Kwamba?Ndio basi tena
Chukua one day try to reveal logically commentNdo bas tena
Juzi JFs iliblock any content ambayo iko chini ya maneno matatu kushuka chini. Na ulikuwa huruhusiwi kuweka content isiyo na maandishi ya kusomeka.Chukua one day try to reveal logically comment
No huyo demu anapenda ku-comment I know herJuzi JFs iliblock any content ambayo iko chini ya maneno matatu kushuka chini. Na ulikuwa huruhusiwi kuweka content isiyo na maandishi ya kusomeka.
Kumbe unamfatilia sana.No huyo demu anapenda ku-comment I know her
Hehee acha ukabila wa wazi wazi Mkuu haipendezi sisi site ni watanzania tuna haki sawa mbele ya maslahi ya TaifaMama Samia is doing fine
Endapo Tukawapa nchi Wasukuma Tena au uknown peoples tutakuwa tumeharibu kila kitu .
Kuna uzuri na ubaya wake. Kosa kubwa kabisa la Mama yetu Rais Samia ni baada ya Dkt. Magufuli kufariki na kuingia mtego wa kudhani Dkt Magufuli alikuwa anakosea (hata kama ilikuwa kweli ) ila kama kiongozi wa ngazi ya juu baada ya rais alipaswa kuchukua dhamana ya udhaifu wote na kujifanya kuwa anasimamia yale ambayo mwenzake alikufa akiamini yupo sahihi.Kuna tetesi kila mahali kuwa ndani ya chama cha Mapinduzi makundi kwa makundi wanajipanga kuweka upinzani hapo baadaye 2025 uchaguzi ujao.
Ofcourse! watasema ni haki yao ya kikatiba na demokrasia ndani ya chama chao, jambo la kushangaza ni kwanini sasa? Mbona wakati wa JPM wote waliufyata??
Katiba Mbovu inawafanya waamini kila mtu anaweza kuwa Rais as long as ni Mwanaccm.
Sasa Mh Rais Samia kazi kwako.
Simfatilii wao majukwaa yao ya mapenzi ndo size Yao huku watuachie wazee wa tozoKumbe unamfatilia sana.
Basi nini mkuu?Ndo bas tena
Mwendazake hakuruhusu demokrasia.Kuna tetesi kila mahali kuwa ndani ya chama cha Mapinduzi makundi kwa makundi wanajipanga kuweka upinzani hapo baadaye 2025 uchaguzi ujao.
Ofcourse! watasema ni haki yao ya kikatiba na demokrasia ndani ya chama chao, jambo la kushangaza ni kwanini sasa? Mbona wakati wa JPM wote waliufyata??
Katiba Mbovu inawafanya waamini kila mtu anaweza kuwa Rais as long as ni Mwanaccm.
Sasa Mh Rais Samia kazi kwako.
Mama hapendi unafiki nchi ameikuta na wizi mkubwa wa pesa za umma so ulitaka apige kimya!!Kuna uzuri na ubaya wake. Kosa kubwa kabisa la Mama yetu Rais Samia ni baada ya Dkt Magufuli kufariki na kuingia mtego wa kudhani Dkt Magufuli alikuwa anakosea (hata kama ilikuwa kweli ) ila kama kiongozi wa ngazi ya juu baada ya rais alipaswa kuchukua dhamana ya udhaifu wote na kujifanya kuwa anasimamia yale ambayo mwenzake alikufa akiamini yupo sahihi. Lakini baada ya kuanza kutoa kauli za kubeza na kibaya zaidi alipowakumbatia wale ambao Dkt
Mwendazake hakuruhusu demokrasia.
Huyu hatishii ivo watu wapo huru sana....nadhani ndo democracy sijuiKwamba?
Sio hivyo nchi tumewapa miaka 5 wameharibu so tumejifunza imetosha.Hehee acha ukabila wa wazi wazi Mkuu haipendezi sisi site ni watanzania tuna haki sawa mbele ya maslahi ya Taifa
😅😅😅domokrasia mkuu. Watu wanatishana kwa hoja tuHuyu hatishii ivo watu wapo huru sana....nadhani ndo democracy sijui
Sasa watu wako huru kutimiza ndoto zaoMwendazake hakuruhusu demokrasia.
Umeongea bonge la Pointi. Lakini Je Hayati JPM alichukua udhaifu wa mzee Kikwete mtangulizi wake?Kosa kubwa kabisa la Mama yetu Rais Samia ni baada ya Dkt Magufuli kufariki na kuingia mtego wa kudhani Dkt Magufuli alikuwa anakosea (hata kama ilikuwa kweli ) ila kama kiongozi wa ngazi ya juu baada ya rais alipaswa kuchukua dhamana ya udhaifu wote na kujifanya kuwa anasimamia yale ambayo mwenzake alikufa akiamini yupo sahihi.