Niajiliwe na mtu aliyemaliza chuo kikuu halafu hajui kuandika? Big No
Nakutafta
Hahahahaha daah noma Sana , Jamaa atakuwa juu ya maweNahisi palivunjwa ilikuwa eneo la barabara, kabla hapajavunjwa alipageuza kanisa nako naona mradi wa kanisa ukabuma, nahisi Mungu alimshtukia mapema kuwa nia yake ilikuwa sadaka
Vifo vya wasanii tz hatari, zamani nilizani Hussein Macheni anapamiliki pale magomeni. Kumbe hakuwa na nyumba Dar, alioa kamwanamke kanaitwa Ashura, baade maisha yakagoma wakaenda kukaa kwa mwanamke!! Cheni moja ilitosha kununua kiwanja mbagala lakini hakufanya hivyo akaja kuugulia shambani na kufia huko huyu Bavaria mtoto Wa mjini🤣🤣🤣
R.I.P Hussein Macheni
Kweli kabisaVifo vya wasanii tz hatari, zamani nilizani Hussein Macheni anapamiliki pale magomeni. Kumbe hakuwa na nyumba Dar, alioa kamwanamke kanaitwa Ashura, baade maisha yakagoma wakaenda kukaa kwa mwanamke!! Cheni moja ilitosha kununua kiwanja mbagala lakini hakufanya hivyo akaja kuugulia shambani na kufia huko huyu Bavaria mtoto Wa mjini
Ndiyo. Felician ndiye alikuwa Manager wa Saida Karoli.Huyu Muttah si ndio alimpigisha show moja matata pale Uwanja wa Taifa Saida Kololi?
Andrew keyboard(sekidia )huku gabi katanga (yelo masai )anapiga tumba huyo mungu marehemuKumbe humu mpo wakongwe wenzetu...
Silent Inn ilikuwa moto.
Ile bendi yake pia ilikuwa moto. Yaani ilikuwa burudan juu ya burudan Mkuu. Mzigo huu hapo chini jikumbusheni maraha ya wakati huo.
ukidondoka kubali jikungute anza mojaWana JF,
Ukitaka kujua thamani ya hela na kujua Pesa ni vitoto vya kuku kamtafute Papa Rwegasira mmiliki Wa silent inn, sasa hivi ni mwendo Wa daladala, Jamaa enzi za mkapa alimiliki mamilion . kwa sasa hana hata bodaboda.
Uzuri nimempenda anajichanganya ashajikubali, wale wenye hela za kubip tulizeni mikia jenga cha kukufaa uzeeni acheni majivuno na dharau.
mwesiga utukutu umeanza zamani sanaNami nilikuwepo kwenye seleka lile
kwani unadhani kila mtu anasomea mwandiko ni kama vile kumtaka magufuli aongee kingeraza safi wakati yeyeNiajiliwe na mtu aliyemaliza chuo kikuu halafu hajui kuandika? Big No
Mwesi Wa wapi. Hivi humu kuna kutaja taja majina? Unajua sheria za jf?
Kamuke sukari mariam zidane kuna Roger muzungu hakika kimalumalu ilikuwa khatari sanaKumbe humu mpo wakongwe wenzetu...
Silent Inn ilikuwa moto.
Ile bendi yake pia ilikuwa moto. Yaani ilikuwa burudan juu ya burudan Mkuu. Mzigo huu hapo chini jikumbusheni maraha ya wakati huo.
Wana JF,