Hicho kiwanja kilikuwa kikari balaa! Enzi hizo niko UDSM (FoE) baada ya kupiga msuli tunachepukia short cut ya pale ilipo mlimani city tunaingia kiwanja mida ya fungulia mbwa! Daah!
Ok,hivyo uongozi ulivyobadilika ikala kwake.Biashara yake kubwa ilikuwa ni Fumigation. Kazi kubwa alifanya kwenye kupulizia dawa Govt quarters country wise. Tafuta Interstate fumigation Company & General Supplies.
Rwegasira hakuwahi kumiliki Silent Inn ingawa aliijenga yeye ile Club. Yeye alikuwa mpangaji tu kwa makubalino ya upangaji wa muda mrefu.
Felician alimiliki bendi ya FM International kiwanja cha nyumbani kikiwa pale Kinondoni jirani na makaburi ya Mtaa wa Ufipa. Nadhani palikuwa panaitwa Lang'ata Social Hall.
Umemaliza chuo kikuu halafu kuandika hujui? Elimu majanga hii
Message from the Finance Officer.
""Never give the FINANCIAL ADVICE to someone who has never ask you""
Everyone should live his/her life.
#YNWA
Wrote from Anfield..!!
Siyo mbaya kama ipo justified.Wewe una superiority complex siyo dogo
Kuna uzinduzi mmoja wa Albamu ya Sugu mwaka 2001 nadhan, Wanachuo tulipunguziwa kiingilio na kila Ijumaa kulikua na Friday Faculty day na DJ Fast Eddy then wanagonga Wana kibinda Nkoi ha ha Elly Chinyama, Anicet Patelo, Zola Zinganguvu, Allain Mulumba Kashama!! Issue ya umiliki wa hiyo site ya Silent Inn ilimfiris
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili sio jukwaa la mwandikoUmemaliza chuo kikuu halafu kuandika hujui? Elimu majanga hii
Ilikua balaa, na jamaa kaungaunga kamtapeli maza mkuu wa forodhani akaleta videnti vya forodhani kaahidi kuvipa kazi mzee na lile jengo chochoro kibao, basi ikawa unatandika huyu unarudi unapumzika unabeba huyu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Ilikua balaa, na jamaa kaungaunga kamtapeli maza mkuu wa forodhani akaleta videnti vya forodhani kaahidi kuvipa kazi mzee na lile jengo chochoro kibao, basi ikawa unatandika huyu unarudi unapumzika unabeba huyu
Hiyo nakubali,na alikua mcheshi sana na very smart.pale ndo nilikutana na macheni ana kidani gold la kufuli kuuubwa acha hiyo cheniFred alikuwa haringi hata kidogo. Wacha assumption zako. Alikuwa MTU wa watu sana tu.
Kumbe humu mpo wakongwe wenzetu...Kuna uzinduzi mmoja wa Albamu ya Sugu mwaka 2001 nadhan, Wanachuo tulipunguziwa kiingilio na kila Ijumaa kulikua na Friday Faculty day na DJ Fast Eddy then wanagonga Wana kibinda Nkoi ha ha Elly Chinyama, Anicet Patelo, Zola Zinganguvu, Allain Mulumba Kashama!! Issue ya umiliki wa hiyo site ya Silent Inn ilimfiris
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee Makoye kwa kuwa alikuwa hajui kusoma vizuri walimwandikisha mkataba feki huko Nairobi, mkataba uliandaliwa na Masiliingi akiwa kama mwanasheria wakampihabkinywaji kwenye hotelbkali zilivyomruka wakamsainisha ndivyo sivyo, alivyokuja kugundua ishakula kwake wkaanza kukimbizana kotini. Kama sio kuokolewa na ndugu makoye ingekula kwakeeIla baadae alikua na mgogoro na Mmiliki Mzee Makoye then akageuza Kanisa akaokoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Papa Masilingi alimtupa , baadhi ya madai yake ya famigation yalikosa uthibitisho Ben akayapiga chini hakulipwa, alipoteza kama million mia Nane kipindi hicho, tena Maslingi alivyopewa uwaziri akaambiwa akae mbali na TP huyo hivyo akaanza kufulia kwa madeni. Bendi ikafa , biashara ya baa ikayumba, kesi ya pale kwenye biashara ikapamba moto, akapageuza kabisa lakini wapi , alipafanya Tawi la mama Rwaka, naye kashutukia dili akamtema. Ila Jamaa maskini hakuwa analinga ila ukikaa vibaya anakulizaOk,hivyo uongozi ulivyobadilika ikala kwake.
🤣🤣🤣Banza na nice walinikuta👊
Jobiso ana family, kiwanja chetu kwa macheni ye na mamaake
Huyu Muttah si ndio alimpigisha show moja matata pale Uwanja wa Taifa Saida Kololi?Siyo huyu unachanganya mambo. Ile ilikuwa ni bendi ya FM International mmiliki akiwa ni Mzee Felician Muta.
Ndanda Kosovo hakuwahi kuimba Diamond Sound hata siku moja.