Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
Kuna ushirikina, wanga, ulozi na uchawi naona vyote umeviweka pamojaBila Shaka mpo Pouwa!
Miaka na miaka nimekuwa nikisikia Watu wakisifia baadhi ya makabila Kwa Sifa nzuri, moja wapo ya Makabila yanayosifiwa ni pamoja na Ndugu zangu Wasukuma(kwani Mimi ni Mnyamwezi). Sifa wapewayo ni Upendo, ukarimu na kuwa Watu Wema.
Lakini muda huohuo utasikia Wakiimbiwa kuwa wanasifa Mbaya ya kupenda Uchawi na ushirikina.
Sasa huwaga najiuliza, hivi hawa wanazungumza kile wanachokijua au wanabwabwaja kupitisha siku ziende.
Hivi tangu lini MTU anayependa Uchawi na ushirikina akawa na upendo, ukarimu na Wema. Uchawi upi huo na upendo Kwa maana ipi?
Kwa msio na uelewa tuu, niwajuze; haiwezekani MTU mchawi na mshirikina akawa na Upendo, ukarimu na akawa Mwema. Haijawahi kutokea na kamwe haitokuja kutokea.
Ukishakuwa mchawi automatically unakuwa MTU mwenye Roho mbaya, mkatili, mbinafsi na usiyejali lolote.
Hata hivyo Katika Taaluma za Uchawi moja ya ethics(maadili ya Kazi Yao ni pamoja na hivi).
1. Wachawi na washirikina huigiza ukarimu, upole, upendo na Wema kuficha Tabia zao za ndani.
Mshirikina na mchawi aliyekwiva sio mtu wa kupenda magomvi, mara nyingi NI wapole na unaweza kumfanya chochote na asijibu mapigo.
Lakini nakuhakikishia ukimpa mgongo utaisoma namba kama upo Dhaifu.
Ukisikia Watu wenye kelele nyingi, matusi, sijui kupigana pigana mara nyingi hawawezi kuwa wachawi au washirikina.
Wazee WA haya namuachia Mungu, Sawa wewe mjanja, anyway yameisha. Thubutu!
Watu Wema na wenye upendo mara nyingi wapo very straight, na NI rahisi kuwachukia
Narudia ukishakuwa mchawi na mshirikina, automatically haupo kundi la Watu Wema, Wakarimu, wenye upendo na zaidi huwezi kuwa miongoni mwa jamii zenye Akili.
Nawasilisha
btn uchawi(kama ulivyo sema) usukumani sio sifa ndio maana unasikia vikomgwe wanauwawa
Kwa kudhaniwa tu ni wachawi tofauti na baadhi ya maneno kama kigoma na sumbawanga uchawi unapouzwa hadharani unaweza nunua radi 500tsh na mtu anaweza kujigamba mchawi hadharani.
Uchawi usukumani una operate kwa siri sana kama secret society au forbidden knowledge.
Waganga ndio watu pekee wako authorised kutumia dawa na hii ni kwa ajili ya lutibu na kutatua changamoto ndani
Ya jamii mfano ukame, maradhi, na majanga mbalimbali ambapo historia yake inarudi nyuma
Zama za wafalme kila kijiji kilikuwa na mganga ukisoma sapiens brief history of human being