Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Kama ametambuliwa na watuhumiwa wanaodai kuteswa na kisha kupigwa lakini wakamkumbuka vizuri kwa sura huyu Jumanne Malangahe kuwa ni mhusika wa kuteka watu na kwamba alimteka Ben Saanane na Hata pia Erick Kabendela, huu ndio wakati wa kumkamata na kumpeleka mahakamani.
Mambo mengi yatakaa sawa na ukweli utajulikana.
Mambo mengi yatakaa sawa na ukweli utajulikana.