Kuna tetesi kila mahali kuwa ndani ya Chama cha Mapinduzi makundi kwa makundi wanajipanga kuweka upinzani hapo baadaye 2025 uchaguzi ujao.
Ofcourse! Watasema ni haki yao ya kikatiba na demokrasia ndani ya chama chao, jambo la kushangaza ni kwanini sasa? Mbona wakati wa JPM wote waliufyata??
Katiba Mbovu inawafanya waamini kila mtu anaweza kuwa Rais as long as ni Mwanaccm.
Sasa Mh Rais Samia kazi kwako.