Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

We ndugu yangu unajitoa akili tu, mbona hicho kitu kiko wazi.

Taja hatua zako za kibaiolojia uzijuazo, je baada ya manii kukutana na yai la mwanamke haliwi pande la damu?
Hapo ni mola kakuonesha uwezo wake katika hali ua shortcut maana ilibidi aamze kueleza ukila msosi, machungwa yanakhwaje kuwaje shahawa, bado alichambue yai la mwanamke, linavyotoka katika mirija ya falopia na kadhalika.

Hapo kakuonesha uwezo wako toka shahawa mpaka kuwa kiumbe kwa shortcuts.
Soma quraan yoote utapata maelezo zaidi humo humo.

Swali ushawahi toa mimba kabla miezi mi4 linalotoka pale sio bonge la damu?
 
Nimesoma comments zote, nimejaribu kupitia maswali ya msingi ya mleta mada.

Nilichogundua ni kwamba mleta mada hakujiandaa kupata majibu sahihi. Alikuja na majibu yake tayari kichwani hivyo hata kama waislam walioisoma...
Yaani kama ungekuwa umesoma comment zote usingekuja na hili swali kwasababu nimelijibu na wote waliojibiwa wamekimbia.

Ngoja na wewe nikujibu:

Ukitoa mimba yale mabonge yanatokana na kiumbe kilichokufa, placenta na kuta za tumbo la uzazi zinazobanduka.

Hapa Allah amejitahidi kudanganya kwamba eti mabonge ya damu yapo kwenye tumbo la uzazi la mwanamke na humo ndio sperm inaingia na uumbaji wa mtoto unatokea.

Huu ni uongo na ubatili.
 
Huyu jamaa ana majibu yake tayari sasa tutajisumbua bure tu kumlazimisha punda anywe maji wakati hataki.

Akawatafute madaktari wamueleze kuhusu masuala ya embrology na pale wanapowatoa mimba changa wanawake nini huwa kinatoka!?
Ndio nimemuuliza kama amewahi kutoa Mimba, kinachotoa pale ni Yai au Pande la Nyama/Damu??
 
Naona hutaki kujibu hili hapa unaishia kujizungusha tu:

Ukitoa mimba yale mabonge yanatokana na kiumbe kilichokufa, placenta na kuta za tumbo la uzazi zinazobanduka.

Hapa Allah amejitahidi kudanganya kwamba eti mabonge ya damu yapo kwenye tumbo la uzazi la mwanamke na humo ndio sperm inaingia na uumbaji wa mtoto unatokea.

Huu ni uongo na ubatili.
 
Ndio nimemuuliza kama amewahi kutoa Mimba, kinachotoa pale ni Yai au Pande la Nyama/Damu??
Kila saa nawaandikia ila hamtaki kwa makusudi kuelewa:

Ukitoa mimba yale mabonge yanatokana na kiumbe kilichokufa, placenta na kuta za tumbo la uzazi zinazobanduka.

Hapa Allah amejitahidi kudanganya kwamba eti mabonge ya damu yapo kwenye tumbo la uzazi la mwanamke na humo ndio sperm inaingia na uumbaji wa mtoto unatokea.

Huu ni uongo na ubatili.
 
We ndugu yangu unajitoa akili tu, mbona hicho kitu kiko wazi.

Taja hatua zako za kibaiolojia uzijuazo, je baada ya manii kukutana na yai la mwanamke haliwi pande la damu?
Hapo ni mola kakuonesha...
Kwanini hii hoja naijibu lakini mnaikimbia na kutaja vitu visivyokuwepo?

Ukitoa mimba yale mabonge yanatokana na kiumbe kilichokufa, placenta na kuta za tumbo la uzazi zinazobanduka.

Hapa Allah amejitahidi kudanganya kwamba eti mabonge ya damu yapo kwenye tumbo la uzazi la mwanamke na humo ndio sperm inaingia na uumbaji wa mtoto unatokea.

Huu ni uongo na ubatili.
 
Acha kuwasikiliza mashehe. Itafute biblia usome mwenyewe. Huyu hapa mtume Tomaso akimwita Yesu Mungu.

Yohana 20:27-28

27 Kisha akamwambia Tomaso, Lete hapa kidole chako; uitazame mikono yangu; ulete na mkono wako uutie ubavuni mwangu, wala usiwe asiyeamini, bali aaminiye.

28 Tomaso akajibu, akamwambia, Bwana wangu na Mungu wangu!
Hongera mkuu, maana umeingia ktk mtego rahisi sna labda useme mwenyewe mingoni mwawanafunzi wa yesu nani una mwamini na na huwezi mwamini?, note kesho inshaallah
 
Yaani kama ungekuwa umesoma comment zote usingekuja na hili swali kwasababu nimelijibu na wote waliojibiwa wamekimbia.

Ngoja na wewe nikujibu:

Ukitoa mimba yale mabonge yanatokana na kiumbe kilichokufa, placenta na kuta za tumbo la uzazi zinazobanduka.

Hapa Allah amejitahidi kudanganya kwamba eti mabonge ya damu yapo kwenye tumbo la uzazi la mwanamke na humo ndio sperm inaingia na uumbaji wa mtoto unatokea.

Huu ni uongo na ubatili.
Una akili sawasawa?? Yaan ukitoa MIMBA kinachotoka ni KONDO?? We jamaa ni Kichaa sio bure, kama hujawahi kutolesha mimba go and try it ujionee.
Kinachotoka ni PANDE LA NYAMA ambacho ndio hufanyika kuwa binadamu, hilo kondo ni kifuko kinachokalia hiko kiumbe na hata ikitokea amezaa kawaida hilo fuko hutoka.

Tunachozungumzia hapa ni hiko kiumbe kwamba linakuwa pande la damu tena iliyoganda (nzito/shikana).

Kama hujawahi toa mimba, mwambie mumeo akupe afu ukaitoe utaona kinachotoka kama kuta za nyumba ya uzazi au hiko kiumbe kwenye mfumo wa pande la NYAMA.
 
Hongera mkuu, maana umeingia ktk mtego rahisi sna labda useme mwenyewe mingoni mwawanafunzi wa yesu nani una mwamini na na huwezi mwamini?, note kesho inshaallah
Wanafunzi wa Yesu wote ni mitume wa kuheshimika isipokuwa yuda iskarioti ambaye alisaliti na hakutubu.

Tomaso ni moja ya mitume wakubwa na wakuheshimika sana. Amefanya sana injili huko india na watu wengi sana waliokolewa.
 
Mkuu labda niseme hv sina elimu kubwa ila hzo hoja ni nyepesi nahisi hujawai kusikia majibu yake, mtume alioa binti mdogo (Bint wa swahaba wake ) ila hakumuingilia ktk hali ya utoto na hii ipo hata Africa TANZANIA kama una bisha bisha tu , mtoto hutolewa mahari ikiwa bado yungali tumboni kwa mama yake pia swala la kumchagulia mchumba binti ki islamu limepewa uzito sna, pia hata tamaduni za kitanzania hasa wazee wetu walifanya sna

Umejibu hoja yangu moja ila kwa jibu la ujanja ujanja.. toa maelezo yaliyoonyooka mtume alimuoa Aisha akiwa na umri gani? Na alifanya nae mapenzi ama tendo la ndoa huyo Aisha akiwa na umri gani?

Pia utaje na umri wa mtume wakati anamuoa Aisha ulikuwaje?

Pia kwenye swala la Tanzania sema sheria ya ndoa ya mwaka gani na kifungu gani inaruhusu kumuoa mtoto ama kumtolea mahari akiwa tumboni kwa mama yake.

Toa jibu lililonyooka ukiambatanisha ushahidi usio na mashaka
 
Una akili sawasawa?? Yaan ukitoa MIMBA kinachotoka ni KONDO?? We jamaa ni Kichaa sio bure, kama hujawahi kutolesha mimba go and try it ujionee.
Kinachotoka ni PANDE LA NYAMA ambacho ndio hufanyika kuwa binadamu, hilo kondo ni kifuko kinachokalia hiko kiumbe na hata ikitokea amezaa kawaida hilo fuko hutoka.

Tunachozungumzia hapa ni hiko kiumbe kwamba linakuwa pande la damu tena iliyoganda (nzito/shikana).

Kama hujawahi toa mimba, mwambie mumeo akupe afu ukaitoe utaona kinachotoka kama kuta za nyumba ya uzazi au hiko kiumbe kwenye mfumo wa pande la NYAMA.
Utakuwa na brain damage kujibu namna hii. Pengine unao ufahamu mdogo sana wa tumbo la uzazi pale mwanamke anapopata ujauzito.

Mtu akitoa mimba kuta za tumbo pamoja na kiumbe vyote vinatoka kama vipande pamoja na damu.
 
Hivyo vipande vya KIUMBE hutoka kama MITI au CHUMA?? au hutoka kama mapande ya Nyama/damu??
 
Nimekuuliza swali ww mwehu, mbona hujibu hapo? Hayo mapande ya kiumbe yanayotoka sambamba na kuta za uzazi hutoka kama VYUMA au mapande ya NYAMA??
 
Nyie mnang'ang'ania mapande ya nyama wakati yanatoka kwenye abortion.

Ishu hapa ni kwamba Allah anasema damu iliyoganda inakuwepo tumboni mwa mwanamke na sperm ikiingia humo basi mtoto anaumbwa. Allah hajui kwamba sperm inaingia kwenye yai (ovum)?

Mnaongelea kitu tofauti na suala la uumbaji anafanya Allah kwenye verse hii.
 
Hebu
Kwanini hii hoja naijibu lakini mnaikimbia na kutaja vitu visivyokuwepo?

Ukitoa mimba yale mabonge yanatokana na kiumbe kilichokufa, placenta na kuta za tumbo la uzazi zinazobanduka.

Hapa Allah amejitahidi kudanganya kwamba eti mabonge ya damu yapo kwenye tumbo la uzazi la mwanamke na humo ndio sperm inaingia na uumbaji wa mtoto unatokea.

Huu ni uongo na ubatili.
Hiyo kwa mujibu wa sayansi gani?
Hebu niambie baada ya sperm kukutana na yai kipi kinatokea!? Kiumbe haswa kinaanza baada ya muda gani!? Je muda kabla hakijakuwa kiumbe kinakuwa ni kinini hapo?
Je vipi mimba ya miezi 6 ikitolewa inakuwa ni pande la damu au kiumbe?
 
Nimekuuliza swali ww mwehu, mbona hujibu hapo? Hayo mapande ya kiumbe yanayotoka sambamba na kuta za uzazi hutoka kama VYUMA au mapande ya NYAMA??
Mbona unakuwa mgumu kuelewa.. ishu ni sperm kuingia kwenye damu iliyoganda ili kuumba mtoto.

Huu ni uongo. Sperm inaingia kwenye yai (ovum).
 
Nyie mnang'ang'ania mapande ya nyama wakati yanatoka kwenye abortion.

Ishu hapa ni kwamba Allah anasema damu iliyoganda inakuwepo tumboni mwa mwanamke na sperm ikiingia humo basi mtoto anaumbwa. Allah hajui kwamba sperm inaingia kwenye yai (ovum)?

Mnaongelea kitu tofauti na suala la uumbaji anafanya Allah kwenye verse hii.
Ww mwehu, umejibiwa unajizima data.
Kile kinachotoa ni mapande ya CHUMA?? au hiyo abortion inafanyiwa ili kutoa vyuma hum tumboni??

We mbona unajitoa akili kiasi hiko?? Huogopi kwa mpuuzi kiasi hiko?? Unawezaje kuhimili kiwango hiko cha ujinga kichwani mwako.?
 
Hebu

Hiyo kwa mujibu wa sayansi gani?
Hebu niambie baada ya sperm kukutana na yai kipi kinatokea!? Kiumbe haswa kinaanza baada ya muda gani!? Je muda kabla hakijakuwa kiumbe kinakuwa ni kinini hapo?
Je vipi mimba ya miezi 6 ikitolewa inakuwa ni pande la damu au kiumbe?
Mbona unakuwa mgumu kuelewa.. ishu ni sperm kuingia kwenye damu iliyoganda ili kuumba mtoto.

Huu ni uongo. Sperm inaingia kwenye yai (ovum).
 
Ww mwehu, umejibiwa unajizima data.
Kile kinachotoa ni mapande ya CHUMA?? au hiyo abortion inafanyiwa ili kutoa vyuma hum tumboni??

We mbona unajitoa akili kiasi hiko?? Huogopi kwa mpuuzi kiasi hiko?? Unawezaje kuhimili kiwango hiko cha ujinga kichwani mwako.?
Acha utaahira wa kukariri usome aya uone ujinga uliopo.

ishu ni sperm kuingia kwenye damu iliyoganda ili kuumba mtoto.

Huu ni uongo. Sperm inaingia kwenye yai (ovum).
 
Mbona unakuwa mgumu kuelewa.. ishu ni sperm kuingia kwenye damu iliyoganda ili kuumba mtoto.

Huu ni uongo. Sperm inaingia kwenye yai (ovum).
Umesoma hizo AYA?? We una akili kweli humo kichwani??

SOMA TENA, SOMA TENA, SOMA TENA KWA MARA YA TATU NA UACHE UJINGA.

13. Kisha tukamjaalia awe tone ya mbegu ya uzazi katika kalio madhubuti.

14. Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji.
 
Back
Top Bottom