Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hujaelewa hoja ya robati.
Anachojaribu kueleza na kuelezea ni kama kusema GIZA na MWANGA haviwezi kukaa pamoja kwa muda mmoja.
Shukrani sana, ndio tunajifunza.Wapole au Kwa Lugha nyingine Watulivu au wanyenyekeve. Ogopa MTU anageigiza hivyo vipande ni hatari Sana.
Na Sifa kubwa ya wachawi na washirikina ni Unafiki, ndio hiyo ya kuigiza ni MTU mzuri kumbe ndani ni Mbaya.
Naunga Mkono mkuu....Wanajua sana kuigiza ukarimu
Shukrani sana, ndio tunajifunza.
Hakuna mtu mkamilifu kuna watu sio wachawi kabisa lakin wana roho mbaya kupita maelezo
Wengine sio wachawi ila wachoyo kupita maelezo
Na sio wasukuma wote ni wachawi
Mtu akijadili kabila fulani kwa 'generalization' ya jambo fulani huwa namuona ni mjinga tu next level.
Utasikia wachagga wabahili, au wanawake wa kirangi ni maji mara moja, au wanyamwezi wavivu, au wadigo washirikina, au wazaramo malaya, au wanyakyusa wachoyo, wasukuma wachawi, au waha washirikina, au wagogo wavivu, au wahaya malaya, and blah blah
Ni ujinga ujinga tu kugeneralize tabia Kwa kuangalia kabila.
By the way, tunaangalia sasa ni nini essence ya uzi kama huu? Do these kind of topics have any substance to our society? Is this discussion constructive to the community?
-Kaveli-
Ushirikina usukumani ndio umelala kule Kila watu watano mmoja ni mchawi, mshirikina au mganga.
Wanashika dini mbili kwa Mungu wapo na kwa shetani wapo.
Wanashika dini lakini Yale mambo yetu ya usiku chini ya muembe hawayaachi pia.
Mchana kanisani usiku chini ya muembe.
Mpaka wasukuma wakutombe ndiyo utajua ukarimu na upendo wao.Bila Shaka mpo Pouwa!
Miaka na miaka nimekuwa nikisikia Watu wakisifia baadhi ya makabila Kwa Sifa nzuri, moja wapo ya Makabila yanayosifiwa ni pamoja na Ndugu zangu Wasukuma(kwani Mimi ni Mnyamwezi). Sifa wapewayo ni Upendo, ukarimu na kuwa Watu Wema.
Lakini muda huohuo utasikia Wakiimbiwa kuwa wanasifa Mbaya ya kupenda Uchawi na ushirikina.
Sasa huwaga najiuliza, hivi hawa wanazungumza kile wanachokijua au wanabwabwaja kupitisha siku ziende.
Hivi tangu lini MTU anayependa Uchawi na ushirikina akawa na upendo, ukarimu na Wema. Uchawi upi huo na upendo Kwa maana ipi?
Kwa msio na uelewa tuu, niwajuze; haiwezekani MTU mchawi na mshirikina akawa na Upendo, ukarimu na akawa Mwema. Haijawahi kutokea na kamwe haitokuja kutokea.
Ukishakuwa mchawi automatically unakuwa MTU mwenye Roho mbaya, mkatili, mbinafsi na usiyejali lolote.
Hata hivyo Katika Taaluma za Uchawi moja ya ethics(maadili ya Kazi Yao ni pamoja na hivi).
1. Wachawi na washirikina huigiza ukarimu, upole, upendo na Wema kuficha Tabia zao za ndani.
Mshirikina na mchawi aliyekwiva sio mtu wa kupenda magomvi, mara nyingi NI wapole na unaweza kumfanya chochote na asijibu mapigo.
Lakini nakuhakikishia ukimpa mgongo utaisoma namba kama upo Dhaifu.
Ukisikia Watu wenye kelele nyingi, matusi, sijui kupigana pigana mara nyingi hawawezi kuwa wachawi au washirikina.
Wazee WA haya namuachia Mungu, Sawa wewe mjanja, anyway yameisha. Thubutu!
Watu Wema na wenye upendo mara nyingi wapo very straight, na NI rahisi kuwachukia
Narudia ukishakuwa mchawi na mshirikina, automatically haupo kundi la Watu Wema, Wakarimu, wenye upendo na zaidi huwezi kuwa miongoni mwa jamii zenye Akili.
Nawasilisha
Uko sahihi mkuu!
Uchawi na ushirikina ni utumwa, mchawi asiporoga anakuwa amevunja miiko ya taaluma hiyo nadhani anaweza hata kuuawa!
Kwa hiyo hakuna mchawi au mshirikina mwenye upendo!
Hata hivyo siyo Wasukuma wote ambao ni wachawi! Na si kwa wasukuma tu, wachawi wako karibia kila kabila.
Mimi ambalo nimeliona kwa wanawake wa kisukuma ni heshima, ucheshi na ni wakarimu! Sijasikia sana kuhusu usaliti katika ndoa.
Ni hayo tu!
Mpaka wasukuma wakutombe ndiyo utajua ukarimu na upendo wao.
Pumbavu
Wana upendo wapi mbona geita kila siku wanauanaUwe upareni au unyamwezini, lakini ukishaona MTU anaambiwa ni mkarimu, anaupendo, na Mwema alafu muda huohuo ni mchawi na mshirikina ujue huo ni Uongo
Wana upendo wapi mbona geita kila siku wanauana
Mr the dragon na mrisya UMUGHAKA watakua mashahidiHoja yangu ni kuwa huwezi kuwa mkarimu alafu hapohapo unasifa ya Uchawi. Wapi huelewi kijana.
mimi kwa kweli ntaoa mpare au msukuma CHa muhimu mwanamke awe na siha njema na hofu ya MunguNa hizo sehemu zenye wachawi au familia zenye wachawi zichunguze. Roho Mbaya ingawaje wanakuwa wanaunafiki WA kuonyesha ukarimu bandia. Usije ukajichanganya
Sio wote ..ila wenye hayo mambo uchawi wao ni balaaKwamba wao ndo hatari zaidi?
Ushirikina usukumani ndio umelala kule Kila watu watano mmoja ni mchawi, mshirikina au mganga.
Wanashika dini mbili kwa Mungu wapo na kwa shetani wapo.
Wanashika dini lakini Yale mambo yetu ya usiku chini ya muembe hawayaachi pia.
Mchana kanisani usiku chini ya muembe.