Ndiye aliyemtoa kimuzik alimtoa Kagera vijijini akamleta Dar na kurekod album.Ndiyo. Felician ndiye alikuwa Manager wa Saida Karoli.
Hapo uliposema alijisomesha ukubwani....mkuu naomba ufunguke kidogo tu, itanisaidia mimi nisikate tamaa maana nipo chuoni huku nikitarajia kupata mjukuu!Rugemalira hajachoka anachoshwa tu bado iko njema. Akitoka anaweza kuwa na ukwasi ile mbaya. Ogopa kichwa kile, MTU alijisomesha ukubwani akagonga GPA ya juu kabisa. Alafu bado Mabibo wine inafanya vizuri under mwanae, huyu rwegasila ukimpa teni anaweza kukusalimia shikamoo kaka, akikataa ni ujeuri tuu.
Umeongelea macheni!! Au kwa macheni pale magomeni maana zilikuwa nyakati hizohizo za silent innBanza na nice walinikuta👊
Jobiso ana family, kiwanja chetu kwa macheni ye na mamaake
Sasa silent in si ndo lilikuwa jina LA club na business name ya hapo? Basi ilikuwa yake Rwegasila na ndo alikuwa mmiliki!Rwegasira hakuwahi kumiliki Silent Inn ingawa aliijenga yeye ile Club. Yeye alikuwa mpangaji tu kwa makubalino ya upangaji wa muda mrefu.
Felician alimiliki bendi ya FM International kiwanja cha nyumbani kikiwa pale Kinondoni jirani na makaburi ya Mtaa wa Ufipa. Nadhani palikuwa panaitwa Lang'ata Social Hall.
Silent inn miaka kuanzia 1996 ilikuwa pale barabara ya Sam Nujomba mita kama 200 upande wa kushoto kutoka kanisa la kakobe kama unaenda mwenge kabla ya kupanuliwa na kuwa njia 4Silent in ipo sehemu gani?Huyo PDG alikuwa na biashara zipi ?
Dah! Eebwana weee!Vifo vya wasanii tz hatari, zamani nilizani Hussein Macheni anapamiliki pale magomeni. Kumbe hakuwa na nyumba Dar, alioa kamwanamke kanaitwa Ashura, baade maisha yakagoma wakaenda kukaa kwa mwanamke!! Cheni moja ilitosha kununua kiwanja mbagala lakini hakufanya hivyo akaja kuugulia shambani na kufia huko huyu Bavaria mtoto Wa mjini
Wana JF,
Ukitaka kujua thamani ya hela na kujua Pesa ni vitoto vya kuku kamtafute Papa Rwegasira mmiliki Wa silent inn, sasa hivi ni mwendo Wa daladala, Jamaa enzi za mkapa alimiliki mamilion . kwa sasa hana hata bodaboda.
Uzuri nimempenda anajichanganya ashajikubali, wale wenye hela za kubip tulizeni mikia jenga cha kukufaa uzeeni acheni majivuno na dharau.
Si alifungua kanisa huyu mzeeWana JF,
Ukitaka kujua thamani ya hela na kujua Pesa ni vitoto vya kuku kamtafute Papa Rwegasira mmiliki Wa silent inn, sasa hivi ni mwendo Wa daladala, Jamaa enzi za mkapa alimiliki mamilion . kwa sasa hana hata bodaboda.
Uzuri nimempenda anajichanganya ashajikubali, wale wenye hela za kubip tulizeni mikia jenga cha kukufaa uzeeni acheni majivuno na dharau.
Si a
Si alifungua kanisa huyu mzee
Hivi Silent Inn mmiliki alikuwa ni Rwegasila? Nilijua ni Felician Mutta FM Studio Jamani Tunda nitalipataje Tunda? Tunda TamTam Daaaaa mda unaenda sana!!
Duh, kumbe ndiye aliyewashughulikia.
Ila walijiita Wajelajela, hiyo original iliongezwa baada ya kumeguka.
[emoji23][emoji23][emoji23]Umemaliza chuo kikuu halafu kuandika hujui? Elimu majanga hii
Nasikia aliokoka alikuwa anasali kwa mama wa mlima wa moto,pale Maikocheni
Descipline ya hali ya juu sanaaaPesa inataka discipline sana.
Mutta kawatoa wengi sana hata Sugu alizinguana na FM.Mutta ndio alikimilikisha kazi zote za saida karoli
Sent from my iPhone using JamiiForums