Wanaosemwa wanautaka Urais ndani ya CCM, Je ni Dharau tu? Mbona wakati wa Chuma waliufyata wote?

Watajuana wenyewe.
 
Mama Samia is doing fine
Endapo Tukawapa nchi Wasukuma Tena au uknown peoples tutakuwa tumeharibu kila kitu .
Hiyo nchi mliyompa huyo mama uliyemtaja mwisho 2025, mkatafute nyingine ya kumpa. Ila kama ni hiihii tutaigawana kila mtu achukue kipande chake.
 
Hiyo nchi mliyompa huyo mama uliyemtaja mwisho 2025, mkatafute nyingine ya kumpa. Ila kama ni hiihii tutaigawana kila mtu achukue kipande chake.
We JF umejiunga juzi tu na siasa umeanza kuzifahamu hapa
 
Si kwamba wanampinga mama SSH.Hapana.Wanatengeneza cv tu.Yule jamaa angewaua asubuhi mapema!😂😂😂😂
 
Ni Haki yao kikatiba, hao ambao wanafanya harakati za Urais wazidi kufanya maandalizi, anaestahili atakalia kiti asiefaa🚮
 
Ni Haki yao kikatiba, hao ambao wanafanya harakati za Urais wazidi kufanya maandalizi, anaestahili atakalia kiti asiefaa🚮
Sahihi. Hiyo haki imeanza awamu hii tu?
 
Wamepima maji wameona mazingira yanaruhusu na kama hayakuruhusu back then basi haikuwa sawa.
Maji na unga vinaendana. Sasa mbona wakati ule walidai wamwache atawale milele?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…