Wanaosema watu wasipiganie urithi ni wajinga, wasio na uelewa wa dunia


Maneno ya wakosaji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ooh! Nyumba ya Urithi, sijui Utajiri wenyewe kaachiwa!
Mbona Baba yako hakukuachiaπŸ˜€
 
Familia za kiafrika zitaendelea kutofanikiwa sababu kila mtu anaanzisha chake, akifa kinakufa
Hatuna utaratibu wa kuendeleza
 
Familia za kiafrika zitaendelea kutofanikiwa sababu kila mtu anaanzisha chake, akifa kinakufa
Hatuna utaratibu wa kuendeleza
Kuna Mambo mengi kwenye suala la kutokufanikiwa kwa sisi waafrika lakini sio ubezi na Mambo ya urithi kuhusisha na kutofanikiwa kwetu
 
Nakubaliana 100% na mleta mada.

ROBERT HERIEL umeifanyia haki mantiki ya urithi.

Nchi za mashariki ya Kati nyingi watu wake wanauwezo wa kurithisha Mali mpaka vizazi vinne. Alafu watu hivyo mlingane nao. Thubutu!

Kuna member mmoja humu nafikiri ni Mpwayungu Village alitoa kilio chake kuhusu Waarabu na wahindi kuishi Maeneo nyeti na mazuri hapa DAR es salaam au nchini Kama Upanga, Posta, OSTERBAY na Masaki.
Anadhani mtoto wa Kiarabu ni Kama Sisi watoto wa Kiswahili ambao wengi wetu tunaanza maisha Kwa kujenga msingi wenyewe, wenzetu mtoto wa kiarabu hafikirii sijui mambo ya Ajira πŸ˜€ yeye akimaliza elimu yake Moja Kwa Moja anarithishwa biashara Fulani.

Kijana anabisha hakuna haja ya kupewa Urithi alafu muda huohuo analalamika Hakuna Support πŸ˜‚πŸ˜‚ Hivi alitegemea support kutoka Kwa Nani Kama sio Kwa wazazi wake?

Kijana anajifanya hataki Urithi alafu muda huohuo analalamika viongozi wakirithishana vyeo na Madaraka.
Vijana wa siku hizi Kama akili zimeyumba hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…