Wanaotaka kuanza kusoma CPA karibuni tushauriane

Wanaotaka kuanza kusoma CPA karibuni tushauriane

e3870459-f671-4391-af43-88d012fe6730.jpg
 
Wakuu msisahau baada ya kufanya mitihani na kufaulu unakua CPA graduate (GA) na sio full membership (japo hapo ndio wengi wapo kwa Tanzania).

Kituo kizuri cha kupumzika ni kua full membership kwa kupata ACPA / ACPA PP na kuendelea

Baadaya ya kuwa na Mentor na kujaza log book kwa miaka 3 na NBAA kuzipitia na kua approve.

Karibuni.
 
Pale Mzumbe robo tatu ya darasa tuliokua tunafanya BAF miaka kadhaa nyuma tulikua ni PCMs na PCB

Assumption yako imekaa kimchongo
Ni sawa na hata mimi nlikua na marafiki zangu walio soma pcm na wakasoma BAF hapo mzumbe..

Ila huwezi linganisha BAF ya miaka 3 hapo mzumbe na mziki wa miaka minne ya kusoma uhandisi pale sua, coet nk nk!
 
La saba huwezi kuruhusiwa kusoma CPA, hata form four kama hana ufaulu wa hesabu na English hawezi kusoma CPA. Kwa Tanzania CPA wameirahisisha sana vigezo vya kuingia, kwa nchi kama South Africa ambako inaitwa CA (Chartered Accountant) minimum entry requirement ni degree ya uhasibu tu yaani iwe uhasibu pure ambayo ni financial accounting.
Upo souz mkuu
 
Wakuu kwema?

Nmefurahi sana kuona mijadala kama hii inaendelea hapa, hakika JF is the home of great thinkers.

Naomba ku rise jambo langu pia Mimi ni mtumishi(mwalimu), Nmefanikiwa kupata ruhusa ya kujiendeleza kimasomo and nasomea Bachelor of Business administration( BBA) mwezi novemba naingia mwaka wa pili ambapo nitahitajika ku specialize kati ya Uhasibu, Biashara, HR, au ugavi, naomba ushauri kati ya hizi ni ipi inafanya vizur kwa sasa katika ngazi ya halmashauri maana najua humu kuna wengi pia mnafanya kazi katika halmashauri na target yangu kama mungu atanijalia ni kuja kuomba recategorization ili niweze kusaidia nchi yangu katika eneo hilo.

Be blessed you all!!
 
Wakuu kwema?Nmefurahi sana kuona mijadala kama hii inaendelea hapa, hakika JF is the home of great thinkers.
Naomba ku rise jambo langu pia Mimi ni mtumishi(mwalimu),Nmefanikiwa kupata ruhusa ya kujiendeleza kimasomo and nasomea Bachelor of Business administration( BBA) mwezi novemba naingia mwaka wa pili ambapo nitahitajika ku specialize kati ya Uhasibu, Biashara, HR, au ugavi...naomba ushauri kati ya hizi ni ipi inafanya vizur kwa sasa katika ngazi ya halmashauri maana najua humu kuna wengi pia mnafanya kazi katika halmashauri na target yangu kama mungu atanijalia ni kuja kuomba recategorization ili niweze kusaidia nchi yangu katika eneo hilo.
Be blessed you all!!
Chukua uhasibu, kisha fanya mitihani ya bodi ili uwe CPA
 
Fuata moyo wako kuwa unachotaka
 
Seriously!? anatafuta career inabidi achague anachopenda lasivyo anaweza akawa anaamka mpaka mwisho wa maisha yake kwenda ofisin kufanya kazi ambayo haipendi

Ndio maisha unayoyataka hayo kwa mwenzio?

Think!
Maamuzi ya kitaaluma hayafanyi kwa kutumia moyo, Apate taarifa sahihi kisha afanye maamuzi. Moyo ndo nini sasa
 
Seriously!? anatafuta career inabidi achague anachopenda lasivyo anaweza akawa anaamka mpaka mwisho wa maisha yake kwenda ofisin kufanya kazi ambayo haipendi

Ndio maisha unayoyataka hayo kwa mwenzio?

Think!
Unachopenda kinaweza kisikupe fedha, tena inawezekana usikiweze. Fuata pesa iliko full stop!

Mapenzi yako pesa iliko. Imagine unapenda kazi flani na haikupi pesa! Nonsense!

Lazima uishi, utafanya vitu unavyopenda ukishakua na hela ambayo you can afford to loose
 
Naive
 
Back
Top Bottom