Mbona kama unawabagua wasukuma?!, Na who are those UNKNOWN!? Mimi nadhan kila mwenye sifa na katiba inamruhusu agombee tuu... chances are,we might end up getting a better leader..tusiwakatishe tamaa watu wenye Nia ya kuitumikia Nchi kwa visingizio visivyo na msingi...na Demokrasia ya kweli si kuzuia watu wasijitokeze kuomba ridhaa...wenye Nia waachwe wajitokeze na wanadi sera zao..wananchi tutaamua baada ya kuwapima...wakizimwq chini chini tunaweza ku-stick na mediocre kumbe watu wenye ufumbuzi Bora wapo.