financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
- Thread starter
- #301
Review Classes zishaanza week hii wakuu mnaotegemea kufanya mitihani November 2022, all the best in your preparations.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera kwa aliyepata, kikubwa status iwe pass😂Kuna A za intermediate level pia mkuu😂 tena A ya Performance management 🙌
According to Examiners Report ya May 2022, hakuna A hata moja ya Performance ManagementKuna A za intermediate level pia mkuu[emoji23] tena A ya Performance management [emoji119]
Usifanye masikhara na ile Performance management, mimi nadhani nilipata hiyo 40 kamili😂 bila mbwembwe 🙌According to Examiners Report ya May 2022, hakuna A hata moja ya Performance Management View attachment 2283055
Sure, ukiona pass inafariji sana, iwe pass ya 40 or 100 zote pass😂Hongera kwa aliyepata, kikubwa status iwe pass😂
Ni sawa na hata mimi nlikua na marafiki zangu walio soma pcm na wakasoma BAF hapo mzumbe..Pale Mzumbe robo tatu ya darasa tuliokua tunafanya BAF miaka kadhaa nyuma tulikua ni PCMs na PCB
Assumption yako imekaa kimchongo
Ya haijalishi kikubwa umefauluSure, ukiona pass inafariji sana, iwe pass ya 40 or 100 zote pass😂
Ongera sanaMungu ni mwema, Kituo kinachofuata ni November 'FULL SUIT'View attachment 2276372
Upo souz mkuuLa saba huwezi kuruhusiwa kusoma CPA, hata form four kama hana ufaulu wa hesabu na English hawezi kusoma CPA. Kwa Tanzania CPA wameirahisisha sana vigezo vya kuingia, kwa nchi kama South Africa ambako inaitwa CA (Chartered Accountant) minimum entry requirement ni degree ya uhasibu tu yaani iwe uhasibu pure ambayo ni financial accounting.
Asante mkuuOngera sana
Chukua uhasibu, kisha fanya mitihani ya bodi ili uwe CPAWakuu kwema?Nmefurahi sana kuona mijadala kama hii inaendelea hapa, hakika JF is the home of great thinkers.
Naomba ku rise jambo langu pia Mimi ni mtumishi(mwalimu),Nmefanikiwa kupata ruhusa ya kujiendeleza kimasomo and nasomea Bachelor of Business administration( BBA) mwezi novemba naingia mwaka wa pili ambapo nitahitajika ku specialize kati ya Uhasibu, Biashara, HR, au ugavi...naomba ushauri kati ya hizi ni ipi inafanya vizur kwa sasa katika ngazi ya halmashauri maana najua humu kuna wengi pia mnafanya kazi katika halmashauri na target yangu kama mungu atanijalia ni kuja kuomba recategorization ili niweze kusaidia nchi yangu katika eneo hilo.
Be blessed you all!!
Fuata moyo wako kuwa unachotakaWakuu kwema?Nmefurahi sana kuona mijadala kama hii inaendelea hapa, hakika JF is the home of great thinkers.
Naomba ku rise jambo langu pia Mimi ni mtumishi(mwalimu),Nmefanikiwa kupata ruhusa ya kujiendeleza kimasomo and nasomea Bachelor of Business administration( BBA) mwezi novemba naingia mwaka wa pili ambapo nitahitajika ku specialize kati ya Uhasibu, Biashara, HR, au ugavi...naomba ushauri kati ya hizi ni ipi inafanya vizur kwa sasa katika ngazi ya halmashauri maana najua humu kuna wengi pia mnafanya kazi katika halmashauri na target yangu kama mungu atanijalia ni kuja kuomba recategorization ili niweze kusaidia nchi yangu katika eneo hilo.
Be blessed you all!!
Maamuzi ya kitaaluma hayafanyi kwa kutumia moyo, Apate taarifa sahihi kisha afanye maamuzi. Moyo ndo nini sasaFuata moyo wako kuwa unachotaka
Maamuzi ya kitaaluma hayafanyi kwa kutumia moyo, Apate taarifa sahihi kisha afanye maamuzi. Moyo ndo nini sasa
Unachopenda kinaweza kisikupe fedha, tena inawezekana usikiweze. Fuata pesa iliko full stop!Seriously!? anatafuta career inabidi achague anachopenda lasivyo anaweza akawa anaamka mpaka mwisho wa maisha yake kwenda ofisin kufanya kazi ambayo haipendi
Ndio maisha unayoyataka hayo kwa mwenzio?
Think!
NaiveUnachopenda kinaweza kisikupe fedha, tena inawezekana usikiweze. Fuata pesa iliko full stop!
Mapenzi yako pesa iliko. Imagine unapenda kazi flani na haikupi pesa! Nonsense!
Lazima uishi, utafanya vitu unavyopenda ukishakua na hela ambayo you can afford to loose