Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Vizuri unajua mimi naona kabisa yani mtu anaacha asili na inaonekana kabisa mwanamke yai lina pasuka lina toa damu na hakuna atakaye bisha hapa aje na kama ndio hivyo mtu akileta hoja kua ile sio yai aje
Hizo damu mkuu ni kutokana na tissue za kuta za uterus kuharibika na sio yai lina damu... biology ndogo tu hyo ya form 3
 
Ni mmoja katika hili kilugha kinakubalika na ni maarufu sana haya kwetu sisi Waswahili, ni wingi kumaanisha umoja kwa lengo la kujitukuza na kuonyesha upekee.
Waandishi wa quran walikuwa wanafahamu concept ya ukristo ambapo Yahweh is one, Father, Son and Holy Spirit. Walipata tabu kumtengeneza Allah mwenye nafsi moja tu ndio maana wakajikuta wanatumia wingi.

Kwenye biblia kitabu cha kwanza kabisa Mungu anasema, "na tumfanye mtu" (let Us make man). Lakini bado mnabishia concept ya trinity.

Hapa utetezi unaouweka hauna uhalisia wowote kwenye kiswahili wala kiingereza lakini unakomaa nao ili kujilinda.
 
Hizo tafsiri umeweka mwenyewe Kisha unasoma hovyo,wapi imeandikwa sperm inaingia kwenye damu!?
Hizo tafsiri zipo hivyo kutoka kwa wanazuoni wenu. Wametafsiri kutoka kiarabu.

Kama hauziamini naomba utuletee hapa unazoziamini tuzisome. Lete ya kiingereza na kiswahili.
 
Mtoa mada hata ushuahiwe jua kutoka mbinguni hutakaa uamini!! Hatuwezi kuhangaika kumfanya kipofu aone au kiziwi asikie au bubu aseme!! Never

Utakuja kuamini pale jicho litakapofumba na jeuri ya kuwa na pumzi itakapokuondoka. Kwasasa endelea kuikanusha haqq huku ukila na kunywa ila jua kuwa siku zako zinahesabika tu na ALLAH hana haraka na ww!!

Siku moja kwake ni sawa na miaka 1000 tunayoihesabu sisi!!
 
Hizohizo ulizoweka hapo hazisemi sperm inaingia kwenye damu,Soma tena
 
Waandishi wa quran walikuwa wanafahamu concept ya ukristo ambapo Yahweh is one, Father, Son and Holy Spirit. Walipata tabu kumtengeneza Allah mwenye nafsi moja tu ndio maana wakajikuta wanatumia wingi.

Kwenye biblia kitabu cha kwanza kabisa Mungu anasema, "na tumfanye mtu" (let Us make man). Lakini bado mnabishia concept ya trinity.

Hapa utetezi unaouweka hauna uhalisia wowote kwenye kiswahili wala kiingereza lakini unakomaa nao ili kujilinda.
Mbona maduka yanaandikwa 'tunauza hiki na hiki' wakati mmiliki na muuzaji ni mmoja,kwa nini asiandike nauza!?..lugha ya kiarabu wingi Kama ulivyotumika hapo unalenga kujitukuza
 
Hizohizo ulizoweka hapo hazisemi sperm inaingia kwenye damu,Soma tena
Hii hapa inasema hivyo:

Then We made the sperm drop into a clinging clot, and We made the clot into a lump [of flesh], and We made [from] the lump, bones, and We covered the bones with flesh; then We developed him into another creation. So blessed is Allah, the best of creators.
 
Made a sperm into ndiyo kuingiza!!?..kiingereza Cha wapi hicho!?..
 
Mtoa mada hata ushuahiwe jua kutoka mbinguni hutakaa uamini!! Hatuwezi kuhangaika kumfanya kipofu aone au kiziwi asikie au bubu aseme!! Never

Utakuja kuamini pale jicho litakapofumba na jeuri ya kuwa na pumzi itakapokuondoka. Kwasasa endelea kuikanusha haqq huku ukila na kunywa ila jua kuwa siku zako zinahesabika tu na ALLAH hana haraka na ww!!

Siku moja kwake ni sawa na miaka 1000 tunayoihesabu sisi!!
Wewe ulihudhuria madrasa vizuri sana, hongera. Mimi siwezi kutishwa na kuwa brain washed kirahisi hivyo. Ninahoji. Mungu wa kweli ametupa akili ili tuhoji na kufanya reasoning.

Kama Allah hajui kwamba sperm inaingia kwenye yai (ovum) na sio damu iliyoganda ndio ataweza kupambana na mimi niliye ndani ya Kristo?
 
Kuelewa kwenyewe shida
 
Mbona maduka yanaandikwa 'tunauza hiki na hiki' wakati mmiliki na muuzaji ni mmoja,kwa nini asiandike nauza!?..lugha ya kiarabu wingi Kama ulivyotumika hapo unalenga kujitukuza
Huu mfano sio relevant kwasababu maduka mengi hayana muuzaji mmoja na mengi wanaouza wanakuwa na shift hivyo ni sahihi kuandika hivyo.

Sioni sababu ya Allah ambaye anasifiwa sana ndani ya quran aogope kuandika in first person.
 
Dogo maduka yanaandikwa hivyo tangu watanganyika wanamiliki vioski na muuzaji mmoja na ndiye mmiliki
 
Wewe ulihudhuria madrasa vizuri sana, hongera. Mimi siwezi kutishwa na kuwa brain washed kirahisi hivyo. Ninahoji. Mungu wa kweli ametupa akili ili tuhoji na kufanya reasoning.

Kama Allah hajui kwamba sperm inaingia kwenye yai (ovum) na sio damu iliyoganda ndio ataweza kupambana na mimi niliye ndani ya Kristo?
Wewe huoji kutaka kujua ila unahoji ili udhihaki /ufanye istihizai .
 
Huu mfano sio relevant kwasababu maduka mengi hayana muuzaji mmoja na mengi wanaouza wanakuwa na shift hivyo ni sahihi kuandika hivyo.

Sioni sababu ya Allah ambaye anasifiwa sana ndani ya quran aogope kuandika in first person.
Ndiyo maana Qur'an ikasema imeshuka kwa kiarabu,unapaswa kukijua kiarabu...kiar
Sperm drop into a clinging clot.. hii statement umeielewaje?

Iko clear kwamba sperm inaingia kwenye damu iliyoganda (clinging clot).
Shule yako ndogo...karudie kusoma tafsiri ya kiswahili uliyoweka...sugar cane into sugar inatafsirika vipi!?
 
Back
Top Bottom