Wanaosemwa wanautaka Urais ndani ya CCM, Je ni Dharau tu? Mbona wakati wa Chuma waliufyata wote?

Unakumbuka Membe alifukuzwa chamami kwa ajili ya kuutaka urais?
 
Mama Samia is doing fine
Endapo Tukawapa nchi Wasukuma Tena au uknown peoples tutakuwa tumeharibu kila kitu .
Mbona kama unawabagua wasukuma?!, Na who are those UNKNOWN!? Mimi nadhan kila mwenye sifa na katiba inamruhusu agombee tuu... chances are,we might end up getting a better leader..tusiwakatishe tamaa watu wenye Nia ya kuitumikia Nchi kwa visingizio visivyo na msingi...na Demokrasia ya kweli si kuzuia watu wasijitokeze kuomba ridhaa...wenye Nia waachwe wajitokeze na wanadi sera zao..wananchi tutaamua baada ya kuwapima...wakizimwq chini chini tunaweza ku-stick na mediocre kumbe watu wenye ufumbuzi Bora wapo.
 
Sahihi.....lakini the Unknown ni watu wa kuogopwa sana🤣
 
Mama apumzike tu ikifika 2025 mambo mazito hataki kufanya maamuzi
 
Mifano tena kwa mama. Watake ama wasitake
 
Toka huko usingizini kama unafikiri kura ndio inaamua hatma ya serikali ya CCM
 
Tatizo liko hapa
 
Yule hakuwa chuma bali bua lililopatwa rangi ya chuma
 
Sahihi.....lakini the Unknown ni watu wa kuogopwa sana🤣
Point yangu iko pale pale...watu wasitishwe au kuzuiwa wasitafute nafasi za uongozi...ni haki yao ya msingi na hakuna mwenye monopoly na uongozi nchini, pia Tanzania sio nchi ya Kifalme.
 
Point yangu iko pale pale...watu wasitishwe au kuzuiwa wasitafute nafasi za uongozi...ni haki yao ya msingi na hakuna mwenye monopoly na uongozi nchini, pia Tanzania sio nchi ya Kifalme.
Wacha waparuane yetu macho
 
Tatizo kacheka na mbwa Kuna mawili achague moja awafukuze ili aingie msikini au aingie nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…