Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Kwanza kosa kubwa umelifanya hapa kwenye kulinganisha Uhalisia (Qur'aan) na Biology.

Anzia hapa Kisha kutokea hapo uulize maswali yako :

Anasema Allah aliye juu :

13. Kisha tukamjaalia awe tone ya mbegu ya uzazi katika kalio madhubuti.

14. Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji. (al-Muuminuun : 14)
🤲🤲🤲
Usisome Quran km unasoma gazeti la nipashe mkuu.....watu wanakaa vyuo vikuu kupata hizo elimu kwa miaka ming sana
Fact📌📌📌
 
Na aya kama hizi au mambo kama haya ndio huwafanya wenye akili kujiuliza huyu Muhammad hakusoma wala kuandika hajui,je elimu kubwa kama hii kaitoa wapi kama si Maneno ya Mola wake Malezi?

Na scientifically hizo stages za ukuaji zipo exsactly kama Qur'an ilivyo eleza,,,Allahu Akbar!
Na Google haikuwepo. Sasa wanaosema alikopi kutoka kwa wanasayansi wa zama hizo sjui kama wanajipa muda kufikiria vema.
 
Na aya kama hizi au mambo kama haya ndio huwafanya wenye akili kujiuliza huyu Muhammad hakusoma wala kuandika hajui,je elimu kubwa kama hii kaitoa wapi kama si Maneno ya Mola wake Malezi?

Na scientifically hizo stages za ukuaji zipo exsactly kama Qur'an ilivyo eleza,,,Allahu Akbar!
Kwahiyo hapa Muhammad alikuwa sahihi kusema kwamba sperm inaingia kwenye damu iliyoganda?
 
Kwanza kosa kubwa umelifanya hapa kwenye kulinganisha Uhalisia (Qur'aan) na Biology.

Anzia hapa Kisha kutokea hapo uulize maswali yako :

Anasema Allah aliye juu :

13. Kisha tukamjaalia awe tone ya mbegu ya uzazi katika kalio madhubuti.

14. Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji. (al-Muuminuun : 14)
Hivyo vitabu vya mchongo tu
 
Mambo Mengi ya kwenye vitabu ni ya kufikirika sana,
Kuna aya moja kwenye bible,inayomuhusu mfalme Suleiman kwamba alikuwa na vijakazi/michepuko 700!hapo ujaweka wake zake harali!!!aliyetunga hiki kisa alikiweka Ili kumpa misifa Suleiman Ili aonekane kwamba alikuwa na nguvu sana kuriko wanaume wengi,
Kwa tskwimu zilizokuwepo,kipindi Cha Suleiman kulikuwa na idadi ya watu wasio zidi 2000!sasa hebu fikiria mtu mmoja anaoa wake 700+inamaana wanaume wengine walikuwa hawataki kupiga mambo??yaani nusu ya raia wote ni wake zako,sasa watu wako watamuoa nani!! Wala haiingii akilini
 
Na aya kama hizi au mambo kama haya ndio huwafanya wenye akili kujiuliza huyu Muhammad hakusoma wala kuandika hajui,je elimu kubwa kama hii kaitoa wapi kama si Maneno ya Mola wake Malezi?

Na scientifically hizo stages za ukuaji zipo exsactly kama Qur'an ilivyo eleza,,,Allahu Akbar!
📌📌📌📌📌
 
Nikirudi kwenye swali lako, siko kiimani sana ila hayo maandiko kwa hicho kipande ulichoweka yako sahihi sana. Nadhani kikubwa ni tutofautishe kati ya tafsiri na maana, tujikite kuelewa yalichokusudia.
Mkuu hayo maandishi yanasababisha mashaka makubwa sana kwasababu haiwezekani Mungu wa kweli asijue kwamba sperm inaingia kwenye yai (ovum) na sio kwenye damu iliyoganda.
 
Ewe mola tupe mwisho mwema waja wako wakujitambua maana quran haitafsiliwi kwa kiswahili tu hutafasiliwa kutoka kwa wanazuoni na sio wewe umeandika kwa kiswahili na kiingereza hiyo quran yako sio umeitafsiri so sitakujibu kama unavyotaka
 
Back
Top Bottom