Wanaotuhumiwa kumteka na kumuua Ben Saanane wafikishwe Mahakamani mara moja, huyu askari Jumanne Malangahe na Makonda ndio wa kuanza nao

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Kama ametambuliwa na watuhumiwa wanaodai kuteswa na kisha kupigwa lakini wakamkumbuka vizuri kwa sura huyu Jumanne Malangahe kuwa ni mhusika wa kuteka watu na kwamba alimteka Ben Saanane na Hata pia Erick Kabendela, huu ndio wakati wa kumkamata na kumpeleka mahakamani.

Mambo mengi yatakaa sawa na ukweli utajulikana.

IMG_20220111_162405.jpg
 
Kubenea alisema ishu ya Ben Saanane aulizwe Mbowe vizuri, anajua mchezo mzima

Na sio tu ishu ya Ben bali hata kifo tata cha Chacha Wangwe kama vyombo vyetu vya dola vingekuwa makini basi Mbowe hapa pía ana la kujibu, hata kama ni Mwenyekiti wangu chamani lakn haki lazima itendeke. KARMA IS A BIT*H
 
Ila jeshi letu la polisi la hovyo sana. Si ajabu mpaka leo wala hakuna file linalohusu uchunguzi wa kupotea kwa Ben wala kupigwa risasi Tundu Lissu.

Hao polisi ndio waliokuwa wanafanya hayo matendo ndio maana huoni ufuatiliaji wowote. Hao watu wasiojulikana tulisema wazi ni kundi la Magufuli toka vyombo vya dola, lililokuwa likifanya ukatili na unyama wa wazi.

Na hata wakishitakiwa mahakamani chini ya utawala huu wa ccm watafichwa tu, kwani kuna ushirikiano wa kihalifu baina ya serikali, mahakama na vyombo vya dola.
 
Kubenea alisema ishu ya Ben Saanane aulizwe Mbowe vizuri, anajua mchezo mzima

Na sio tu ishu ya Ben bali hata kifo tata cha Chacha Wangwe kama vyombo vyetu vya dola vingekuwa makini basi Mbowe hapa pía ana la kujibu, hata kama ni Mwenyekiti wangu chamani lakn haki lazima itendeke. KARMA IS A BIT*H
Wazazi wako waliuza mbuzi ili kusomesha mbuzi ingine ambaye ni wewe
 
Kubenea alisema ishu ya Ben Saanane aulizwe Mbowe vizuri, anajua mchezo mzima

Na sio tu ishu ya Ben bali hata kifo tata cha Chacha Wangwe kama vyombo vyetu vya dola vingekuwa makini basi Mbowe hapa pía ana la kujibu, hata kama ni Mwenyekiti wangu chamani lakn haki lazima itendeke. KARMA IS A BIT*H
Wangeanza kumhoji kubenea kwanza kama wapo makini, pengine ni miongoni mwa washiriki la sivyo yeye ana ushahi gani au ana uhakika gani kwamba mbowe amehusika? Unless wawe walishirikiana na mbowe
 
Unataka kuchukua sheria mkononi?
Hapana mkuu ila public pressure nayo ni muhimu katika kusaka haki,hapa tunazungumzia maisha ya binadamu wenzetu na elewa Saanane alikua mmoja wetu humu ingawa tulipishana naye kiitikadi(haki yetu kikatiba)hakusitahiri kupotezwa elewa naye ana family yake na kula mmoja wetu humu anapenda kuwa na family yake.
 
Wangeanza kumhoji kubenea kwanza kama wapo makini, pengine ni miongoni mwa washiriki la sivyo yeye ana ushahi gani au ana uhakika gani kwamba mbowe amehusika? Unless wawe walishirikiana na mbowe
Kupotea kwa Ben, MBOWE anajua na ndio aliratibu shughuli nzima.
 
Mkuu lisaidie jeshi letu kama una ushahidi maana its been a long wait, mpaka sasa htujapata taarifa za uchunguzi wa kifo cha mpendwa wetu Ben, familia ina masononeko na Roho ya Ben bado haijapumzika kwa amani mpaka pale atakapotendewa haki
 
Kubenea alisema ishu ya Ben Saanane aulizwe Mbowe vizuri, anajua mchezo mzima

Na sio tu ishu ya Ben bali hata kifo tata cha Chacha Wangwe kama vyombo vyetu vya dola vingekuwa makini basi Mbowe hapa pía ana la kujibu, hata kama ni Mwenyekiti wangu chamani lakn haki lazima itendeke. KARMA IS A BIT*H
Hapo ndio unadhani utatupoteza maboya, huyo polisi katajwa mahakamani, ww unatuletea porojo za mtaani za Kubenea? Kesi ya Chacha Wangwe iliendeshwa kwenye mahakama hizi hizi za CCM, ungeenda kutoa ushahidi. Kama vipi nenda kaifungue upya.
 
Kama ametambuliwa na watuhumiwa wanaodai kuteswa na kisha kupigwa lakini wakamkumbuka vizuri kwa sura huyu Jumanne Malangahe kuwa ni mhusika wa kuteka watu na kwamba alimteka Ben Saanane na Hata pia Erick Kabendela, huu ndio wakati wa kumkamata na kumpeleka mahakamani.

Mambo mengi yatakaa sawa na ukweli utajulikana.View attachment 2077136
Huyu hapa Jumanne
IMG_20220111_172734.jpg
 
Back
Top Bottom