Wanaosema Wasukuma ni Wakarimu, wana upendo halafu muda huo huo wanapenda ushirikina na Uchawi, hawajui kile wanachokisema

Kuna ushirikina, wanga, ulozi na uchawi naona vyote umeviweka pamoja
btn uchawi(kama ulivyo sema) usukumani sio sifa ndio maana unasikia vikomgwe wanauwawa
Kwa kudhaniwa tu ni wachawi tofauti na baadhi ya maneno kama kigoma na sumbawanga uchawi unapouzwa hadharani unaweza nunua radi 500tsh na mtu anaweza kujigamba mchawi hadharani.
Uchawi usukumani una operate kwa siri sana kama secret society au forbidden knowledge.
Waganga ndio watu pekee wako authorised kutumia dawa na hii ni kwa ajili ya lutibu na kutatua changamoto ndani
Ya jamii mfano ukame, maradhi, na majanga mbalimbali ambapo historia yake inarudi nyuma
Zama za wafalme kila kijiji kilikuwa na mganga ukisoma sapiens brief history of human being
 
Unafikiri Kwa nini kuna makabila kama hakuna Majumuisho?
Huwezi sema isitumike Genelization Wakati kuna kitu kinachowaweka kundi Fulani kuwa moja.

Embu nijibu Hilo swali.
Unafikiri Kwa nini kuna makabila, races na mataifa?

Wewe kwenye ukoo wako, au familia yako, ikitokea mmoja akawa mwizi, Je ukoo wote mmekuwa wezi?

Hebu tumia brain yako vizuri.

-Kaveli-
 
Huyu mwamba analazimishaga content alafu hana maajabu
Hakuna binadamu mkamilifu wote wanamapungufu ni kweli wasukuma wana ukarimu lakin pia wanamapungufu yao kama binadamu wengine

Huwa anajaribu kutoa maoni yake ambapo mengi huwa anaandika nonsense!

-Kaveli-
 
Mimi ni Mnyamwezi Mkuu
Hasa wanyamwezi na wasukuma wanatofauti gani? Mbona wanasikilizana, na mjini vikundi wanakaa pamoja, na wanaitana dada Kaka, na wanapendana kweli wanafatana Sana wakikutana, mi nikajua labda we mpwani au kaskazini huko.
 
Huyu mwamba analazimishaga content alafu hana maajabu
Hakuna binadamu mkamilifu wote wanamapungufu ni kweli wasukuma wana ukarimu lakin pia wanamapungufu yao kama binadamu wengine
Mwamba ana madini sana ila sio lazima kila mtu akubali madini yake.
 
Huwa anajaribu kutoa maoni yake ambapo mengi huwa anaandika nonsense!

-Kaveli-
[emoji28][emoji28], anawajadili wasukuma, wakati ye mnyamwezi, hapo mi hoi, wanatofauti gani wakati wote wale wale tu, mangosha, sengi.vyakula vyao vya karanga,matobolwa, nsasa, wanasikilizana kiluga, wanakaa vikundi pamoja mjini.
 
Kwa kukusaidia katika bandiko lako, wanaposema wasukuma ni wakarimu siyo wote kwamba ni wakarmu, isipokuwa ukilinganisha na makabila mengine wasukuma ni namba Moja.
 
Hasa wanyamwezi na wasukuma wanatofauti gani? Mbona wanasikilizana, na mjini vikundi wanakaa pamoja, na wanaitana dada Kaka, na wanapendana kweli wanafatana Sana wakikutana, mi nikajua labda we mpwani au kaskazini huko.

Wanyamwezi ni ndugu na wasukuma.
 
Wewe kwenye ukoo wako, au familia yako, ikitokea mmoja akawa mwizi, Je ukoo wote mmekuwa wezi?

Hebu tumia brain yako vizuri.

-Kaveli-

Ukoo wetu kama unawatu 50
Alafu 30 yakawa majizi basi ukoo wetu utatambulika kama ukoo wa majizi.
Huwezi kataa ukweli Mkuu.

Watu wanachoangalia ni wingi ndipo Wana generalize
 
Pamoja na yote utakayosema,
Hoja ni kuwa mchawi na mshirikina hawezi kuwa na Sifa ya upendo, ukarimu, na Wema.
Hicho ndicho ninachojadili humo.
 
[emoji28][emoji28], anawajadili wasukuma, wakati ye mnyamwezi, hapo mi hoi, wanatofauti gani wakati wote wale wale tu, mangosha, sengi.vyakula vyao vya karanga,matobolwa, nsasa, wanasikilizana kiluga, wanakaa vikundi pamoja mjini.
Hakuna mnyamwezi hapo, huyu ni mpare sijajua kwanini anajikataa!

Kuhusu mada yake no comment.
 
Hakuna mnyamwezi hapo, huyu ni mpare sijajua kwanini anajikataa!

Kuhusu mada yake no comment.
Kapenda kujipaisha mi mnyamwezi bwana, kumbe bahiri tu, siku atuletee Uzi wa ubahili wao, na makande yao wanapikaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…