GE2025 Wanaopinga uteuzi wa Samia wataje wagombea wao ili tumpime

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwani hujatazama zile video za huo mkutano; hata kama ungePenda kuwafanya wawe ni watu wenye heshima sana?

Hizi ndizo mbinu zenu (za GENGE), mlizodhani mtazitumia kuhadaa watu!
Mkutano ule, watu wanaruka ruka kila lisemwalo, huku wameshikilia mabango; ndio unaotaka watu waone kuwa mkutano wa maana sana wa kuiamlia nchi hatma yake?

Mkutano haukuwa na ajenda ya kumteua Mgombea, na wala taratibu za ngazi za mwanzo kuhusu swala hilo zilikuwa bado hazijatekelezwa; kwa maksudi mazima, swala zito namna hiyo, linachomekewa kinyemela kwenye mkutano; wakijuwa wajumbe wa mkutano watakuwa wamechanganyikiwa; hata wenye akili zao hawatapata nafasi ya kuhoji chochote.

Sasa wewe leo unakuja hapa kutaka tuwaone wajumbe kuwa watu wenye stahiki ya heshima?
 
Umpime wewe ukiwa kama nani?nenda kapimwe mkojo kwanza nyambaff
 
Samia kakataliwa na watanzania hasa watanganyika kwa asilimia 95% ni kikundi kidogo cha wahuni na waislamu wanafiki ndiyo kinamuunga mkono kwa maslai yao binafsi siyo ya taifa
Hii comment yako ina ukweli kwa asilimia 100 anayepinga atakuwa ni miongoni mwa hao wanufaika wa serikali yake dhaifu.
 
Unajua maana ya kukataliwa na watanzania ni nini ? Ingekuwa ajakataliwa siyo na watanzania tu asingw ogopa hata uchaguzi ndani ya chama chake mwenyewe samia akubaliki hata na ccm yenyewe
Maneno ya kijinga unaongea, tembea huko mikoani Tanzania uone Samia alivyoitumia hii miaka minne katika kujenga uhalali wa awamu yake.
 
Maneno ya kijinga unaongea, tembea huko mikoani Tanzania uone Samia alivyoitumia hii miaka minne katika kujenga uhalali wa awamu yake.
Wacha upumbavu wewe hakuna MTANGANYIKA wa kumchagua Samia isipokuwa wahuni wachache wanao jihita machawa... huyo hakubaliki hara ndani ya CCM
 
Wacha upumbavu wewe hakuna MTANGANYIKA wa kumchagua Samia isipokuwa wahuni wachache wanao jihita machawa... huyo hakubaliki hara ndani ya CCM
Mpumbavu ni wewe unayedhani Tanzania inaishia hapo ulipo nyuma ya keyboard, funguka kiakili.

Samia katekeleza miradi aliyoikuta ya Hayati JPM na pia kaongeza ya kwake wanaofaidika na miradi hiyo hawana sababu ya kufuga chuki akilini mwao kama wewe Lwiva.
 
Kumbuka hakuchaguliwa na wananchi, alikaimu na huenda wenye chama wakaamua kuweka mtu wa kuchaguliwa na wananchi.

Mambo ya Biden kama nayaona
 
Mwambie, Alaf njoo vigunguti bondeni huku wanachota mchanga mpaka Barabara zimeharibiwa vibaya, nyumba zinabomoka ajabu walichukua pesa eti za madhara ya El Nini kutoka ulaya kumbe wao ndio wanaharibu makazi ya watu.
 
Toka bwawa la umeme kukamilika umenufaika nini ....maana hata kabla ya jpm kuondokq umeme ulikuwa umesha kuwa haukatiki hovyo ila lengo bwawa likikamilika bei ishushwe kwa nusu ili kuchochea kasi ya uchumi....tulikuwa uchumi wa kati toka mpumbavu kachukua nchi tumeshuka mbona atupandi tena ...kuna video alisema tumeshuka kidogo baadq ya muda tutapanda tena kuwa uchumi wa kati ...kiko wapi...
 
Wanung'unikaji hawawezi kuisha.
 
Kwani samia hiyo mitano alipitishwa na Chama? Samia kaingia kikatiba kuikamilisha awamu ya 5 na si vinginevyo

Ni mjinga tu aaminiye hii ni awamu ya 6

Period.
Kwani katiba inasema hivyo? Kwamba anaingia tu kukamilisha 5 tu. kisha basi anasepa
 
Fuateni taratibu mlizojiwekea wenyewe basi!

Mama yenu afuate utaratibu uleule uliotumika kumpitisha JPM 2020 hata kama hatashindana na mtu.

Huyo Dr Malisa na Polepole ni wanaCCM wenzenu wamehoji.
Kuna kitu sikielewi, kwani alipopitishwa January 2025 kwenye Mkutano Mkuu wa CCM nasikia walimpitisha kwa kura asilimia 100 (100%) kuwa mgombea wa Urais kutoka CCM kwenyeuchaguzi wa mwaka huu 2025!! Sasa hao waliompigia kura January 2025 hawakuwa wajumbe sahihi wa CCM? Hao wanaolalamika sasa hivi kuwa taratibu zilikiukwa ni wana CCM waliokuwa nje ya kikao hicho? Kama taratibu zilikiukwa kwa nini wajumbe wa huo mkutano HAWAKUPINGA huo utaratibu siku hiyo?
 
Hakuna anayepinga wewe ,fuateni taratibu ,ruhusuni wagombea wachukue fomu then wapite kwenye mchujo kama Late JK Nyerere alivyosema ,ukitaka urais inabidi ujadiliwe ,waone kama unakidhi na siyo tu unampitisha kisa ni KABILA lako.
 
Wajumbe ambao walipandikizwa mule kupinga ni wachache tu kutoka mwanza. Ni wasukuma wanaorandana kwa sura na mpingaji mmoja mbabaishaji.

Kama wajumbe wengi wangepinga uteuzi wangekuwa wametoka nje kuonyesha kupinga uteuzi
 
Mm sina mengi kuongozwa na mwanamke sitaki.Dunia imeumbwa mwanamme ndo kiongozi sasa iweje leo sisi tunakubali umama
Kwani mlipomchagua kuwa Makamu wa Rais hamkufahamu kuwa yeye ndiye angekuwa Rais just in case Rais aliyeko madarakani atafariki? Au huo uanamke ndiyo mnaufahamu leo?
 
Wanaolalamikia uharamu wa mchakato ndani ya chama ni wanaccm wenyewe.
Kwa nini hawakupinga siku ya uchaguzi na walimchagua kwa kura 100%? Kwa nini hawakupinga siku hiyo ya uchaguzi kuwa huo siyo utaratibu? Why now? Mwezi January hawakujua kuwa huo siyo utaratibu?
 
Katiba ya wapi inasema hivyo? Hiyo itakuwa ni Katiba ya nchi nyingine kabisa, siyo ya URT.
 
Ushasikia wapi kura zinapigwa ikiwa mpigiwa kura yuko hapo hapo, halafu kukawa na uhuru hapo, si unaona wajumbe walitaka atoke nje akagoma?
Naomba kuuliza, kura zilikuwa za kuandika kwenye karatasi, kunyoosha mkono au kuulizwa mtu mmoja mmoja? Kama zilikuwa ni za karatasi wajumbe waliogopa nini kutokumchagua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…