Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Koran imeandikwa kama rap song , inaishia na kina kimoja , unakuta Allah na shetani wanaongea wanaishia na kina kimoja

Koran Haina maajabu , verse zake hazieleweki na hazima info za kutosha unacho fanya kasome Hadith , kasome sabubnuzu, kasome Tafsir ndio utaelewa , mbali na hapo ukisoma Koran tu ni useless book hisiyo na maana
Never argue with an idiot. They will drag you down to their level and beat you with experience…..I feel sorry for u🙃
 
Anaweza kuelezea Koran na Jua kuzama ni Muhammad
Msome
Imesimuliwa Abu Dharr:
Nilikuwa nimekaa nyuma ya Mjumbe wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) ambaye alikuwa akipanda punda wakati jua linachomoza. Akauliza: Je! Unajua jua linazama wapi? Nilimjibu: Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua bora. Alisema: linazama katika chemchemi ya maji ya joto (Hamiyah).
Jua halizami wewe ficha ujinga.

Jua lipo palepale tangu unazaliwa Hadi unakufa. Halitingishiki Wala haliyimbi hata cm 2


Fikicha akili
 
Kuandika tu hujui ndio utaujua Uislam

Mnasema Uislamu ni dini ya kweli na dini ya amani.
Huku mnajua kuna mambo yapo kwenye uislamu yanasababisha uislamu usionekane kama ni dini ya kweli

Jiulize je dini ya kweli inaruhusu vipi mtume wake mwenye miaka zaidi ya 50 kuoa mtoto wa miaka 6 ?

Hata wewe mwenyewe huwezi kubali binti yako wa miaka 6 aolewe tena na mzee wa miaka 50.
Tena alifanya tendo la ndoa na huyo mtoto akiwa na miaka 9 ( hu sio ubakaji kweli?)

Jiulize Dini ya kweli inaruhusu ndoa ya masaa kazaa tu ( mutaa) tena baada ya kumaliza kupigana miti mnalipana pesa kisha ndoa inaisha ?

Dini ya kweli inawafundisha muwaue watu wa dini zingine wasiomuamini mtumwe wenu.

Dini ya kweli inaruhusu utumwa. Na tena inawaruhusu wanaume wa kiislam kuwatombaaz watumwa mtakaowapata wa kike. ( dini ina promote uzinzi na ubakaji)

Dini ya kweli inaruhusu wanawake wapigwe na waume zao. Yaani wanawake kuwapiga na kuwabonda ni ruhksa ,

Dini ya kweli inakataza waumini wake wasijenge urafiki na hata kupigana na watu wa dini zingine?
 
Jua linazama kwenye Chemchemu ya matope.

Imagine jua na ukali ule LIKAZAME KWENYE Chemchemu, itakuwa ni Chemchemu (maji)kweli.!!!!!!

SI yatakauka kwa sekude tu.

Babu Moodie Alikuwa JONGO MNO
 
Kwanza kosa kubwa umelifanya hapa kwenye kulinganisha Uhalisia (Qur'aan) na Biology.

Anzia hapa Kisha kutokea hapo uulize maswali yako :

Anasema Allah aliye juu :

13. Kisha tukamjaalia awe tone ya mbegu ya uzazi katika kalio madhubuti.


14. Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji. (al-Muuminuun : 14)
Huyo anayesema "Tuka", "Tuka", Wapo wangapi?
 
achana na mambo ya kuigiza ya vitabu hiyo. Just google. Mudi hakujua science yoyote, achana na vitu kama hivyo
najua unajua what happens ila unataka reaction ya wale watu

Anatafuta tu ugomvi wakati Usikute ni kitu anajua kabisa
 
Embryology ya Allah na Muhammad huwa inachekesha Sana
Damu inaganda (dead blood) alafu ipo ndani ya mwanamke
Damu iliyoganda inabadilika kuwa pande la nyama ! , Pande la nyama linabadilika linakuwa mifupa tupu alafu mifupa inakuja tena kuvalishwa nyama dah!

Ila sio makosa yake Muhammad, hakuwa na technology iliyokuwepo kipindi icho aweze kujua ukweli wa embriology kwa kuangalia stages
Tatizo huna akili halafu hujui km huna akili ...wewe mvaa rozari huna mental ya kukosoa Quran..

Jews na ungwingwi wao wote wameishindwa...Chukua hizo sperm zako halafu Anika juani then ukae baada ya dakika uone km hazigandi...
 
Mambo Mengi ya kwenye vitabu ni ya kufikirika sana,
Kuna aya moja kwenye bible,inayomuhusu mfalme Suleiman kwamba alikuwa na vijakazi/michepuko 700!hapo ujaweka wake zake harali!!!aliyetunga hiki kisa alikiweka Ili kumpa misifa Suleiman Ili aonekane kwamba alikuwa na nguvu sana kuriko wanaume wengi,
Kwa tskwimu zilizokuwepo,kipindi Cha Suleiman kulikuwa na idadi ya watu wasio zidi 2000!sasa hebu fikiria mtu mmoja anaoa wake 700+inamaana wanaume wengine walikuwa hawataki kupiga mambo??yaani nusu ya raia wote ni wake zako,sasa watu wako watamuoa nani!! Wala haiingii akilini
Story nyingi ndani ya Biblia ni fiction wewe hauwezi ukaniambia watu Zaidi ya Mil 2 walipita ktk ya Bahari yenye urefu Km 1400+ ndani Ya Usiku Mmoja
 
Back
Top Bottom