Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #21
Naeeza kusema hiki ulicoandika hapo juu nilipoku-quote hio point namba 1 nimeki-experience kiasi kupitia mahusiano, Ahsante sana kwa kuniongezea elimu aisee.Wachawi na washirikina huigiza ukarimu, upole, upendo na Wema kuficha Tabia zao za ndani.
Mshirikina na mchawi aliyekwiva sio mtu wa kupenda magomvi, mara nyingi NI wapole na unaweza kumfanya chochote na asijibu mapigo.
Lakini nakuhakikishia ukimpa mgongo utaisoma namba kama upo Dhaifu.
Ukisikia Watu wenye kelele nyingi, matusi, sijui kupigana pigana mara nyingi hawawezi kuwa wachawi au washirikina.
Wazee WA haya namuachia Mungu, Sawa wewe mjanja, anyway yameisha. Thubutu!
Wewe ni nani hadi uongelee mambo ya wasukuma. Watakugeuza FISI sasa hivi.Bila Shaka mpo Pouwa!
Miaka na miaka nimekuwa nikisikia Watu wakisifia baadhi ya makabila Kwa Sifa nzuri, moja wapo ya Makabila yanayosifiwa ni pamoja na Ndugu zangu Wasukuma(kwani Mimi ni Mnyamwezi). Sifa wapewayo ni Upendo, ukarimu na kuwa Watu Wema.
Lakini muda huohuo utasikia Wakiimbiwa kuwa wanasifa Mbaya ya kupenda Uchawi na ushirikina.
Sasa huwaga najiuliza, hivi hawa wanazungumza kile wanachokijua au wanabwabwaja kupitisha siku ziende.
Hivi tangu lini MTU anayependa Uchawi na ushirikina akawa na upendo, ukarimu na Wema. Uchawi upi huo na upendo Kwa maana ipi?
Kwa msio na uelewa tuu, niwajuze; haiwezekani MTU mchawi na mshirikina akawa na Upendo, ukarimu na akawa Mwema. Haijawahi kutokea na kamwe haitokuja kutokea.
Ukishakuwa mchawi automatically unakuwa MTU mwenye Roho mbaya, mkatili, mbinafsi na usiyejali lolote.
Hata hivyo Katika Taaluma za Uchawi moja ya ethics(maadili ya Kazi Yao ni pamoja na hivi).
1. Wachawi na washirikina huigiza ukarimu, upole, upendo na Wema kuficha Tabia zao za ndani.
Mshirikina na mchawi aliyekwiva sio mtu wa kupenda magomvi, mara nyingi NI wapole na unaweza kumfanya chochote na asijibu mapigo.
Lakini nakuhakikishia ukimpa mgongo utaisoma namba kama upo Dhaifu.
Ukisikia Watu wenye kelele nyingi, matusi, sijui kupigana pigana mara nyingi hawawezi kuwa wachawi au washirikina.
Wazee WA haya namuachia Mungu, Sawa wewe mjanja, anyway yameisha. Thubutu!
Watu Wema na wenye upendo mara nyingi wapo very straight, na NI rahisi kuwachukia
Narudia ukishakuwa mchawi na mshirikina, automatically haupo kundi la Watu Wema, Wakarimu, wenye upendo na zaidi huwezi kuwa miongoni mwa jamii zenye Akili.
Nawasilisha
Hakuna mtu mkamilifu kuna watu sio wachawi kabisa lakin wana roho mbaya kupita maelezo
Wengine sio wachawi ila wachoyo kupita maelezo
Na sio wasukuma wote ni wachawi
Unatafuta kurogwa manju wa fasihiBila Shaka mpo Pouwa!

Naeeza kusema hilo suala nimeli-experience kiasi, Ahsante sana kwa kuniongezea elimu aisee.
Unatafuta kurogwa manju wa fasihi
Wewe ni nani hadi uongelee mambo ya wasukuma. Watakugeuza FISI sasa hivi.
We endeleea na mada zako za Kitaikuni.
Rudisheni bandari zetu. Mada za kijinga hatutaki sikia.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Usemacho ni kweli upo sahihi kabisa 100%, japokuwa Mambo ya makabila na ukabila siyaungi mkono kabisa na ninaona humu kumeibuka vita vikali vya kikabila 😁 ngoja na WAHA tuje tujitetee hahaha.
uchawi upo kila sehemu....ila usijichanganye kwa wakereweUchawi hata huko Upareni upo na umejaa
Huyo ni mzee wangu na ndio mimi kabisa.Ukisikia Watu wenye kelele nyingi, matusi, sijui kupigana pigana mara nyingi hawawezi kuwa wachawi au washirikina.
Wazee WA haya namuachia Mungu, Sawa wewe mjanja, anyway yameisha. Thubutu!
uchawi upo kila sehemu....ila usijichanganye kwa wakerewe
Huyu ndio mimi kabisa.
Ila hapo kwenye kumuachia Mungu hapo daah, haki yangu huwa naipigania mwenyewe mpaka tone la mwisho aisee.
Leo nimekuelewa sana mkuuWaganga WA kienyeji wanaelewa kile ninachokisema.
Jaribu kuigiza kuwa wewe ni mganga alafu Subiri watakaokuja ofisini. Utakuja elewa vizuri
Kwamba wao ndo hatari zaidi?uchawi upo kila sehemu....ila usijichanganye kwa wakerewe
Wapo wakerewe wasio na hizo mambo hata tone nimeishi naouchawi upo kila sehemu....ila usijichanganye kwa wakerewe
Leo nimekuelewa sana mkuu
Mkuu hujaelewa hoja ya robati.Hakuna mtu mkamilifu kuna watu sio wachawi kabisa lakin wana roho mbaya kupita maelezo