Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Ila jeshi letu la polisi la hovyo sana. Si ajabu mpaka leo wala hakuna file linalohusu uchunguzi wa kupotea kwa Ben wala kupigwa risasi Tundu Lissu.
Ila jeshi letu la polisi la hovyo sana. Si ajabu mpaka leo wala hakuna file linalohusu uchunguzi wa kupotea kwa Ben wala kupigwa risasi Tundu Lissu.
Haliwezi kuwepo labda liwepo kwa bahati mbayaIla jeshi letu la polisi la hovyo sana. Si ajabu mpaka leo wala hakuna file linalohusu uchunguzi wa kupotea kwa Ben wala kupigwa risasi Tundu Lissu.
Wazazi wako waliuza mbuzi ili kusomesha mbuzi ingine ambaye ni weweKubenea alisema ishu ya Ben Saanane aulizwe Mbowe vizuri, anajua mchezo mzima
Na sio tu ishu ya Ben bali hata kifo tata cha Chacha Wangwe kama vyombo vyetu vya dola vingekuwa makini basi Mbowe hapa pía ana la kujibu, hata kama ni Mwenyekiti wangu chamani lakn haki lazima itendeke. KARMA IS A BIT*H
Wangeanza kumhoji kubenea kwanza kama wapo makini, pengine ni miongoni mwa washiriki la sivyo yeye ana ushahi gani au ana uhakika gani kwamba mbowe amehusika? Unless wawe walishirikiana na mboweKubenea alisema ishu ya Ben Saanane aulizwe Mbowe vizuri, anajua mchezo mzima
Na sio tu ishu ya Ben bali hata kifo tata cha Chacha Wangwe kama vyombo vyetu vya dola vingekuwa makini basi Mbowe hapa pía ana la kujibu, hata kama ni Mwenyekiti wangu chamani lakn haki lazima itendeke. KARMA IS A BIT*H
Hapana mkuu ila public pressure nayo ni muhimu katika kusaka haki,hapa tunazungumzia maisha ya binadamu wenzetu na elewa Saanane alikua mmoja wetu humu ingawa tulipishana naye kiitikadi(haki yetu kikatiba)hakusitahiri kupotezwa elewa naye ana family yake na kula mmoja wetu humu anapenda kuwa na family yake.Unataka kuchukua sheria mkononi?
Ni heri kupoteza m1 kuliko kupoteza wengi kutokana na ulimi wa huyo m1.Ila jeshi letu la polisi la hovyo sana. Si ajabu mpaka leo wala hakuna file linalohusu uchunguzi wa kupotea kwa Ben wala kupigwa risasi Tundu Lissu.
Kupotea kwa Ben, MBOWE anajua na ndio aliratibu shughuli nzima.Wangeanza kumhoji kubenea kwanza kama wapo makini, pengine ni miongoni mwa washiriki la sivyo yeye ana ushahi gani au ana uhakika gani kwamba mbowe amehusika? Unless wawe walishirikiana na mbowe
Mkuu lisaidie jeshi letu kama una ushahidi maana its been a long wait, mpaka sasa htujapata taarifa za uchunguzi wa kifo cha mpendwa wetu Ben, familia ina masononeko na Roho ya Ben bado haijapumzika kwa amani mpaka pale atakapotendewa hakiKupotea kwa Ben, MBOWE anajua na ndio aliratibu shughuli nzima.
Hapo ndio unadhani utatupoteza maboya, huyo polisi katajwa mahakamani, ww unatuletea porojo za mtaani za Kubenea? Kesi ya Chacha Wangwe iliendeshwa kwenye mahakama hizi hizi za CCM, ungeenda kutoa ushahidi. Kama vipi nenda kaifungue upya.Kubenea alisema ishu ya Ben Saanane aulizwe Mbowe vizuri, anajua mchezo mzima
Na sio tu ishu ya Ben bali hata kifo tata cha Chacha Wangwe kama vyombo vyetu vya dola vingekuwa makini basi Mbowe hapa pía ana la kujibu, hata kama ni Mwenyekiti wangu chamani lakn haki lazima itendeke. KARMA IS A BIT*H
...hayo yote yamefunikwaIla jeshi letu la polisi la hovyo sana. Si ajabu mpaka leo wala hakuna file linalohusu uchunguzi wa kupotea kwa Ben wala kupigwa risasi Tundu Lissu.
Huyu hapa JumanneKama ametambuliwa na watuhumiwa wanaodai kuteswa na kisha kupigwa lakini wakamkumbuka vizuri kwa sura huyu Jumanne Malangahe kuwa ni mhusika wa kuteka watu na kwamba alimteka Ben Saanane na Hata pia Erick Kabendela, huu ndio wakati wa kumkamata na kumpeleka mahakamani.
Mambo mengi yatakaa sawa na ukweli utajulikana.View attachment 2077136
Kumbe Mbowe alipewa taarifa zote kuhusu kilichompata Ben...Sasa mbona alibaki kimya?Mambo yanazua Mambo.View attachment 2077148
Siku akipanda kizimbani kondaboy mbivu na mbichi hadharani😃....hayo yote yamefunikwa
Uzuri wakaondoka wao au nasema uongo ndugu yang 😂😂Ni heri kupoteza m1 kuliko kupoteza wengi kutokana na ulimi wa huyo m1.
ONE FOR THE ALL.
#MASLAHIMAPANAYATAIFA.