Kingfish23
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 490
- 485
Inapofika mwisho wa mwezi na pesa huna mwenye nyumba anataka chake hapo ndipo utakapokumbuka ungekuwa hata na kibanda maana si kwa usumbufu wa mwenye nyumbaHuyu boya anatupotosha watu tusijenge kisa yeye karidhi nyumba baba yake asingejenga angeongea ujinga huu
ExactlyLaki 1 ya mwaka 70 sio laki 1 ya mwaka 2022. Angalia ktu inaitwa "money value" au "purchasing power" ya hela
Kujenga ni kuzika hela kama huna lengo la kuwekeza katika mzunguko wa biashara. Hata kuweka akiba benki ni kuzika hela pia.Wanaosema kujenga ni kuzika pesa utawakuta wanatoa mifano ya kina Bakhresa, Mo Dewji hivi kwa akili yako kuna tajiri hana nyumba?
Hivi unasemaje kujenga ni kuzika pesa wakati bei ya nyumba inapanda kila siku? Hivi mtu aliyejenga nyumba Kariakoo miaka ya 1970s kwa shs laki 1 alafu amekuja kuiuza hiyo nyumba mwaka 2021 kwa billioni 5 utamwambiaje kwamba alizika pesa?
Kwa hiyo yule mwenye nyumba wako alizika pesa?Kujenga ni kuzika hela kama huna lengo la kuwekeza katika mzunguko wa biashara. Hata kuweka akiba benki ni kuzika hela pia.
huyo aliyejenga nyumba 1970 yupo? na kama yupo anazitumia hizo hela vizuri au wanatumia wajukuu zake?Wanaosema kujenga ni kuzika pesa utawakuta wanatoa mifano ya kina Bakhresa, Mo Dewji hivi kwa akili yako kuna tajiri hana nyumba?
Hivi unasemaje kujenga ni kuzika pesa wakati bei ya nyumba inapanda kila siku? Hivi mtu aliyejenga nyumba Kariakoo miaka ya 1970s kwa shs laki 1 alafu amekuja kuiuza hiyo nyumba mwaka 2021 kwa billioni 5 utamwambiaje kwamba alizika pesa?
Kujenga nyumba ya kuishi bila kua na kitu cha kuingiza pesa endelevu ni kweli huko ni kuzika pesa, binafsi hilo limeniathili maendeleo yangu na sasa ninademadema sana, lakini nikiwaza pesa niliyotumia kwenye ujenzi na biashara ninayoijua ambayo kama Ile pesa ningewekeza huko, kwa sasa ningejenga kama vile nashuka Sekenke au Kitonga, huku nikipiga mluziWanaosema kujenga ni kuzika pesa utawakuta wanatoa mifano ya kina Bakhresa, Mo Dewji hivi kwa akili yako kuna tajiri hana nyumba?
Hivi unasemaje kujenga ni kuzika pesa wakati bei ya nyumba inapanda kila siku? Hivi mtu aliyejenga nyumba Kariakoo miaka ya 1970s kwa shs laki 1 alafu amekuja kuiuza hiyo nyumba mwaka 2021 kwa billioni 5 utamwambiaje kwamba alizika pesa?
Jibu swali kwanza ,alizika pesa?huyo aliyejenga nyumba 1970 yupo? na kama yupo anazitumia hizo hela vizuri au wanatumia wajukuu zake?
Uza tu hiyo nyumbaKujenga nyumba ya kuishi bila kua na kitu cha kuingiza pesa endelevu ni kweli huko ni kuzika pesa, binafsi hilo limeniathili maendeleo yangu na sasa ninademadema sana, lakini nikiwaza pesa niliyotumia kwenye ujenzi na biashara ninayoijua ambayo kama Ile pesa ningewekeza huko, kwa sasa ningejenga kama vile nashuka Sekenke au Kitonga, huku nikipiga mluzi
Shida sio kujenga nyumba ya kupanga kwa sababu hiyo inaleta cash flow, ukijenga nyumba ya kwako ya kuishi inaingizaje pesa?Kwa hiyo yule mwenye nyumba wako alizika pesa?
Inategemea hio nyumba Iko wapi usikaririKujenga ni kuzika hela kama huna lengo la kuwekeza katika mzunguko wa biashara. Hata kuweka akiba benki ni kuzika hela pia.
Naongea facts siongei kwa kukariri nyumba ya kuishi ni liability kwa sababu unatoa fedha kuitunza, ila nyumba ya kupangisha ni asset inayoleta cash flow kupitia kodi za wapangaji.Inategemea hio nyumba Iko wapi usikariri
hauingizi pesa,ila hata usingejenga bado hio pesa ungetumia kulipia kodi,watoa hoja naona mmebase sana kwenye suala la hela,kiufupi mimi najenga nipate amani,asikuambie mtu kupanga kuna kero ,mara uibiwe nguo ukianika,bado hapo hamjagombana kwenye kulipa bill za maji ,bado hujagombana na jirani yako watoto wake wakikwangua gari yako na kisoda aisee ,bado mwenye nyumba hajakwambia utengeneze kitasa umeharibu wakati alinnunua mwenyewe mchina ,Mungu nisimamie nyumba yangu ikamilike 2024 nihamie kwangu.Shida sio kujenga nyumba ya kupanga kwa sababu hiyo inaleta cash flow, ukijenga nyumba ya kwako ya kuishi inaingizaje pesa?
Hata ndege wana kwaoSasa wengi wao wanaojenga hua hawana biashata yoyote ile ya maana ndo maana wanaambiwa wanazika hela...unakuta watu wanaina uchungu kulipa kodi ya 200,000-300,000 kwa mwezi kwa mwenye nyumba...hivi unasikiaje uchungu wakati nyumba unaishi mwenyewe...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo mwenye nyumba wako alizika pesa?Kujenga ni kuzika hela kama huna lengo la kuwekeza katika mzunguko wa biashara. Hata kuweka akiba benki ni kuzika hela pia.
jidanganye kujenga hakujawahi kuwa rahisi kama mawazo yako ukumbuke utajenga kutokana na faida unayopata kwenye biashara yako.Kujenga nyumba ya kuishi bila kua na kitu cha kuingiza pesa endelevu ni kweli huko ni kuzika pesa, binafsi hilo limeniathili maendeleo yangu na sasa ninademadema sana, lakini nikiwaza pesa niliyotumia kwenye ujenzi na biashara ninayoijua ambayo kama Ile pesa ningewekeza huko, kwa sasa ningejenga kama vile nashuka Sekenke au Kitonga, huku nikipiga mluzi
Your house is not an asset, ni liability ambayo ukiacha kufanya kazi inakutumikishahauingizi pesa,ila hata usingejenga bado hio pesa ungetumia kulipia kodi,watoa hoja naona mmebase sana kwenye suala la hela,kiufupi mimi najenga nipate amani,asikuambie mtu kupanga kuna kero ,mara uibiwe nguo ukianika,bado hapo hamjagombana kwenye kulipa bill za maji ,bado hujagombana na jirani yako watoto wake wakikwangua gari yako na kisoda aisee ,bado mwenye nyumba hajakwambia utengeneze kitasa umeharibu wakati alinnunua mwenyewe mchina ,Mungu nisimamie nyumba yangu ikamilike 2024 nihamie kwangu.
Kainvest kwa ajili ya cash flow.Kwa hiyo mwenye nyumba wako alizika pesa?