Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Katika soma yangu nimekutana na hii aya. Naona inapishana na baiolojia niliyosoma miaka ile ya sekondari.

Quran 23:14

Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyoganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu mbora wa waumbaji

English translation:

Then We made the sperm drop into a clinging clot, and We made the clot into a lump [of flesh], and We made [from] the lump, bones, and We covered the bones with flesh; then We developed him into another creation. So blessed is Allah, the best of creators.

Ukisoma tafsiri ya kiingereza na kiswahili unaelewa kwamba sperm inaingia kwenye damu iliyoganda. Nikatafuta wataalamu wa tafsiri kuhusu hiyo clot.

Prof Haanein Muhammad Makhloof, on page 508 of his Dictionary of the meanings of words of the Quran says that the Arabic word alaq translated into English as "clot" means frozen blood.

Maswali yangu

1. Sperm inaingia kwenye damu iliyoganda?
2. Damu iliyoganda inaishi ndani ya tumbo la mwanamke?
3. Quran haifahamu kuhusu yai la mwanamke?
4. Sperm peke yake inaweza kuumbwa ikawa mtu?
5. Kauli kwamba tukamfanya kiumbe mwingine inamaanisha nini?

battawi FaizaFoxy Mokiti adriz Kisai
Haya Maswali ni ya muhimu sana ndugu mleta mada

Nashukuru umewaita Wataalamu wa Quran takatifu watufafanulie
 
Kwanza kosa kubwa umelifanya hapa kwenye kulinganisha Uhalisia (Qur'aan) na Biology.

Anzia hapa Kisha kutokea hapo uulize maswali yako :

Anasema Allah aliye juu :

13. Kisha tukamjaalia awe tone ya mbegu ya uzazi katika kalio madhubuti.


14. Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji. (al-Muuminuun : 14)
Allah aliyafanya haya akiwa na kina nani?
 
Embryology ya Allah na Muhammad huwa inachekesha Sana
Damu inaganda (dead blood) alafu ipo ndani ya mwanamke
Damu iliyoganda inabadilika kuwa pande la nyama ! , Pande la nyama linabadilika linakuwa mifupa tupu alafu mifupa inakuja tena kuvalishwa nyama dah!

Ila sio makosa yake Muhammad, hakuwa na technology iliyokuwepo kipindi icho aweze kujua ukweli wa embriology kwa kuangalia stages
Kwahiyo Mwamedi (S.A.W) alidanganya?
 
Kwaupande wangu naona yupo sahihi during fertilization yai la kike ( damu iliyoganda) au ova itakuja mpaka kwenye fallopian tube ambapo fertilization ( urutubishaji) hufanyika, sperm itaingia kwenye ova na kurutubisha then itasafiri mpaka kwenye uterus body na kujiattach aside.
Yai la mwanamke ndio damu iliyoganda? Hili umelitoa wapi?
 
Hilo fumbo huenda lisifumbuliwe leo,

Jibu likaja baada ya miaka 1000 ijayo.

Wakati huo wa zamani hata watu waliulizana iweje Mungu aweze kuwafufuwa binaadamu wote wanaokufa,
Je atawajuwaje?wakati wapo wanaokufa na miili yao kuharibika?

Ndy hapo ikaja AYA ya Qurain,,

"NITAWAFUFUENI KILA MMOJA BILA KUPOTEZA ALAMA ZENU ZA VIDOLE."

hakika fumbo hili limevumbuliwa kizazi cha hivi karibuni kwamba kila mwanadamu ana alama za vidole ambazo haziingiliani na mwingine,,

Alama za vidole zipo kwenye Qurain.
Miaka 600 iliyopita.
Sayansi tayari imeeleza kwamba sperm inaingia kwenye yai na kuumba mtoto. Unaelezeaje hilo kosa la sperm kuingia kwenye damu iliyoganda?

Halafu huo mstari wa vidole haujaunukuu kwa usahihi na umeweka tafsiri yako.
 
Hilo fumbo huenda lisifumbuliwe leo,

Jibu likaja baada ya miaka 1000 ijayo.

Wakati huo wa zamani hata watu waliulizana iweje Mungu aweze kuwafufuwa binaadamu wote wanaokufa,
Je atawajuwaje?wakati wapo wanaokufa na miili yao kuharibika?

Ndy hapo ikaja AYA ya Qurain,,

"NITAWAFUFUENI KILA MMOJA BILA KUPOTEZA ALAMA ZENU ZA VIDOLE."

hakika fumbo hili limevumbuliwa kizazi cha hivi karibuni kwamba kila mwanadamu ana alama za vidole ambazo haziingiliani na mwingine,,

Alama za vidole zipo kwenye Qurain.
Miaka 600 iliyopita.
kwa hiyo mkuu bila alama za vidole Mungu asingetujua ? aya mambo ya dini bhana mna haki kuulizwa mdhibitishe yupo au hayupo kwel
 
MIMI SIO MTU WA DINI ILA NAOMBA NIULIZE SWALI?

KWANINI HAWA WAKRISTO WAMEONEKANA NA CHUKI KUBWA SANA NA HAWA WAISLAM SANA SANA UKU JF AU NI MIMI TU NAONA IVO ?
Hahahaha!! wakilala wakiamua wao uislamu tuu karibia kila jukwaa tena sasa hivi wamepumzika sana kuna kipindi unakuta mada za chuki na comments mbaya hadi utadhani mtaani hawaombani chimbo na kuishi pamoja.
 
Back
Top Bottom