Hizo damu mkuu ni kutokana na tissue za kuta za uterus kuharibika na sio yai lina damu... biology ndogo tu hyo ya form 3Vizuri unajua mimi naona kabisa yani mtu anaacha asili na inaonekana kabisa mwanamke yai lina pasuka lina toa damu na hakuna atakaye bisha hapa aje na kama ndio hivyo mtu akileta hoja kua ile sio yai aje
Jaribu wewe kumfuata mtume wako kwenye kuoa watoto wa miaka tisa uone namna jamhuri itakavyokushughulikia.Unaona donge oa wewe
Kwahiyo sperm inaingia kwenye damu iliyoganda ambayo inapatikana kwenye tumbo la uzazi la mwanamke?Umemuelewesha vizuri sana mkuu
Hizo tafsiri umeweka mwenyewe Kisha unasoma hovyo,wapi imeandikwa sperm inaingia kwenye damu!?Verse inasema sperm inaingia kwenye damu iliyoganda. Yai la mwanamke halihusiki?
Waandishi wa quran walikuwa wanafahamu concept ya ukristo ambapo Yahweh is one, Father, Son and Holy Spirit. Walipata tabu kumtengeneza Allah mwenye nafsi moja tu ndio maana wakajikuta wanatumia wingi.Ni mmoja katika hili kilugha kinakubalika na ni maarufu sana haya kwetu sisi Waswahili, ni wingi kumaanisha umoja kwa lengo la kujitukuza na kuonyesha upekee.
Hizo tafsiri zipo hivyo kutoka kwa wanazuoni wenu. Wametafsiri kutoka kiarabu.Hizo tafsiri umeweka mwenyewe Kisha unasoma hovyo,wapi imeandikwa sperm inaingia kwenye damu!?
Coco beach jua linachomoza baharini,jangwani linachomoza na kuzama mchangani..elewa lugha ya pichaBaba wa uwongo alitudanganya kuwa jua lina zama kwenye matope mazito. Dini ta magumashi hiyo
Hizohizo ulizoweka hapo hazisemi sperm inaingia kwenye damu,Soma tenaHizo tafsiri zipo hivyo kutoka kwa wanazuoni wenu. Wametafsiri kutoka kiarabu.
Kama hauziamini naomba utuletee hapa unazoziamini tuzisome. Lete ya kiingereza na kiswahili.
Mbona maduka yanaandikwa 'tunauza hiki na hiki' wakati mmiliki na muuzaji ni mmoja,kwa nini asiandike nauza!?..lugha ya kiarabu wingi Kama ulivyotumika hapo unalenga kujitukuzaWaandishi wa quran walikuwa wanafahamu concept ya ukristo ambapo Yahweh is one, Father, Son and Holy Spirit. Walipata tabu kumtengeneza Allah mwenye nafsi moja tu ndio maana wakajikuta wanatumia wingi.
Kwenye biblia kitabu cha kwanza kabisa Mungu anasema, "na tumfanye mtu" (let Us make man). Lakini bado mnabishia concept ya trinity.
Hapa utetezi unaouweka hauna uhalisia wowote kwenye kiswahili wala kiingereza lakini unakomaa nao ili kujilinda.
Hii hapa inasema hivyo:Hizohizo ulizoweka hapo hazisemi sperm inaingia kwenye damu,Soma tena
Made a sperm into ndiyo kuingiza!!?..kiingereza Cha wapi hicho!?..Hii hapa inasema hivyo:
Then We made the sperm drop into a clinging clot, and We made the clot into a lump [of flesh], and We made [from] the lump, bones, and We covered the bones with flesh; then We developed him into another creation. So blessed is Allah, the best of creators.
Wewe ulihudhuria madrasa vizuri sana, hongera. Mimi siwezi kutishwa na kuwa brain washed kirahisi hivyo. Ninahoji. Mungu wa kweli ametupa akili ili tuhoji na kufanya reasoning.Mtoa mada hata ushuahiwe jua kutoka mbinguni hutakaa uamini!! Hatuwezi kuhangaika kumfanya kipofu aone au kiziwi asikie au bubu aseme!! Never
Utakuja kuamini pale jicho litakapofumba na jeuri ya kuwa na pumzi itakapokuondoka. Kwasasa endelea kuikanusha haqq huku ukila na kunywa ila jua kuwa siku zako zinahesabika tu na ALLAH hana haraka na ww!!
Siku moja kwake ni sawa na miaka 1000 tunayoihesabu sisi!!
Kuelewa kwenyewe shidaWewe ulihudhuria madrasa vizuri sana, hongera. Mimi siwezi kutishwa na kuwa brain washed kirahisi hivyo. Ninahoji. Mungu wa kweli ametupa akili ili tuhoji na kufanya reasoning.
Kama Allah hajui kwamba sperm inaingia kwenye yai (ovum) na sio damu iliyoganda ndio ataweza kupambana na mimi niliye ndani ya Kristo?
Huu mfano sio relevant kwasababu maduka mengi hayana muuzaji mmoja na mengi wanaouza wanakuwa na shift hivyo ni sahihi kuandika hivyo.Mbona maduka yanaandikwa 'tunauza hiki na hiki' wakati mmiliki na muuzaji ni mmoja,kwa nini asiandike nauza!?..lugha ya kiarabu wingi Kama ulivyotumika hapo unalenga kujitukuza
Dogo maduka yanaandikwa hivyo tangu watanganyika wanamiliki vioski na muuzaji mmoja na ndiye mmilikiHuu mfano sio relevant kwasababu maduka mengi hayana muuzaji mmoja na mengi wanaouza wanakuwa na shift hivyo ni sahihi kuandika hivyo.
Sioni sababu ya Allah ambaye anasifiwa sana ndani ya quran aogope kuandika in first person.
Sperm drop into a clinging clot.. hii statement umeielewaje?Made a sperm into ndiyo kuingiza!!?..kiingereza Cha wapi hicho!?..
Wewe huoji kutaka kujua ila unahoji ili udhihaki /ufanye istihizai .Wewe ulihudhuria madrasa vizuri sana, hongera. Mimi siwezi kutishwa na kuwa brain washed kirahisi hivyo. Ninahoji. Mungu wa kweli ametupa akili ili tuhoji na kufanya reasoning.
Kama Allah hajui kwamba sperm inaingia kwenye yai (ovum) na sio damu iliyoganda ndio ataweza kupambana na mimi niliye ndani ya Kristo?
Hapa unalazimisha kitu kisichokuwa halisi. Allah anasifiwa sana kwenye quran. Anaogopa nini kuongea yeye badala yake wanaongea wao?Dogo maduka yanaandikwa hivyo tangu watanganyika wanamiliki vioski na muuzaji mmoja na ndiye mmiliki
Ndiyo maana Qur'an ikasema imeshuka kwa kiarabu,unapaswa kukijua kiarabu...kiarHuu mfano sio relevant kwasababu maduka mengi hayana muuzaji mmoja na mengi wanaouza wanakuwa na shift hivyo ni sahihi kuandika hivyo.
Sioni sababu ya Allah ambaye anasifiwa sana ndani ya quran aogope kuandika in first person.
Shule yako ndogo...karudie kusoma tafsiri ya kiswahili uliyoweka...sugar cane into sugar inatafsirika vipi!?Sperm drop into a clinging clot.. hii statement umeielewaje?
Iko clear kwamba sperm inaingia kwenye damu iliyoganda (clinging clot).