Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
-
- #261
Tafsiri ya kiswahili ni utapeli mtupu, haifanani na hiyo ya kiingereza. Tone ndio sperm? Kwahiyo Allah aliiumba tone kuwa damu? Hiyo unaona iko sawa kisayansi?Umesoma hizo AYA?? We una akili kweli humo kichwani??
SOMA TENA, SOMA TENA, SOMA TENA KWA MARA YA TATU NA UACHE UJINGA.
13. Kisha tukamjaalia awe tone ya mbegu ya uzazi katika kalio madhubuti.
14. Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji.
Ndio maana nakuambia huna akili kichwani. Duniani kuna kitu au kifaa chochote kinachoitwa TONE?? We hujui tone ni sifa ya uchache??Tafsiri ya kiswahili ni utapeli mtupu, haifanani na hiyo ya kiingereza. Tone ndio sperm? Kwahiyo Allah aliiumba tone kuwa damu? Hiyo unaona iko sawa kisayansi?
Quran imesema uongo kwamba uumbaji wa mtoto tumboni unatokea pale ambapo sperm inaingia katika damu iliyoganda.Ndio maana nakuambia huna akili kichwani. Duniani kuna kitu au kifaa chochote kinachoitwa TONE?? We hujui tone ni sifa ya uchache??
We hujui kuwa tone hutokana uchache wa kimiminika fulani??
Mfano TONE LA MAJI, TONE LA DAMU, TONE LA MANII nk.
Kwahiyo ukiona neno TONE LA UZAZI akili yako inadhania kiwango kidogo cha mchanga?? Na sio Manii?? Haya malizia na AYA hii hapa na ulale mbuzi wewe.
أَكَفَرْتَ بِالَّذِي خَلَقَكَ مِنْ تُرَابٍ ثُمَّ مِنْ نُطْفَةٍ ثُمَّ سَوَّاكَ رَجُلًا {37}
“Je, unamkufuru yule aliyekuumba kwa udongo, tena kwa tone la manii, kisha akakufanya mtu kamili?” (18:37)”
Umeona mwendelezo wa hilo TONE??
Umeridhika kuona neno MANII (SPERMS)??
Hapo umekubali kuwa QURAN imetoa majibu sahihi??
Kwanini husomi Aya vizuri na nimekuwekea ?Kwahiyo Allah yupo sahihi kwamba sperm inaingia kwenye damu iliyoganda (ambayo ipo kwenye tumbo la uzazi la mwanamke)?
Ntadeal na wewe kima mpaka uelewe. Haya elezea hiyo hoja yako kupitia AYA hii.Quran imesema uongo kwamba uumbaji wa mtoto tumboni unatokea pale ambapo sperm inaingia katika damu iliyoganda.
Halafu tone pia ni uongo kwasababu kisayansi mwanaume anatoa sperm karibu milioni 500 kwa raundi moja na inayoingia kwenye yai ni moja tu na sio tone.
Allah alikuwa anakisia na kusema vitu asivyovijua.
Mkuu hayo maandishi yanasababisha mashaka makubwa sana kwasababu haiwezekani Mungu wa kweli asijue kwamba sperm inaingia kwenye yai (ovum) na sio kwenye damu iliyoganda.
Kwani ukiambiwa katka ya mapaja ya mwanamke kuna patkana nn..mbna linakuja fasta apo kpi kigumu kujua Au kwenye vdole vya mwanadamu kuna mapembe!!!?Ok , kwa hiyo wewe ndio unaongeza uelewa wako, apo sawa
Unatakiwa ukue kijana na uelewe maandiki. Inaonekana wewe ni shabiki wa Baiolojia na si msomi au mtafiti au muhojaji wa masuala ya kielimu. Rejea msingi wa Baiolojia Kisha uje tujadiliane.Uhalisia ni baiolojia.
Kwahiyo kwa mujibu wa hiki umeandika hapa mwanadamu anakuwa ndani ya sperm na hakuna haja ya yai la mwanamke?
Kijana unasoma Aya gani ? Aya hakuna iliposema kwamba Sperm inaingia kwenye damu. Wewe haya tuambie kwanza umeyapata wapi ?Mkuu hayo maandishi yanasababisha mashaka makubwa sana kwasababu haiwezekani Mungu wa kweli asijue kwamba sperm inaingia kwenye yai (ovum) na sio kwenye damu iliyoganda.
Vichwa panzi sana Kiswahili kipo wazi sana,. kalio maana yake Cha kukalia. Hapo kunaongelewa kunako tungwa mimba. Ndiyo maana sishangai kuona mkisema Yesu ni mungu au ni meana wa mungu.Mtume anapenda makalio jamani, sasa ndio kusema kajisahau au? Mtoto anaingilia kwenye kalio madhubuti?
Swali zuri maana hao jamaa utawasikia Allah hana mshirika sasa hii ''tukafanya....walikuwa na nani?!Allah aliyafanya haya akiwa na kina nani?
Ni kwa sababu wewe ni muislamu,huku ni jukwa huru hakuna sehemu ya kufanyiana fatwa huku,lakini albadir si inafanya kazi?someni tuipatepate[emoji23]MIMI SIO MTU WA DINI ILA NAOMBA NIULIZE SWALI?
KWANINI HAWA WAKRISTO WAMEONEKANA NA CHUKI KUBWA SANA NA HAWA WAISLAM SANA SANA UKU JF AU NI MIMI TU NAONA IVO ?
Huo ndio ujinga tusioutaka wakutokuhoji kinachohojika wale walikuwa na element za kiislam.Wewe unaweza kuikosoa quran ukiwa ndani ya uislam?hujitaki?Hata walokole wa Kibwetere waliambiwa wasisome Bible kama wanasoma gazeti Mwisho wa siku wote wakachomwa
wapi imesema chief,hata hayo uliyoandika kwa kiswahili haisemi sperm imeingia kwenye damu,ni vile namna umeelewaVerse inasema sperm inaingia kwenye damu iliyoganda. Yai la mwanamke halihusiki?
"Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama."Verse inasema sperm inaingia kwenye damu iliyoganda. Yai la mwanamke halihusiki?
Jangwa lina tope lote?kwanini asiseme mavumbini?Coco beach jua linachomoza baharini,jangwani linachomoza na kuzama mchangani..elewa lugha ya picha
Katika soma yangu nimekutana na hii aya. Naona inapishana na baiolojia niliyosoma miaka ile ya sekondari.
Quran 23:14
Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyoganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu mbora wa waumbaji
English translation:
Then We made the sperm drop into a clinging clot, and We made the clot into a lump [of flesh], and We made [from] the lump, bones, and We covered the bones with flesh; then We developed him into another creation. So blessed is Allah, the best of creators.
Ukisoma tafsiri ya kiingereza na kiswahili unaelewa kwamba sperm inaingia kwenye damu iliyoganda. Nikatafuta wataalamu wa tafsiri kuhusu hiyo clot.
Prof Haanein Muhammad Makhloof, on page 508 of his Dictionary of the meanings of words of the Quran says that the Arabic word alaq translated into English as "clot" means frozen blood.
Maswali yangu
1. Sperm inaingia kwenye damu iliyoganda?
2. Damu iliyoganda inaishi ndani ya tumbo la mwanamke?
3. Quran haifahamu kuhusu yai la mwanamke?
4. Sperm peke yake inaweza kuumbwa ikawa mtu?
5. Kauli kwamba tukamfanya kiumbe mwingine inamaanisha nini?
battawi FaizaFoxy Mokiti adriz Kisai
an example ambapo biology imewahi kufanya falacy!Machache inapatia na mengi inakosea. Katika hili wasemavyo Wanabaolojia wamedanganya.
NO! achana na mambo ya dini, ni upuuzi mtupu na inventions za watu.Shule walifundisha kwamba sperm inaingia kwenye damu iliyoganda?
😂 😂 😂Mbona unakuwa mgumu kuelewa.. ishu ni sperm kuingia kwenye damu iliyoganda ili kuumba mtoto.
Huu ni uongo. Sperm inaingia kwenye yai (ovum).