Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

achana na mambo ya kuigiza ya vitabu hiyo. Just google. Mudi hakujua science yoyote, achana na vitu kama hivyo
najua unajua what happens ila unataka reaction ya wale watu

Akili ndogo hi, hutaki kuifikirisha akili yako wapenda "spoon feeding" mwenzio kayajua haya ya Google ila Kuna anachojiuliza hapo anataka aeleweshwe.
 
Kazi ipo kwelikweli! Kiongozi we itakuwa huna kichogo.. yaani nyuma ya kichwa chako kuko flatiiiiii
 

Yai la kike sio Damu Mkuu
 
Na aya kama hizi au mambo kama haya ndio huwafanya wenye akili kujiuliza huyu Muhammad hakusoma wala kuandika hajui,je elimu kubwa kama hii kaitoa wapi kama si Maneno ya Mola wake Malezi?

Na scientifically hizo stages za ukuaji zipo exsactly kama Qur'an ilivyo eleza,,,Allahu Akbar!
 
Yai la kike ni tishu na sio damu ilioganda, umesoma biolojia ipi wewe? 6 years sijawahi sikia ovary ni damu iliyoganda.
 
Baba wa uwongo alitudanganya kuwa jua lina zama kwenye matope mazito. Dini ta magumashi hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…