Wanaosema Wasukuma ni Wakarimu, wana upendo halafu muda huo huo wanapenda ushirikina na Uchawi, hawajui kile wanachokisema

View attachment 2717039

Sio kila msukuma ni mkarimu na wala sio kila msukuma ni mchawi.

Upo sahihi Ila kidemokrasia ni kuwa wengi wape.

Kwa mfano useme Wapare au waha ni wafupi. Haimaanishi hakuna warefu.

Au ukisema Wahindi ni wabahili haimaanishi wote ni wabahili. Ila inayoangaliwa ni wengi wao.

Wapo wasukuma ambao hata hawapajui usukumani wala usukuma hawajui lakini haibadilishi ukweli wa Huko kwao kulivyo.
 
Wachawi na washirikina huigiza ukarimu, upole, upendo na Wema kuficha Tabia zao za ndani.
Mshirikina na mchawi aliyekwiva sio mtu wa kupenda magomvi, mara nyingi NI wapole na unaweza kumfanya chochote na asijibu mapigo.
Lakini nakuhakikishia ukimpa mgongo utaisoma namba kama upo Dhaifu.

Ukisikia Watu wenye kelele nyingi, matusi, sijui kupigana pigana mara nyingi hawawezi kuwa wachawi au washirikina.
Wazee WA haya namuachia Mungu, Sawa wewe mjanja, anyway yameisha. Thubutu!
Naeeza kusema hiki ulicoandika hapo juu nilipoku-quote hio point namba 1 nimeki-experience kiasi kupitia mahusiano, Ahsante sana kwa kuniongezea elimu aisee.
 
Bila Shaka mpo Pouwa!

Miaka na miaka nimekuwa nikisikia Watu wakisifia baadhi ya makabila Kwa Sifa nzuri, moja wapo ya Makabila yanayosifiwa ni pamoja na Ndugu zangu Wasukuma(kwani Mimi ni Mnyamwezi). Sifa wapewayo ni Upendo, ukarimu na kuwa Watu Wema.
Lakini muda huohuo utasikia Wakiimbiwa kuwa wanasifa Mbaya ya kupenda Uchawi na ushirikina.

Sasa huwaga najiuliza, hivi hawa wanazungumza kile wanachokijua au wanabwabwaja kupitisha siku ziende.

Hivi tangu lini MTU anayependa Uchawi na ushirikina akawa na upendo, ukarimu na Wema. Uchawi upi huo na upendo Kwa maana ipi?

Kwa msio na uelewa tuu, niwajuze; haiwezekani MTU mchawi na mshirikina akawa na Upendo, ukarimu na akawa Mwema. Haijawahi kutokea na kamwe haitokuja kutokea.

Ukishakuwa mchawi automatically unakuwa MTU mwenye Roho mbaya, mkatili, mbinafsi na usiyejali lolote.

Hata hivyo Katika Taaluma za Uchawi moja ya ethics(maadili ya Kazi Yao ni pamoja na hivi).

1. Wachawi na washirikina huigiza ukarimu, upole, upendo na Wema kuficha Tabia zao za ndani.
Mshirikina na mchawi aliyekwiva sio mtu wa kupenda magomvi, mara nyingi NI wapole na unaweza kumfanya chochote na asijibu mapigo.
Lakini nakuhakikishia ukimpa mgongo utaisoma namba kama upo Dhaifu.

Ukisikia Watu wenye kelele nyingi, matusi, sijui kupigana pigana mara nyingi hawawezi kuwa wachawi au washirikina.
Wazee WA haya namuachia Mungu, Sawa wewe mjanja, anyway yameisha. Thubutu!

Watu Wema na wenye upendo mara nyingi wapo very straight, na NI rahisi kuwachukia

Narudia ukishakuwa mchawi na mshirikina, automatically haupo kundi la Watu Wema, Wakarimu, wenye upendo na zaidi huwezi kuwa miongoni mwa jamii zenye Akili.

Nawasilisha
Wewe ni nani hadi uongelee mambo ya wasukuma. Watakugeuza FISI sasa hivi.

We endeleea na mada zako za Kitaikuni.
 
Hakuna mtu mkamilifu kuna watu sio wachawi kabisa lakin wana roho mbaya kupita maelezo

Wengine sio wachawi ila wachoyo kupita maelezo

Na sio wasukuma wote ni wachawi

Wapi nimesema wasukuma wote ni wachawi?

Nilichoeleza ni kuwa wanaosema Wasukuma ni Wakarimu alafu muda huohuo wanaotaka Sifa Mbaya ya Uchawi na ushirikina ndio nimewajibu kuwa hakuna mchawi na mshirikina mwenye Sifa y upendo, ukarimu na Wema. Hiyo haijawahi kutokea.

Kuhusu wapo Watu wenye Roho Mbaya ambao sio wachawi naweza kukubali lakini Roho Mbaya Yao haiwezi kuzidi Roho ya wachawi na washirikina
 
Bila Shaka mpo Pouwa!

Miaka na miaka nimekuwa nikisikia Watu wakisifia baadhi ya makabila Kwa Sifa nzuri, moja wapo ya Makabila yanayosifiwa ni pamoja na Ndugu zangu Wasukuma(kwani Mimi ni Mnyamwezi). Sifa wapewayo ni Upendo, ukarimu na kuwa Watu Wema.
Lakini muda huohuo utasikia Wakiimbiwa kuwa wanasifa Mbaya ya kupenda Uchawi na ushirikina.

Sasa huwaga najiuliza, hivi hawa wanazungumza kile wanachokijua au wanabwabwaja kupitisha siku ziende.

Hivi tangu lini MTU anayependa Uchawi na ushirikina akawa na upendo, ukarimu na Wema. Uchawi upi huo na upendo Kwa maana ipi?

Kwa msio na uelewa tuu, niwajuze; haiwezekani MTU mchawi na mshirikina akawa na Upendo, ukarimu na akawa Mwema. Haijawahi kutokea na kamwe haitokuja kutokea.

Ukishakuwa mchawi automatically unakuwa MTU mwenye Roho mbaya, mkatili, mbinafsi na usiyejali lolote.

Hata hivyo Katika Taaluma za Uchawi moja ya ethics(maadili ya Kazi Yao ni pamoja na hivi).

1. Wachawi na washirikina huigiza ukarimu, upole, upendo na Wema kuficha Tabia zao za ndani.
Mshirikina na mchawi aliyekwiva sio mtu wa kupenda magomvi, mara nyingi NI wapole na unaweza kumfanya chochote na asijibu mapigo.
Lakini nakuhakikishia ukimpa mgongo utaisoma namba kama upo Dhaifu.

Ukisikia Watu wenye kelele nyingi, matusi, sijui kupigana pigana mara nyingi hawawezi kuwa wachawi au washirikina.
Wazee WA haya namuachia Mungu, Sawa wewe mjanja, anyway yameisha. Thubutu!

Watu Wema na wenye upendo mara nyingi wapo very straight, na NI rahisi kuwachukia

Narudia ukishakuwa mchawi na mshirikina, automatically haupo kundi la Watu Wema, Wakarimu, wenye upendo na zaidi huwezi kuwa miongoni mwa jamii zenye Akili.

Nawasilisha
Unatafuta kurogwa manju wa fasihi
 
Ukisikia Watu wenye kelele nyingi, matusi, sijui kupigana pigana mara nyingi hawawezi kuwa wachawi au washirikina.
Wazee WA haya namuachia Mungu, Sawa wewe mjanja, anyway yameisha. Thubutu!
Huyo ni mzee wangu na ndio mimi kabisa.

Ila hapo kwenye kumuachia Mungu hapo daah, haki yangu huwa naipigania mwenyewe mpaka tone la mwisho aisee.
 
Hakuna mtu mkamilifu kuna watu sio wachawi kabisa lakin wana roho mbaya kupita maelezo

Wengine sio wachawi ila wachoyo kupita maelezo

Na sio wasukuma wote ni wachawi
Mkuu hujaelewa hoja ya robati.

Anachojaribu kueleza na kuelezea ni kama kusema GIZA na MWANGA haviwezi kukaa pamoja kwa muda mmoja.
 
Back
Top Bottom