Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

TUKAMFANYA KIUMBE MWINGINE MAANA YAKE ANAPULIZIWA ROHO NA KUWA KIUMBE HAI ANAYEPUMUA
 
Bora umweleze
 
Na bado unapoteza muda wako kufatilia useless book HISIYO na maana,,, bila Shaka Una useless head with empty brain quran NI Kwa ajili ya watu wenye akili na wewe akili huna unafikiri utaielewa vipi?? Toka umeanza kusoma hizo hadithi na sabubnuz Kwa ajili ya kutafuta kejeli dhidi ya waislam NI waislam wangapi wameachana na uislam wao?? Wewe NI hamnazo unafikiri utawafundisha waislam uislam Kwa kutumia hisia zilizojaa unafiki WA kikristu au kipagani?? Kwa jinsi uislam ulivyoandamwa ingekua NI dini nyingine ingekua imeshapotea kwenye uso WA dunia lakini ndio Kwanza inakua na kusambaa Kwa Kasi hamfahamu tu kwamba chuki,, kejeli na uzushi wenu ndio mnawafanya watu kuichunguza hii dini Kwa undani na wengi wenye akili wanaishia kujisalimisha Kwa Allah,,,badilisheni mbwinu hizo zilishafeli toka enzi ya kipindi cha mtume wakati waumini walikua wakuhesabika ktk mji mmoja mnafikiri NDO mtaweza SASA kuizima Nuru ya uislam Kwa waislam bilioni naa dunia nzima???Empty minds.
 
Uislamu ni potofu zaidi maana ilitengenezwa mahsusi kupinga maandiko na mafundisho ya biblia.
Ulitengenezwa na nani ? Kisha utakayo yaandika uyathibitishe.

Hivi akili mlipewa mzitumie kupokea ujinga ?

Mtu unajiuliza vipi Uislamu utengenezwe wakati hakuna nabii Wala mtume ambaye si Muislamu, wote walikuwa Waislamu.
 
Hapo kwenye aya imezungumzia wao kufanya waliyoamriwa lakini hiyo haimaanishi hawana free will. Mimi nikitii maagizo ya Mungu haimaanishi kwamba sina free will?
Aya imeonyesha ya kuwa hawana free will, sababu Malaika wote jinsi Yao ni Moja. Hawamuasi Allah kwa wanayo amrishwa, na wao hawali Wala hawasikii njaa.

Swali nililo kuulizia unionyeshe katika Aya wapi imesema manii inaingia kwenye damu ? Nikakuwekea martini ya Kiarabu utuonyeshe.
 
Unachochemka ni kutokuelewa HOW PRICISE WURAN narrates these issue....UNASEMAJE KUHUSU [...... KISHA TUKAMFANYA KIUMBE KINGINE?] ambacho precisely inaonesha muda ambao embryo inapuliziwa roho na kuanza kupumua????

Kwa uhakika hii idea ni mpya kwenye ulimwengu wa SAYANSI....



Lakini Qur'an imetaja vingi mno vya KISAYANSI Kuanzia Geography, Biology, Chemistry, Physics n.k. HILI NALO UNALISEMAJE?


UHAKIKA TOKA ULIMWENGU UMEUMBWA THE QUR'AN REMAIN UNDISPUTED DIVINE GUIDENCE.... WHETHER WE LIKE OR OTHERWISE....

Halafu cha Ajabu zaidi KITABU HIKI KIMEKUWA COMPILED KATIKA MUDA WA MIAKA 23 PEKEE NA KIPINDI HIKI KILITAWALIWA NA CHANGAMOTO NYINGI IKIWEMO KUHAMA KWENDA UHABESHI, KUHAMIA MADINA....
 
Sperm-drop = Tone la manii

Sperm-drop into blood clot = Tone la manii kuwa damu iliyoganda
 
Ulitengenezwa na nani ? Kisha utakayo yaandika uyathibitishe.

Hivi akili mlipewa mzitumie kupokea ujinga ?

Mtu unajiuliza vipi Uislamu utengenezwe wakati hakuna nabii Wala mtume ambaye si Muislamu, wote walikuwa Waislamu.
Leta uthibitisho wa uwepo wa Uislamu kabla ya kuanzishwa na muhammad.
 
Meaning kupilizuwa roho na kuanza kupumua.... kabla ya hapa unazungumzia pande la damu, nyama, mifupa.... HAKUNA ROHO WALA UPUMUAJI
 
Kama hawana free will wanafanya kazi kama maroboti? Kwanini basi walimhoji Allah wakati anataka kuumba wanadamu?

Manii inaingia/inakuwa damu kisha nyama halafu mifupa kisha mifupa inavalishwa nyama.🤣 Kwahiyo kuna muda ndani ya tumbo la uzazi la mwanamke kunakuwa na skeleton tupu?🤣
 
Aisha ambaye ndio alikuwa mke pendwa wa muhammad alithibitisha kwamba muhammad alikuwa demon possessed.

Kule mapangoni alikuwa akitoka ana foam mdomoni, anatetemeka na kumuomba Khadija amfunike mablanketi.
Jikite kwenye mada uliyoanzisha mwenyewe ambayo imekushinda, ukiri kwamba umekurupuka na sasa unaonekana mpumbavu. Usianzishe mada nyengine itakayokushinda uzi urefuke bila sababu. Au ndicho unachokitaka???
 
Stori za kwenye quran nyingi muhammad aliziweka tu kutokana na hearsay au taaluma za watu wa nyakati zake.

Huu mlolongo anaoutaja allah hapa unatia mashaka makubwa kwasababu ni kinyume na uhalisia.

Manii inaingia/inakuwa damu kisha nyama halafu mifupa kisha mifupa inavalishwa nyama. Kwahiyo kuna muda ndani ya tumbo la uzazi la mwanamke kunakuwa na skeleton tupu?
 
Jikite kwenye mada uliyoanzisha mwenyewe ambayo umeishinda, ukiri kwamba umekurupuka na watu sasa unaonekana moumbavu. Usianzushe mada nyengine itakayokushinda uzi urefuke bila sababu. Au ndicho unachokitaka???
Mambo ya mapepo umeyaleta wewe na nimekujibu. Sasa unaona jibu limefanya uislamu wote uwe feki umeamua kuhamisha magoli.
 
Meaning kupilizuwa roho na kuanza kupumua.... kabla ya hapa unazungumzia pande la damu, nyama, mifupa.... HAKUNA ROHO WALA UPUMUAJI
Kwahiyo ndani ya siku themanini (kama alivyosema Muhammad) tangu kutungwa mimba kinachokuwepo tumboni sio kiumbe hai? Kwahiyo mtu akifanya abortion ndani ya hizo siku anakuwa sio muuaji?
 
Inamwongelea vizuri kwa angle ipi?!

Hapa tunaongea masuala ya kiroho na kiimani! Hapa hatuzungumzii uwezo wake wa kuhubiri, wema na unyenyekevu wake, au uwezo wake wa kufundisha hadi wengine wakawa wanamwita Mwalimu!

Ikiwa Ukristo unamwamini Yesu ni Messiah, Mwana wa Mungu, and all that na Wayahudi hawamwamini kama Messiah... sasa tafsiri ya kiimani hapo ni nini kama sio wanachukulia mafundisho yake ni upotoshaji?!

Sasa mtu ambae anaaminika kama Messiah, wengine wakimuona Mpotoshaji, kwako wewe huko ni kumuongelea vizuri?!

Kwamba, Israel hakuna habari zozote kuhusu Isa... habari zipi na ulitarajia uzione au kuzisikia kupitia nini?! Kwa sababu kama issue ni maandiko, hata Yesu hakuna habari zake kupitia maandiko ya Kiyahudi, na ndo maana hadi kesho hawamwanini!!

Yesu kama Myahudi kwa asili, of course, lazima habari zake uzikute Israel kwa sababu pale ndo Jesus''s motherland, na ndipo alipotoa mahubiri yake bila kujali kama kuna wengine waliyaamini na wengine hawakuyaamini!!
 
Mambo ya mapepo umeyaleta wewe na nimekujibu. Sasa unaona jibu limefanya uislamu wote uwe feki umeamua kuhamisha magoli.
Huwezi kuthibitisha unachokisema.

Mimi nilikuwa tu nakejeli ule upuuzi uliouandika.

Kwaheri.
 
Hapa sielewi point na hoja yako ni nini.

Tulipoanzia ni kwamba tunakataa kwamba issa sio Yesu Kristo kwasababu Yesu Kristo aliishi na anajulikana ndani ya Israel.

Haijalishi hata kama hakukubalika kama Messiah lakini still wanakiri ni mtu halisi aliyewahi kuishi huko. Hilo mimi linanitosha kabisa.

Swali letu ni huyo issa ni nani na kwanini Inasemekana ndani ya quran kwamba alikuwa mashuhuri lakini taarifa zake hazipo kabisa Israel? Tufahamishe.
 
Umeandika hisia na unaweweseka Sana , waislamu billion na Kuna waislamu humu wanasema mashia sio waislamu?
Point zangu ni hizi embu pangua

Koran imeandikwa kama rap song , inaishia na kina kimoja , unakuta Allah na shetani wanaongea wanaishia na kina kimoja

Koran Haina maajabu , verse zake hazieleweki na hazima info za kutosha unacho fanya kasome Hadith , kasome sabubnuzu, kasome Tafsir ndio utaelewa , mbali na hapo ukisoma Koran tu ni useless book hisiyo na maana
 
Huwezi kuthibitisha unachokisema.

Mimi nilikuwa tu nakejeli ule upuuzi uliouandika.

Kwaheri.
Kama unafahamu kiingereza basi soma hapa chini namna ambavyo Muhammad alikuwa amejawa mapepo:

We learn from Islamic tradition that on several occasions when Muhammad saw the spirit, he would be so frightened he would run home to his wife and ask her to cover him with clothes: "I was called again and raised my head, and there on the throne in the open atmosphere he, i.e. Jibreel, was sitting.

I began to tremble on account of fear. I came to Khadija and said: Wrap me up. They wrapped me up and threw water on me..." (Sahih Muslim book 1 ch.74 no.307 p.100. Narrated by Jabir) At other times, Muhammad experienced some strange physical symptoms.

From Hadith Mishkat, we learn that, sometimes he would shrive and swoon, roar like a camel and white foamy saliva would come from his mouth (Hadith Mishkat iv p.359). Sometimes when he receive revelation(s) there was the sound like the buzzing of bees near his face (source: Umar Ibnu'l Khattab), while at other times, he felt a tremendous headache.

Muhammad once said: "At times it comes to me like the ringing of a bell and that is most severe for me... and at time an Angel in the form of a human being comes to me... (Sahih Muslim vol.4 book 28 no.5765-5767 p.1248)

However, it is unclear why Mohammed later said, "...The bell is the musical instrument of Satan." Sahih Muslim vol.3 book 22 no.5279, also Abu Dawud vol.2 no.2548 -2550

According Ahmad b. Hanbal, "He became distressed, foaming at the mouth and closing his eyes. At times he snorted like a young camel (Ahmad b. Hanbal I, 34, 464, vi.163). This gave rise to the allegation in certain quarters Muhammad was epileptic.

Muhammad according to 'Amr Ibn Sharhabil, mentioned to his wife, Khadija, that he feared he was possessed by demons and wondered whether others consider him possessed [i.e. evil spirits] (source: pfanoter 1910:345).

These statements about the physical symptoms exhibited by Muhammad when he saw the spirit were not made by strangers, non Muslims or people who did not know him. These statements were made by Aisha, Muhammad's favourite wife, relatives and his close followers who strongly believed that he was the seal of the prophets.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…