Wanaosema Wasukuma ni Wakarimu, wana upendo halafu muda huo huo wanapenda ushirikina na Uchawi, hawajui kile wanachokisema

Uchawi hata huko Upareni upo na umejaa
Hapa JF tunatumia fake ID, ajitokeze mchawi mmoja atuambie upoje huo uchawi? Wanafanyaje?Ni kweli sisi ni nyama kwao? Wanaruka angani? Hawaonekani kwa macho yetu?

Mimi uwa naona yajayo, na yanatokea vile vile,ni nguvu ya kiasili tu ...sio uchawi! Kazi ya kwanza kufanya Airtel HQ nilikua naiona toka nipo chuo.
 
Bila Shaka mpo Pouwa!

Miaka na miaka nimekuwa nikisikia Watu wakisifia baadhi ya makabila Kwa Sifa nzuri, moja wapo ya Makabila yanayosifiwa ni pamoja na Ndugu zangu Wasukuma(kwani Mimi ni Mnyamwezi). Sifa wapewayo ni Upendo, ukarimu na kuwa Watu Wema.

Lakini muda huohuo utasikia Wakiimbiwa kuwa wanasifa Mbaya ya kupenda Uchawi na ushirikina.

Sasa huwaga najiuliza, hivi hawa wanazungumza kile wanachokijua au wanabwabwaja kupitisha siku ziende.

Hivi tangu lini MTU anayependa Uchawi na ushirikina akawa na upendo, ukarimu na Wema. Uchawi upi huo na upendo Kwa maana ipi?

Kwa msio na uelewa tuu, niwajuze; haiwezekani MTU mchawi na mshirikina akawa na Upendo, ukarimu na akawa Mwema. Haijawahi kutokea na kamwe haitokuja kutokea.

Ukishakuwa mchawi automatically unakuwa MTU mwenye Roho mbaya, mkatili, mbinafsi na usiyejali lolote.

Hata hivyo Katika Taaluma za Uchawi moja ya ethics(maadili ya Kazi Yao ni pamoja na hivi).

1. Wachawi na washirikina huigiza ukarimu, upole, upendo na Wema kuficha Tabia zao za ndani.
Mshirikina na mchawi aliyekwiva sio mtu wa kupenda magomvi, mara nyingi NI wapole na unaweza kumfanya chochote na asijibu mapigo. Lakini ninakuhakikishia ukimpa mgongo utaisoma namba kama upo Dhaifu.

Ukisikia Watu wenye kelele nyingi, matusi, sijui kupigana pigana mara nyingi hawawezi kuwa wachawi au washirikina.
Wazee WA haya namuachia Mungu, Sawa wewe mjanja, anyway yameisha. Thubutu!

Watu Wema na wenye upendo mara nyingi wapo very straight, na NI rahisi kuwachukia

Narudia ukishakuwa mchawi na mshirikina, automatically haupo kundi la Watu Wema, Wakarimu, wenye upendo na zaidi huwezi kuwa miongoni mwa jamii zenye Akili.

Nawasilisha
Hujagusa hoja ya wasukuma, umekataa, au umekanusha kwa namna ukivyowasilisha haikuwa na haja ya kuwataja wasukuma
 
Mkuu

Ile Area 51 yenye viumbe vya ajabu HUKO america hao jamaa wanawasiliana nao vipi!?

Kama hao SIO viumbe wa kawaida!?SIO kwa uchawi na ushirikiana!!?

Mkuu ni mstari upi unaotenganisha wema na ubaya!?coz vyote vilitoka kwake alieanzisha maisha!!

Kwani unaamini shetani anasingiziwa MENGI aliumbwa na mungu mwingine!?si huyo huyo alieumba yesu na manabii wengine!!?na akaamua Huyu awe MWEMA na Huyu shetani!!?

Mi naamini vyote vilitoka kwake!!!
 
1. Hiyo Area 51 bado ni speculations na hakuna ushahidi wowote. Wakati Uchawi na ushirikina wa huku kwetu(Wasukuma) unaripotiwa kupitia viashiria vya mauaji ya albino, uwepo wa waganga na Baadhi ya desturi za ajabu.

2. Hao viumbe bado haijathibitika kuwa wapo Bali ni tetesi tuu. Ni kama zile Filamu. Siku ikithibitika tutakuja kujadili ishu kuhusiana na uhusiano wa viumbe hao na wanadamu.

3. Wema na Ubaya unapimwa kulingana na dhamiri, Matendo na matokeo.
Hata kama vyote vilitoka Kwa Muumba WA yote lakini ishu Ipo kwenye matumizi ya vitu hivyo.
Huwezi ukawa mchawi alafu muda huohuo ukawa Mwema. Hiyo haipo.
Ili uwe mchawi lazima udhulumu Haki za wengine. Huo ndio uovu.

4. Hakuna sehemu niliyosema ninaamini shetani anasingiziwa mengi.
Shetani ni kiumbe aliyeingilia na Sifa ya Uasi, uovu na Ubaya.
Yaani MTU/kiumbe aliyeamua kuchagua mabaya badala ya mema.

Kutumia Jambo au kitu kinyume na matumizi ndio ushetani wenyewe.

Nakupa mfano, Mungu aliumba Miti ambayo mingine ni Dawa mingine ni sumu.
Unapotumia Mti wenye sumu ambao hautakuwa kutumiwa alafu ukadhurika au ukamdhuru MTU huo ndio ushetani.

Huo mti unamatumizi mengine Kwa viumbe wengine lakini wewe/Mimi tunataka Kutumia katika matumizi yasiyohusiana.

Mti wenye sumu unaweza kuwa sumu Kwa binadamu lakini ukawa chakula au Dawa Kwa wanyama wengine. Sasa huwezi sema Kwa nini Mungu aliuumba huu mti. Hiyo ni dalili ya ukosefu wa maarifa.
 
Kuna wakati huwa unaandika vitu vya maana sana. Halafu kuna wakati dishi sijui huwa linayumba au ni ile kutaka kuonekana kuwa unajua kila kitu unaandika vitu vya ajabu mpaka mtu unashangaa kama kweli hili ni andiko la Mtibeli!

Wanawake wa Kinyakyusa wanasemwa kuwa eti ni wakorofi lakini binafsi najua dada zangu wengi wa Kinyakyusa ambao ni wanawake bora kabisa na wameolewa na makabila mengine huko.

Mara nyingi hizi sifa za makabila ni utani tu au innuendos ambazo ukizifuatilia sana wala hazina maana yo yote...Na Mtibeli unatakiwa kulifahamu hilo!

Wewe Kwa uelewa wako, Uchawi na ushirikina vinakaa pamoja na ukarimu, Wema na Upendo? Hiyo ndio hoja.
Kuhusu ukabila nimewaweka Wasukuma Kutokana na kuwa wanasifiwa Kwa Sifa ya upendo na ukarimu(hapo watafurahi) lakini muda huohuo watapondwa Kwa kupenda Uchawi na ushirikina (hapo watachukia na kujitoa na kusema kuwa hayo ni mambo ya kikabila).

Unafikiri ni Kwa nini MTU akipewa Sifa nzuri anaikubali na kuchekelea, alafu muda huohuo akipewa Sifa zake Mbaya anakataa na Kuchukua, huku akisema hiyo Sifa sio wote?
 
Bila Shaka mpo Pouwa!

Miaka na miaka nimekuwa nikisikia Watu wakisifia baadhi ya makabila Kwa Sifa nzuri, moja wapo ya Makabila yanayosifiwa ni pamoja na Ndugu zangu Wasukuma(kwani Mimi ni Mnyamwezi). Sifa wapewayo ni Upendo, ukarimu na kuwa Watu Wema.

Lakini muda huohuo utasikia Wakiimbiwa kuwa wanasifa Mbaya ya kupenda Uchawi na ushirikina.

Sasa huwaga najiuliza, hivi hawa wanazungumza kile wanachokijua au wanabwabwaja kupitisha siku ziende.

Hivi tangu lini MTU anayependa Uchawi na ushirikina akawa na upendo, ukarimu na Wema. Uchawi upi huo na upendo Kwa maana ipi?

Kwa msio na uelewa tuu, niwajuze; haiwezekani MTU mchawi na mshirikina akawa na Upendo, ukarimu na akawa Mwema. Haijawahi kutokea na kamwe haitokuja kutokea.

Ukishakuwa mchawi automatically unakuwa MTU mwenye Roho mbaya, mkatili, mbinafsi na usiyejali lolote.

Hata hivyo Katika Taaluma za Uchawi moja ya ethics(maadili ya Kazi Yao ni pamoja na hivi).

1. Wachawi na washirikina huigiza ukarimu, upole, upendo na Wema kuficha Tabia zao za ndani.
Mshirikina na mchawi aliyekwiva sio mtu wa kupenda magomvi, mara nyingi NI wapole na unaweza kumfanya chochote na asijibu mapigo. Lakini ninakuhakikishia ukimpa mgongo utaisoma namba kama upo Dhaifu.

Ukisikia Watu wenye kelele nyingi, matusi, sijui kupigana pigana mara nyingi hawawezi kuwa wachawi au washirikina.
Wazee WA haya namuachia Mungu, Sawa wewe mjanja, anyway yameisha. Thubutu!

Watu Wema na wenye upendo mara nyingi wapo very straight, na NI rahisi kuwachukia

Narudia ukishakuwa mchawi na mshirikina, automatically haupo kundi la Watu Wema, Wakarimu, wenye upendo na zaidi huwezi kuwa miongoni mwa jamii zenye Akili.

Nawasilisha
Umesema ukweli mtupu, kwanza uje hata biblia imeandika kuwa malengo ya uchawi ni kutesa, kuharibu na kuua. Sasa hapo kuna ukarimu gani. Mchawi atakutesa kwa kukutupia magonjwa, usumbufu kazini na ktk shughuli zako, atakuharibia mambo yako ikiwa ni pamoja na kazi yako, biashara zako, uhusiano wako na mambo mengine mengi na mwishowe mchawi anakuua. Hao wasukuma ukitaka kuwajua nenda Bariadi, haukna watu wana roho mbaya km wale, ni wabaguzi, wakigundua we siyo mwenyeji wanakutenga, mji ambao ni makao makuu ya mkoa wanaongea kisukuma tupu, siyo kijana, siyo mzee. Unakutana na mzee anakusalimia kisukuma usipoweza kumjibu hatakusemesha tena, ukimwambia shikamoo mzee anakaa kimya, nia yake ni kujua km ni mwenyeji au la. Maeneo mengine nchi hii mgeni anapewa ukarimu wa kweli na habaguliwi hata kidogo. Wasukuma hawana ukarimu wowotw ni waigizaji tu.
 
Uchawi hata huko Upareni upo na umejaa
Sasa wapare unawajua au unawasikia, kuna watu wana roho mbaya km hao wapare, ni wale wale. Hakuna mtu ana roho mbaya km mchawi, mtu anakuulia mtoto wako, mtoto amemkosea nini, lakini anamwua.
 
Wachawi na washirikina huigiza ukarimu, upole, upendo na Wema kuficha Tabia zao za ndani.
Mshirikina na mchawi aliyekwiva sio mtu wa kupenda magomvi, mara nyingi NI wapole na unaweza kumfanya chochote na asijibu mapigo. Lakini ninakuhakikishia ukimpa mgongo utaisoma namba kama upo Dhaifu

KWenye kitabu cha Robert greene 48 Laws of power, no 17 keep others in suspended terror, cultivate an Air of unpredictability.

Mkuu robert umejaribu tu ku neutralize hata wachungaji na mapadri wapo
baadhi wanaofanya mambo ya ajabu kwenye jamii huku wakihide uhalisia wao nyuma ya mgongo wa dini.

Ila kuna mtu amekuambia umetumia fallacy of hasty generalization yupo sahihi kabisa.
 
Back
Top Bottom