makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Yaani kama ungekuwa umesoma comment zote usingekuja na hili swali kwasababu nimelijibu na wote waliojibiwa wamekimbia.Nimesoma comments zote, nimejaribu kupitia maswali ya msingi ya mleta mada.
Nilichogundua ni kwamba mleta mada hakujiandaa kupata majibu sahihi. Alikuja na majibu yake tayari kichwani hivyo hata kama waislam walioisoma...
Ndio nimemuuliza kama amewahi kutoa Mimba, kinachotoa pale ni Yai au Pande la Nyama/Damu??Huyu jamaa ana majibu yake tayari sasa tutajisumbua bure tu kumlazimisha punda anywe maji wakati hataki.
Akawatafute madaktari wamueleze kuhusu masuala ya embrology na pale wanapowatoa mimba changa wanawake nini huwa kinatoka!?
Naona hutaki kujibu hili hapa unaishia kujizungusha tu:Huyu jamaa ana majibu yake tayari sasa tutajisumbua bure tu kumlazimisha punda anywe maji wakati hataki.
Akawatafute madaktari wamueleze kuhusu masuala ya embrology na pale wanapowatoa mimba changa wanawake nini huwa kinatoka!?
Kila saa nawaandikia ila hamtaki kwa makusudi kuelewa:Ndio nimemuuliza kama amewahi kutoa Mimba, kinachotoa pale ni Yai au Pande la Nyama/Damu??
Kwanini hii hoja naijibu lakini mnaikimbia na kutaja vitu visivyokuwepo?We ndugu yangu unajitoa akili tu, mbona hicho kitu kiko wazi.
Taja hatua zako za kibaiolojia uzijuazo, je baada ya manii kukutana na yai la mwanamke haliwi pande la damu?
Hapo ni mola kakuonesha...
Hongera mkuu, maana umeingia ktk mtego rahisi sna labda useme mwenyewe mingoni mwawanafunzi wa yesu nani una mwamini na na huwezi mwamini?, note kesho inshaallahAcha kuwasikiliza mashehe. Itafute biblia usome mwenyewe. Huyu hapa mtume Tomaso akimwita Yesu Mungu.
Yohana 20:27-28
27 Kisha akamwambia Tomaso, Lete hapa kidole chako; uitazame mikono yangu; ulete na mkono wako uutie ubavuni mwangu, wala usiwe asiyeamini, bali aaminiye.
28 Tomaso akajibu, akamwambia, Bwana wangu na Mungu wangu!
Una akili sawasawa?? Yaan ukitoa MIMBA kinachotoka ni KONDO?? We jamaa ni Kichaa sio bure, kama hujawahi kutolesha mimba go and try it ujionee.Yaani kama ungekuwa umesoma comment zote usingekuja na hili swali kwasababu nimelijibu na wote waliojibiwa wamekimbia.
Ngoja na wewe nikujibu:
Ukitoa mimba yale mabonge yanatokana na kiumbe kilichokufa, placenta na kuta za tumbo la uzazi zinazobanduka.
Hapa Allah amejitahidi kudanganya kwamba eti mabonge ya damu yapo kwenye tumbo la uzazi la mwanamke na humo ndio sperm inaingia na uumbaji wa mtoto unatokea.
Huu ni uongo na ubatili.
Wanafunzi wa Yesu wote ni mitume wa kuheshimika isipokuwa yuda iskarioti ambaye alisaliti na hakutubu.Hongera mkuu, maana umeingia ktk mtego rahisi sna labda useme mwenyewe mingoni mwawanafunzi wa yesu nani una mwamini na na huwezi mwamini?, note kesho inshaallah
Mkuu labda niseme hv sina elimu kubwa ila hzo hoja ni nyepesi nahisi hujawai kusikia majibu yake, mtume alioa binti mdogo (Bint wa swahaba wake ) ila hakumuingilia ktk hali ya utoto na hii ipo hata Africa TANZANIA kama una bisha bisha tu , mtoto hutolewa mahari ikiwa bado yungali tumboni kwa mama yake pia swala la kumchagulia mchumba binti ki islamu limepewa uzito sna, pia hata tamaduni za kitanzania hasa wazee wetu walifanya sna
Utakuwa na brain damage kujibu namna hii. Pengine unao ufahamu mdogo sana wa tumbo la uzazi pale mwanamke anapopata ujauzito.Una akili sawasawa?? Yaan ukitoa MIMBA kinachotoka ni KONDO?? We jamaa ni Kichaa sio bure, kama hujawahi kutolesha mimba go and try it ujionee.
Kinachotoka ni PANDE LA NYAMA ambacho ndio hufanyika kuwa binadamu, hilo kondo ni kifuko kinachokalia hiko kiumbe na hata ikitokea amezaa kawaida hilo fuko hutoka.
Tunachozungumzia hapa ni hiko kiumbe kwamba linakuwa pande la damu tena iliyoganda (nzito/shikana).
Kama hujawahi toa mimba, mwambie mumeo akupe afu ukaitoe utaona kinachotoka kama kuta za nyumba ya uzazi au hiko kiumbe kwenye mfumo wa pande la NYAMA.
Hivyo vipande vya KIUMBE hutoka kama MITI au CHUMA?? au hutoka kama mapande ya Nyama/damu??Utakuwa na brain damage kujibu namna hii. Pengine unao ufahamu mdogo sana wa tumbo la uzazi pale mwanamke anapopata ujauzito.
Mtu akitoa mimba kuta za tumbo pamoja na kiumbe vyote vinatoka kama vipande pamoja na damu.
Nimekuuliza swali ww mwehu, mbona hujibu hapo? Hayo mapande ya kiumbe yanayotoka sambamba na kuta za uzazi hutoka kama VYUMA au mapande ya NYAMA??Utakuwa na brain damage kujibu namna hii. Pengine unao ufahamu mdogo sana wa tumbo la uzazi pale mwanamke anapopata ujauzito.
Mtu akitoa mimba kuta za tumbo pamoja na kiumbe vyote vinatoka kama vipande pamoja na damu.
Nyie mnang'ang'ania mapande ya nyama wakati yanatoka kwenye abortion.Hivyo vipande vya KIUMBE hutoka kama MITI au CHUMA?? au hutoka kama mapande ya Nyama/damu??
Hiyo kwa mujibu wa sayansi gani?Kwanini hii hoja naijibu lakini mnaikimbia na kutaja vitu visivyokuwepo?
Ukitoa mimba yale mabonge yanatokana na kiumbe kilichokufa, placenta na kuta za tumbo la uzazi zinazobanduka.
Hapa Allah amejitahidi kudanganya kwamba eti mabonge ya damu yapo kwenye tumbo la uzazi la mwanamke na humo ndio sperm inaingia na uumbaji wa mtoto unatokea.
Huu ni uongo na ubatili.
Mbona unakuwa mgumu kuelewa.. ishu ni sperm kuingia kwenye damu iliyoganda ili kuumba mtoto.Nimekuuliza swali ww mwehu, mbona hujibu hapo? Hayo mapande ya kiumbe yanayotoka sambamba na kuta za uzazi hutoka kama VYUMA au mapande ya NYAMA??
Ww mwehu, umejibiwa unajizima data.Nyie mnang'ang'ania mapande ya nyama wakati yanatoka kwenye abortion.
Ishu hapa ni kwamba Allah anasema damu iliyoganda inakuwepo tumboni mwa mwanamke na sperm ikiingia humo basi mtoto anaumbwa. Allah hajui kwamba sperm inaingia kwenye yai (ovum)?
Mnaongelea kitu tofauti na suala la uumbaji anafanya Allah kwenye verse hii.
Mbona unakuwa mgumu kuelewa.. ishu ni sperm kuingia kwenye damu iliyoganda ili kuumba mtoto.Hebu
Hiyo kwa mujibu wa sayansi gani?
Hebu niambie baada ya sperm kukutana na yai kipi kinatokea!? Kiumbe haswa kinaanza baada ya muda gani!? Je muda kabla hakijakuwa kiumbe kinakuwa ni kinini hapo?
Je vipi mimba ya miezi 6 ikitolewa inakuwa ni pande la damu au kiumbe?
Acha utaahira wa kukariri usome aya uone ujinga uliopo.Ww mwehu, umejibiwa unajizima data.
Kile kinachotoa ni mapande ya CHUMA?? au hiyo abortion inafanyiwa ili kutoa vyuma hum tumboni??
We mbona unajitoa akili kiasi hiko?? Huogopi kwa mpuuzi kiasi hiko?? Unawezaje kuhimili kiwango hiko cha ujinga kichwani mwako.?
Umesoma hizo AYA?? We una akili kweli humo kichwani??Mbona unakuwa mgumu kuelewa.. ishu ni sperm kuingia kwenye damu iliyoganda ili kuumba mtoto.
Huu ni uongo. Sperm inaingia kwenye yai (ovum).