Wanaowatetea machinga kuondolewa maeneo yasiyo rasmi kwa biashara wana uelewa mdogo

I was bad sijui kwanini nimekumbuka tukio lile la kutisha[emoji15][emoji25]sorry bro
 
Kuna watu waliwekeza kwenye ujenzi was vibanda na kuvipanga barabarani kusubiria Kodi.
kuna mtu namjua ana vibanda vitano ameviweka pemben ya barabara anasubiria kod tu kila mwisho wa mwezi.Ss na huyu ni mmachinga?Mmachinga (matching guys) ni yule anayeshika bidhaa zake mkononi tu,wengine hawa ni wafanyabiashara wenye mitaji ya kuweza kulipa frem za bei ndogo na maisha yakasonga.
 
mtaji wa mil 50 kodi elfu 20 kwa mwaka si dharau hizo, acha watoke wakikaidi wapigwe
 
Umeongea kwa uchungu sana

Issue huo ndio utaratibu wa mipango miji?.
Ni mama ntilie?.

Option iliyopo ni wanaweza kujiunga/jichangisha wakapangisha fremu rasmi...huo ndio utaratibu
 
Watu jmn
Leo mnazungumzia utu?
Ila mlishabikia wkt wenzenu wa vyeti feki wanatolewa maofisini sio?.

Hata wao walikua na familia ila ilibidi sheria ichukue mkondo wake
 
Mimi nasema machinga wafuru

Watu jmn
Leo mnazungumzia utu?
Ila mlishabikia wkt wenzenu wa vyeti feki wanatolewa maofisini sio?.

Hata wao walikua na familia ila ilibidi sheria ichukue mkondo wake
Hasha!

KateMiddleton you now equalize forgery and these groups' pertaining own survival?

Kipi hakina manufaa kwa vilivyofanyika?
 
Hasha!

KateMiddleton you now equalize forgery and these groups' pertaining own survival?

Kipi hakina manufaa kwa vilivyofanyika?
That was survival too
They lost it all bila huruma

Machinga hivi wana shida gani na kupangisha fremu?.nani atawabughudhi?
Mtu ana banda kubwa tu lina bidhaa
Hata mama ntilie ?.

Ifike hatua tuwatakie heri watanzania wenzetu biashara zao zipande hadhi
Ni maumivu ila kuelekea sehemu nzuri

Usione huu ni msalaba wa viongozi.,ingekua wewe ungeacha kila mtu afanye anavyotaka hii nchi?
Kuna sheria jmn
Mbona wengine wanafuata?!
 
Ni hujatofautisha bado
 
Watu wanajitoa ufahamu tu, hata hao machinga wanajua wanafanya makosa ndo maana wanajenga mabanda temporary.
Kwa hili nasimama na serikali, utaratibu lazima ufuatwe. Hakuna mwenye uhalali wa kuvunja sheria haijalishi hali aliyonayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…