Wanaosema Wasukuma ni Wakarimu, wana upendo halafu muda huo huo wanapenda ushirikina na Uchawi, hawajui kile wanachokisema

Hakuna mtu mkamilifu kuna watu sio wachawi kabisa lakin wana roho mbaya kupita maelezo

Wengine sio wachawi ila wachoyo kupita maelezo

Na sio wasukuma wote ni wachawi

Mtu akijadili kabila fulani kwa 'generalization' ya jambo fulani huwa namuona ni mjinga tu next level.

Utasikia wachagga wabahili, au wanawake wa kirangi ni maji mara moja, au wanyamwezi wavivu, au wadigo washirikina, au wazaramo malaya, au wanyakyusa wachoyo, wasukuma wachawi, au waha washirikina, au wagogo wavivu, au wahaya malaya, and blah blah

Ni ujinga ujinga tu kugeneralize tabia Kwa kuangalia kabila.

By the way, tunaangalia sasa ni nini essence ya uzi kama huu? Do these kind of topics have any substance to our society? Is this discussion constructive to the community?

-Kaveli-
 
Ushirikina usukumani ndio umelala kule Kila watu watano mmoja ni mchawi, mshirikina au mganga.
Wanashika dini mbili kwa Mungu wapo na kwa shetani wapo.
Wanashika dini lakini Yale mambo yetu ya usiku chini ya muembe hawayaachi pia.
Mchana kanisani usiku chini ya muembe.
 

Unafikiri Kwa nini kuna makabila kama hakuna Majumuisho?
Huwezi sema isitumike Genelization Wakati kuna kitu kinachowaweka kundi Fulani kuwa moja.

Embu nijibu Hilo swali.
Unafikiri Kwa nini kuna makabila, races na mataifa?
 

Ingawaje sio wote
 
Uko sahihi mkuu!
Uchawi na ushirikina ni utumwa, mchawi asiporoga anakuwa amevunja miiko ya taaluma hiyo nadhani anaweza hata kuuawa!
Kwa hiyo hakuna mchawi au mshirikina mwenye upendo!
Hata hivyo siyo Wasukuma wote ambao ni wachawi! Na si kwa wasukuma tu, wachawi wako karibia kila kabila.
Mimi ambalo nimeliona kwa wanawake wa kisukuma ni heshima, ucheshi na ni wakarimu! Sijasikia sana kuhusu usaliti katika ndoa.
Ni hayo tu!
 
Mpaka wasukuma wakutombe ndiyo utajua ukarimu na upendo wao.

Pumbavu
 

Ni kweli Kabisa.

Ninachojaribu kukisema Kwa hao wanaochanganya Sifa ambazo hazikai pamoja waache.
Huwezi sema Wasukuma Wakarimu, wanaupendo na Wema alafu muda huohuo wawe wapenda Uchawi na ushirikina. Hicho ndicho ninachoeleza.

Ni aidha wanasingiziwa Uchawi na ushirikina, au ni kweli wanaupendo, ukarimu na Wema.
Ila hawawezi kuwa na Sifa hizo mbili
 
Na hizo sehemu zenye wachawi au familia zenye wachawi zichunguze. Roho Mbaya ingawaje wanakuwa wanaunafiki WA kuonyesha ukarimu bandia. Usije ukajichanganya
mimi kwa kweli ntaoa mpare au msukuma CHa muhimu mwanamke awe na siha njema na hofu ya Mungu
 

Kwa Tanzania hii, ni wapi wasio washirikina?

Nimekaa Lushoto miaka minne, ushirikina upo!

Nimekaa Pangani mwaka mmoja, ni hatari!!! asubuhi mkiamka kila njiapanda imevunjwa nazi.

Nimekaa Muheza miezi 6, ni full tunguri.

Nimekaa usukumani (Geita & Mwanza) miaka miwili, ushirikina upo.

Nimekaa Lindi mwaka mmoja, uchawi wa kutosha.

Nimekaa Songea miezi 8, balaa uchawi tupu!!

Nimekaa Sumbawanga mwaka na nusu, ushirikina tupu!! Mpaka unaogopa!

Nimepaki Kigoma nusu mwaka, kila raia anaujua ulozi. Kila mtu ni mwamba hakuna mnyonge kwenye ndumba! wote wanaheshimiana.

Nilipita Muleba, kwa siku chache, napo wanasema ndumba zipo sana tu wanatumia za Uganda.

Nimekulia Daslamu, uswahili na full kurogana kila siku.

Tembea uone. Lack of exposure yaweza kukudanganya ukamuona demu wako au mkeo ndiyo pisi kali kuliko wote, kumbe ukweli ni tofauti.

Tanzania hii ni wapi huko ambako hawafanyi ushirikina?

Jamii hii ya mtu mweusi, ni wapi huko hawagusi uchawi? Wewe mwenyewe hapo ulipo (bila kujali kabila lako) au yeyote kwenye ukoo wako hamkosi chale kwenye miili yenu.

Hata hao wazungu wenyewe pamoja na race zingine zote zinafanya ushirikina.

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…