaduni na taratibu zooooooote ndani ya vyama. Kama wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama wamesema ndiyoooooooooo wewe ni nani kama sio kujitafutia shida wewe mwenyewe?
Watu kama hawa Mwl Nyerere hakusita kuwaita watu malayamalaya wanaowatumikia watu wasioonekana kwenye kamera. Watu kama hawa wakati wa Nyerere wangeshaikimbia nchi au kuwekwa kwenye kifungo cha nyumbani kwao, Hawana hoja ni kelele tu za huyoo, huyooo, mchinjeee mchinjeeee.
Watu hawa wanatupotezea focus (nuisance) ya kufanya shughuli za maendeleo ya nchi yetu huku wakijua kuwa hawana hoja inayoweza kuzikilizwa ndani na nje ya nchi. Sasa hivi dunia yote ime concentrate na sarakasi za Trump, Ukraine, Gaza, Iran, DRC. Wasidhani kuwa kuna watu wa maana sana wanaowasikiliza. Mabalozi wa nchi nyingine wako hapa hapa na wana akili nyingi za kutofautisha na kufananisha kati ya Magufuli na Samia.
Tusifike huku wakuu shida nini Taratibu zifuatwe kama Imepangwa Samia atakua Rasi tu sioni haja ya wanasema utaratibu haujafatwa tufuate huo utaratibu Uoga wa nini Mama amefanya mambo yanaonekana kwenye chama atapita Uoga wa nini?Hawawezi kuwataja na hawapo ila kinachowasubua ni wivu na hila zilizowafanya kudhubutu kujaribu kuipindisha katiba ya nchi ili tu Mh. Dr. Samia Suluhu Hassan (Rais) asiapishwe kuwa Rais wa Tanzania jambo ambalo mkuu wa majeshi mzalendo kupindukia - CDF V.S. Mabeyo (Mstaafu) hakutaka kumumunya maneno wala kupepesa macho katika kuwapinga na kuwataka wajue katiba ya nchi inataka nani aapishwe mara baada ya kifo cha Rais.
Wakae kwa kutulia sisi watanzania tutahakikisha uzalendo wa CDF wetu mstaafu tunauendeleza ipasavyo.
Kuniita mimi nyumbu ni ad hominem logical fallacy.Kimekiukwa wapi? Tangu lini na wewe umeanza kuwa nyumbu wa kudandia agenda za kupita!
Umechanganyikiwa..Iwe mchakato umewahi au umechekewa tunachojua sisi waliopitishwa na Mkutano Mkuu wanafahamu kuwa Rais na Makamu wanafaa kwa takwimu zao hizí tunazozifahamu.
Kila zama na Kitabu chake. Wakati wa Nyerere tulikuwa tunapiga kura za ndio au hapana, na hakuna aliyehoji ukosekanani wa wagombea wengine.
Wakati wa Mzee Mwinyi, Mwl Nyerere aliteua tu mgombea na zikapogwa kura za Ndivyo au Hapana na Mwinyi akawa Rais, Mzee malisa alikuwepo lakini hakuhoji.
Wakati wa Mkapa, Nyerere pia alikuwa na kura ya turufu kwenye uteuzi wa mgombea na kwenye uchaguzi uliofuata Mkapa hakuwa na mpinzani kutoka CCM.
Wakati wa Magufuli, akina membe walikatazwa kuchukua fomu ya kuwania ili kwendana na desturi ya CCM.
Hata Samia inafahamika kuwa CCM Ina utamaduni wa kuachiana ili Rais atimize miaka 10 yake bila bughuza.
Hawa akina Malisa na wenzake waliojificha (ghosts) wamtaje mgombea wao tumfahamu ili wote tuseme kweli huyu anazo sifa nyingi bora kuliko Samia na Nchimbi.
View: https://youtu.be/qkFhiIcXePw?si=5gSDThTeJqAfNsAg
Leta ushahidi wa kutokubalika kwa samia ndani ya ccm. Lakini hakuna kiongozi ambae haogopi kushindwa. Hata ile kura ya ndiyo au hapana ni njia ya kukwepa kushindwa, kuengua wagombea wa upinzani ni njia pia ya kuepuka kushindwa. CCM kumnyima fomu Membe kugombea ilikuwa njia ya kumuokoa JPM kushindwa. Yaani hawa maandazi wanaona ilikuwa sawa kwa CCM kuwapusha Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli kushindwa lakini ni vibaya CCM kutumia njia zake kumuepusha Samia kushindwa. Huu ni upuuuuuuuuuuuuuuzi wa kiwango cha lami. CCM ni ileile ooo ni ileilee jana na leo.Unajua maana ya kukataliwa na watanzania ni nini ? Ingekuwa ajakataliwa siyo na watanzania tu asingw ogopa hata uchaguzi ndani ya chama chake mwenyewe samia akubaliki hata na ccm yenyewe
Lete CV ya Dr. Malisa hapa, nikuambie yeye anamtumikia nani.Msikilize Dr. Malisa kasema CCM imevunja hata katiba ya nchi kwa kuanza nominations za uchaguzi kabla Bunge halijavunjwa. Hili si jambo la katiba ya CCM, hili ni jambo la katiba ya nchi.
Huyo ni mwana CCM anasema hivyo. Na hao wapo wengi tu wanasemea chinichini. Kwa sababu wanaogopa kutekwa na kupotezwa.
Acha kujadili watu, jadili hoja.
Kujadili watu ni ad hominem logical fallacy.
Huyo Mwalimu Nyerere uliyemnukuu aliitwa Kilimanjaro Hotel kuongea kuhusu uchaguzi wa rais wa 1995, muandishi wa habari akamuuliza kuhusu Mrema, akasema hajaenda pale kumjadili mtu, kaenda pale kujadili sifa za mgombea.
Mwalimu Nyerere alikufundisha kujadili hoja na kuacha kujadili mtu.
Mwaka 1995.
Lakini wewe mpaka leo miaka 30 baadaye bado hujaelewa somo hilo.
Yaani unaamini mi nakujua wewe?? Ili iweje hata nikujue?Kuniita mimi nyumbu ni ad hominem logical fallacy.
Tatizo hata sina uhakika kama unaelewa ad hominem fallacy ni nini.
Jadiki hoja, usinijadili mimi. Mimi si muhimu, hoja ndiyo muhimu.
Siko hapa kupata approval yako, sijawahi kukuchagua uwe mtu wa ku approve maoni na hoja zangu.
Hata sikujui. Inaonekana wewe unanifuatilia lakini usijipe umuhimu kwenye maisha yangu, mimi hata sikujui.
Huna cheo hicho.
Bado unamjadili mtu badala ya kujadili hoja.Lete CV ya Dr. Malisa hapa, nikuambie yeye anamtumikia nani.
Ni ajabu unanitaka niwe 'serious', ili iweje, nikubali ulaghai/uongo/uzandiki mwingi mnaouonyesha katika kiPindi chote cha miaka minne ya kukaa madarakani?Kwani wakati ule walipokuwa wanapiga kura za ndio au hapana walikuwa wanaogopa nini? Kuwa serious kijana, CCM wana akili za kijamaa na moyo wa kibepari,
Sasa jishangae wewe mwenyewe; kwa kudhani Katiba ya nchi haihusiani na vyama vya siasa. Mtu mwenye akili timamu, unakaa chini na kuandika maneno kama hayo!Eti huyu Mzee Malisa anasema uteuzi umevunja Katiba ya Jamhuri kwakuwa Katiba inasema shughuli za uchaguzi zinaanza baada ya bunge kuvunjwa. Na hii ni hoja yenye maana jamani?
.
Taratibu za ndani ya vyama vya siasa na katiba ya nchi ni wapi na wapi?
Kwani vyama vya siasa kama chadema au ACT wanakatazwa kumtangaza mgombea wao wakati wowote hata ikiwa ni December au January miezi 12 kabla ya uchaguzi? Wakifanya hivyo watakuwa wamevunja katiba ya jamhuri?
Sijaandika unanijua nimeandika unanifuatilia wewe guluguja ngumbaru usiyejua kusoma kwa ufahamu.Yaani unaamini mi nakujua wewe?? Ili iweje hata nikujue?
Rama locuta, causa finita. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wamehukumu na wameshafunga mjadala wa uteuzi, hakuna mtu anaweza kuhoji tena swala hilo; Labda uhoji akidi ya wajumbe kwenye mkutano Mkuu kama ilikuwa haikutimia siku ile. Mkutano amkuu ni supremacy organ kwenye chama, unaweza hata kukifuta chama kama wakikubaliana hivyo kwa kauli moja. Kuendelea kuhoji maamuzi ya Mkutano Mkuu wa chama unahitaji kuwa na ushujaa wa kizembe kwanza.Kuniita mimi nyumbu ni ad hominem logical fallacy.
Tatizo hata sina uhakika kama unaelewa ad hominem fallacy ni nini.
Jadiki hoja, usinijadili mimi. Mimi si muhimu, hoja ndiyo muhimu.
Siko hapa kupata approval yako, sijawahi kukuchagua uwe mtu wa ku approve maoni na hoja zangu.
Hata sikujui. Inaonekana wewe unanifuatilia lakini usijipe umuhimu kwenye maisha yangu, mimi hata sikujui.
Huna cheo hicho.
Sasa umetoka kwenye uongo uliotaka kuwaaminisha watu, na bila aibu unaingia kwenye "Nyerere alikuwa muumini wa muungano, na pumba nyingine zisizohusika kabisa na uongo ulioanza nao mwanzo.Nyerere alikuwa muumini mkubwa wa Muungano. Salim hakuungwa mkono na wajumbe wa zanzibar tena waziwazi bila woga kwenye vikao. Samia aliungwa mkono na wajumbe wengi kama sio woooote wa Mkutano Mkuu kutoka Bara na visiwani. Wewe ni mkubwa kuliko Mkutano Mkuu wa chama? yaani wajumbe wooote hao ni matahilla ispokuwa wewe?
Collective responsibility must be observed, otherwise hawa ni "maaalayamalaya tu"